Ukiona Mwanamke anatumia JF basi ana Ujiniaz ndani yake

😹😹😹 Kweli sitanii..!!
Kuna mrembo wa kuitwa Giresi afu kumbe ni id ya mwanaume..!!

Humu mambo ni mengi ni kuchukua taadhari kubwa, ukileta hisia utauponza..!! 😹😹
Atauponza nini uduguu? Mbona unaishia makambako? Wakati kituo ni shule ya Tanga.
😂😂😂
 
Eeehh..!! Navaa na rubber band kulinda mizigo yangu..!! 😹😹😹

Hauna dada yako uko unipasie kiongozi?
🤣 Mlinzi wa "mzigo" ni rubber band + pini

whoever created this notion is either intelligent or mentally retarded. Either way, TZ comedians ni wengi mno 😀
 
Eeehh..!! Navaa na rubber band kulinda mizigo yangu..!! 😹😹😹

Hauna dada yako uko unipasie kiongozi?
kiongozi, 😀 ni ngumu sana kwa bro kumpass dada'ake kwa bro mwingine.

bro, labda nku-pass-ie ex wangu wa chekechea 😀
 
🤣 intelligence ya hali ya juu mno.

MTEGO: fungua account, weka profile pic ya kike, reply kwa mwandiko ki-dada dada, afu subiri wakware wanase, akijileta PM/DM anaambiwa tuma nauli, tuma ya bando, nina shida nikopeshe sh. elfu x ntakulipa wiki ijayo, n.k tena kw kubembelezwa

Though tego linaonekana ni la kizamani, yet some men are getting trapped, in the name of empathy, infatuation & horniness.
 
Wanaume wa Bongo ni wana tamaa na ushamba wa mbususu wanapigwa sana huko dating sites balaa.
Ni huruma mno, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaume wa Bongo ni wana tamaa na ushamba wa mbususu wanapigwa sana huko dating sites balaa.
Ni huruma mno, [emoji23][emoji23][emoji23]
in the name of empathy, infatuation & horniness. Sote tuseme "Tupigweeee"

cocastic , fungua account kwenye social sites almost zote, na utupige.

Sisi mizuka ya ngono ikishapanda, akili huwa hatuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…