
sio kwamba nacheka kanakwamba hilo ni jambo zuri lahasha,
inasikitisha sana na inafedhehesha sana kusingiziana mabo tusio na hakika nayo,
infact ninao marafiki zangu kadhaa pia wamewahi kupitia kwenye jaribu hilo zito sana na la fedheha mno saa zingine, na kati hao marafiki zangu, moja ni mustahimilivu sana alifunga ndoa 2012, tangu wakati huo, amefanikiwa kupata mtoto mwaka jana 2024,
huyo mwingine walishindwa kuvumiliana wakatengana na hakuna mwenye mtoto mpaka sasa tangu watengane miaka4 iliyopita. Ni cases ambazo si nyingi sana lakini ni changamoto mno kuzikabili,
ni muhimu sana kupata watoto mapema na kama itakua ngumu basi angalau kubaini tatito ukiwa katika umri sahiihi kuliko kubaini kua una tatizo ukiwa na zaidi ya miaka40