Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
πππ mtupe masomo wazee wa comfort zone.π ndio fanya saving baada ya muda nawewe uwe muhindi vinginevyo utashika mabango uzeeni kupambania mafao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππ mtupe masomo wazee wa comfort zone.π ndio fanya saving baada ya muda nawewe uwe muhindi vinginevyo utashika mabango uzeeni kupambania mafao.
Elf 30 haijengi nyumba. Kula kuku π€£π hao ndio wale hakuna mfuko wa cement kwa tsh 2,000, kula bia.
Pita na koment ni somo tosha ππππ mtupe masomo wazee wa comfort zone.
Kula lakini ndio kila siku ule kuku? Kwani we mwewe πElf 30 haijengi nyumba. Kula kuku π€£
Haya maneno Bwana Yesu aliwaambia wanafunzi wake (sio Makutano). mwanafunzi wa Yesu ni yule aliyezaliwa mara ya pili kwa maana ya kuokoka. Ni mtu ambaye Mungu ni Baba. mahusiano na Mungu ni BABA na MWANA. Kila mtu ni mtu wa Mungu, ila sio kila mtu ni mtoto wa Mungu.Mathayo 6 (Biblia Takatifu)
Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―
ΒΉβΉ Msijiwekee hazina duniani, nondo na kutu viharibupo, na wevi huvunja na kuiba;
Β²β° bali jiwekeeni hazina mbinguni, kusikoharibika kitu kwa nondo wala kutu, wala wevi hawavunji wala hawaibi;
Β²ΒΉ kwa kuwa hazina yako ilipo, ndipo utakapokuwapo na moyo wako.
β¦
Β²β΄ Hakuna mtu awezaye kutumikia mabwana wawili; kwa maana atamchukia huyu, na kumpenda huyu; ama atashikamana na huyu, na kumdharau huyu. Hamwezi kumtumikia Mungu na mali.
Β²β΅ Kwa sababu hiyo nawaambieni, Msisumbukie maisha yenu, mle nini au mnywe nini; wala miili yenu, mvae nini. Maisha je! Si zaidi ya chakula, na mwili zaidi ya mavazi?
Β²βΆ Waangalieni ndege wa angani, ya kwamba hawapandi, wala hawavuni, wala hawakusanyi ghalani; na Baba yenu wa mbinguni huwalisha hao. Ninyi je! Si bora kupita hao?
Β²β· Ni yupi kwenu ambaye akijisumbua aweza kujiongeza kimo chake hata mkono mmoja?
Β²βΈ Na mavazi, ya nini kuyasumbukia? Fikirini maua ya mashamba, jinsi yameavyo; hayafanyi kazi, wala hayasokoti
Β²βΉ nami nawaambia, ya kwamba hata Sulemani katika fahari yake yote hakuvikwa vizuri kama mojawapo la hayo.
Β³β° Basi, ikiwa Mungu huyavika hivi majani ya kondeni, yaliyopo leo, na kesho hutupwa kalibuni, je! Hatazidi sana kuwavika ninyi, enyi wa imani haba?
Β³ΒΉ Msisumbuke, basi, mkisema, Tule nini? Au Tunywe nini? Au Tuvae nini?
Β³Β² Kwa maana hayo yote Mataifa huyatafuta; kwa sababu Baba yenu wa mbinguni anajua ya kuwa mnahitaji hayo yote.
Β³Β³ Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.
Β³β΄ Basi msisumbukie ya kesho; kwa kuwa kesho itajisumbukia yenyewe. Yatosha kwa siku maovu yake.
πππ ni vingi vya kula tatizoKula lakini ndio kila siku ule kuku? Kwani we mwewe π
Kula kulingana uwezo wako, kumbuka kuweka akiba kuna kesho wewe ni mtu sio nyau.πππ ni vingi vya kula tatizo
Then the probs would solve themselves..!If the money you have canβt solve the probs you have eat that money ππ
Hivi hii huwa ni hali ya kawaida au kuna namna? Huyu jamaa yangu akishaishiwa anatia huruma sana na kujiapiza hatorudia kutumia pesa vibaya ila akipata pesa kidogo anarudi kule kule, huwa namuonea sana huruma hasa kwa future yake kama ataendelea kuwa hivyo. Hawezi kukaa na hela kabisa.
Kamari iliwahi kunitesa sana nilikuwa siwezi kukaa na hela ila nikafanikiwa kutoka huko nnaweza kuwa na laki kwenye simu na ikakaa hata mwezi mzima sijaigusa jambo ambalo lilikuwa ni mtihani mgumu sana kwangu.
Acha mambo ya ukabila we bwege. Umefika kwa wachaga na wakinga ukaona wanavyoishi? Tabia haina kabila we fala, tabia ni ya mtu binafsi.Wachaga na Wakinga ndio wana hiyo akili.
Hakika mkuu nachokiona kwa jamaa kama ana nia ya kubadilika ila kuisimamia nia yake ndio changamoto kwake hasa akishapata hela.Ni tabia ambayo inabidi muhusika aamue na kudhamiria kubadilika.
Wengi tunajifunza Kwa maumivu makali sana lakini sio rahisi ila inawezekana.
Pesa inahitaji discipline na Ina kanuni zake, ukizifuata hizo kanuni haikutupi. Itakuheshimu
π kuna waliowahi kusema hivyo sahivi wanajutia.Hakuna gari la laki 1 kula mbavu za kitimoto na bia wewee
mue mnajitahidi sana bila hivo mtaishia kutesekaNidham ya pesa ni kitu kinatusumbua wengi sana..
Tunajua kutafuta sawa, tena tunapambana haswaaa kuzichanga, ila tukizipqta sasa, dooh!! Hapa ndio tatizo linakuja
Tujitahidije sasa heb tuelezemue mnajitahidi sana bila hivo mtaishia kuteseka
Asilimia mia moja ni kujiendekeza tu...hamna lolote...Hivi hii huwa ni hali ya kawaida au kuna namna? Huyu jamaa yangu akishaishiwa anatia huruma sana na kujiapiza hatorudia kutumia pesa vibaya ila akipata pesa kidogo anarudi kule kule, huwa namuonea sana huruma hasa kwa future yake kama ataendelea kuwa hivyo. Hawezi kukaa na hela kabisa.
Kamari iliwahi kunitesa sana nilikuwa siwezi kukaa na hela ila nikafanikiwa kutoka huko nnaweza kuwa na laki kwenye simu na ikakaa hata mwezi mzima sijaigusa jambo ambalo lilikuwa ni mtihani mgumu sana kwangu.
Maelezo yamejitoshelezaTumia pesa ikuzoee Mnyampaa.
Pesa Ina kanuni na taratibu zake, haijalishi una Elimu Gani ukizifuata, haitakuangusha.
Kama hauna mipango na malengo, utafanya chochote unachomudu Kwa pesa uliyonayo Kwa wakati huo.
Mwisho wa siku, pesa hua haitoshi, ni wewe kuamua ukipata, ifanye vitu gani vya muhimu.
Kuna mtu akiwa na 1M haujui, akiwa na 10k haujui, Yuko vilevile. Lakini mwingine alipata 50k siku hiyo hamnywi maji, ni fujo za hatari. Mtu wa aina hiyo hata umpatie pesa kiasi Gani, atatapanya tu.
Kutafuta na kupata pesa ni jambo Moja, kuitunza ikaongezeka ni kitu kingine kabisa na sio Kila mtu anaweza.