Ukiona Mwanamke anatumia JF basi ana Ujiniaz ndani yake

Wabongo akili zao zipo chini ndiomana kila kukicha wanatapeliwa km mazuzu..!!
 
True
 
Kuna ukweli kwa 90% uliyoyasema
Mimi nimejiunga JF Tangu Primary (kabla hata ya hizi app) enzi mnaingia kwa Desktop computer na screen ya chogo (ya mzee) enzi za kina JK na ZZK,

Enzi za kina Rara Moko,za kina Deception,Mzizi mkavu, kina Rakims,kina Chief Mkwawa, Kina Tumaini (Aliyempa tahadhari ya mwisho na ya kweli Ben Saa nane)
 
Hongera sana , maana Wanawake wengi wanapenda kufuatilia vitu vyepesi skendo , umbea nk
 
Hebu nitag huo uzi usikute kuna shuhuda ambazo hazijatimia physically huko na nimebung’aa hapa kupokea sifaπŸ˜…
Kama hauhujui huo uzi hapa Jf basi wewe ni mtoto mwema sana na ni mdada wa kanisa wife material πŸ˜‚
 

NYIE KWENU NI VILAZA SANA. MPAKA MTU ANAYETUMIA JF MNAMUONA NI JINIAZ? VERY HOPELESS FAMILY.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…