Ukipata mtoto ukiwa na miaka 40, mpaka anamaliza chuo utakuwa na umri gani?

hii haiwahusu kataa ndoa team gentleman, sorry 🐒
Mi sio hiyo team
Ila mdada nawaza huyo mtt nazaa na nani( kuwa baba sio Kila anaevaa suruali anafaa) malezi inakuwaje?
Mi siwezi kulea peke angu aisee baba mhimu
 
Wadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani?

Najaribu kutaka kujua ili nifanye MAAMUZI. Naamini Majibu yenu yatawasaidia Watu wengi kupanga Umri sahihi wa kuoa na kuwa na Familia.
Wewe tafuta hela tu ,mambo ya chuo yanausiano gani na mtoto. Mengi alikufa akiacha watoto wa miaka 10 umeisha waona wakiomba ada
 
😂😂😂Una akili sn
Kwanza siwezi peleka mtt chuo Kwa huu mtiririko wa elim ya bongo Dunia imeshabadirika
 
Msijifiche sana, msichague sana, watu wapo tena wengi, punguzeni vigezo..tupo tumejaa tele.

Ila wakati wa Bwana ni wakati sahihi.
Hatujifichi mkuu
Vigezo vya kawaida sema tunakutana na wavulana wenye miaka 40 lkn Bado wavulana inabidi tukae single😂kwanza
Maisha yamebadirika
 
Sio wote wanaochelewa kupata watoto walimeza dawa, mie kuna mkaka alio mkewe hawakupata watoto familia wakamzonga akamwacha mkewe, akaoa binti mdogo katoka kumaliza STD 7 kamleta mjini, mwaka ukakatika hamna kitu mwaka wa pili kimya watu wakamwambia binti mwenzio aliondoka kisa hazai, haya yule aliyeachwa kaja siku Moja kuwa salimia ana watoto 2 mapacha , aibu iliowakuta acha ni familia nilikuwa naifahamu.
:pedroP: sio kwamba nacheka kanakwamba hilo ni jambo zuri lahasha,
inasikitisha sana na inafedhehesha sana kusingiziana mabo tusio na hakika nayo,

infact ninao marafiki zangu kadhaa pia wamewahi kupitia kwenye jaribu hilo zito sana na la fedheha mno saa zingine, na kati hao marafiki zangu, moja ni mustahimilivu sana alifunga ndoa 2012, tangu wakati huo, amefanikiwa kupata mtoto mwaka jana 2024,

huyo mwingine walishindwa kuvumiliana wakatengana na hakuna mwenye mtoto mpaka sasa tangu watengane miaka4 iliyopita. Ni cases ambazo si nyingi sana lakini ni changamoto mno kuzikabili,

ni muhimu sana kupata watoto mapema na kama itakua ngumu basi angalau kubaini tatito ukiwa katika umri sahiihi kuliko kubaini kua una tatizo ukiwa na zaidi ya miaka40:NoGodNo:
 
Nyie ndiyo wale wa kujifanya mnatafuta maisha kwanza eeh?

Haya tuambie hayo maisha umeyapata?

Hata kama umeyapata una furaha uliyoitegemea?

Vijana zaeni angali mna miaka 20+, kuna faida kubwa kuzaa mapema kuliko kutokuzaa mapema.

Stori za kusema sijui utatesa watoto ni za watu delusional, binadamu kama mnyama amezaliwa kuadapt mazingira accordingly..
Mi nkifikisha 30 ndio nitatafuta mama mtoto wa watoto wangu🤗🤗🤗
 
Mi sio hiyo team
Ila mdada nawaza huyo mtt nazaa na nani( kuwa baba sio Kila anaevaa suruali anafaa) malezi inakuwaje?
Mi siwezi kulea peke angu aisee baba mhimu
Mungu akileta mtoto duniani, anamleta na sahani yake.
Hii inamaanisha hakuna linaloshindikana Mungu akishaamu kulileta duniani.

Usiweke agano ya kwamba huwezi kulea mtoto pekeyako, wakati alieshiriki nawe katika kazi ya uumbaji yupo, haipo hivyo hiyo my lady na sio nzuri,

unless unashiriki mambo hayo ya uumbaji kiholela, right? :NoGodNo:
 
Wadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani?

Najaribu kutaka kujua ili nifanye MAAMUZI. Naamini Majibu yenu yatawasaidia Watu wengi kupanga Umri sahihi wa kuoa na kuwa na Familia.
Una uhakika kama utapata mtoto?
 
Kama ela ipo haina shida mana hata ukiitwa na Bwana mtoto unamuachia mazingira safi. Kuna watu wamewahi kuzaa ila sasa hata ada ya kupeleka watoto chuo hawana na nnawajua waliozaa na miaka 40 ila watoto wao sa hii wanasoma high school ulaya huko! Kikubwa hapo ela tu!
Safi
 
Mungu akileta mtoto duniani, anamleta na sahani yake.
Hii inamaanisha hakuna linaloshindikana Mungu akishaamu kulileta duniani.

Usiweke agano ya kwamba huwezi kulea mtoto pekeyako, wakati alieshiriki nawe katika kazi ya uumbaji yupo, haipo hivyo hiyo my lady na sio nzuri,

unless unashiriki mambo hayo ya uumbaji kiholela, right? :NoGodNo:
Sijakutana na mwanaume atakaeweza kulea pamoja
Ila wavulana, kwahiyo acha niwe single tu huku naangalia baba mzuri😁
 
:pedroP: sio kwamba nacheka kanakwamba hilo ni jambo zuri lahasha,
inasikitisha sana na inafedhehesha sana kusingiziana mabo tusio na hakika nayo,

infact ninao marafiki zangu kadhaa pia wamewahi kupitia kwenye jaribu hilo zito sana na la fedheha mno saa zingine, na kati hao marafiki zangu, moja ni mustahimilivu sana alifunga ndoa 2012, tangu wakati huo, amefanikiwa kupata mtoto mwaka jana 2024,

huyo mwingine walishindwa kuvumiliana wakatengana na hakuna mwenye mtoto mpaka sasa tangu watengane miaka4 iliyopita. Ni cases ambazo si nyingi sana lakini ni changamoto mno kuzikabili,

ni muhimu sana kupata watoto mapema na kama itakua ngumu basi angalau kubaini tatito ukiwa katika umri sahiihi kuliko kubaini kua una tatizo ukiwa na zaidi ya miaka40:NoGodNo:
Duniani ni mtihani sana ,unaweza kuishi kwa huzuni milele mpaka unakufa ...Unataka hichi umefuata protocol zote ila asili inakukataa hupati kile kitu.

Mimi binafsi umri umeenda ila kuzaa bila ya ndoa BIG NO ,bora kufa kuliko kuzaa nje ya ndoa kwa heshima yangu ..
 
Kwamba mnakutana na wavulana wenye 40+🤣
Kuwa single ni kuidhulumu nafsi, fanya trial and error mwisho utapata sahihi kwako.
😳😁Mkuu trial n error
Acha masihara
Ndio tunakutana na ambao Bado akili
 
Wadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani?

Najaribu kutaka kujua ili nifanye MAAMUZI. Naamini Majibu yenu yatawasaidia Watu wengi kupanga Umri sahihi wa kuoa na kuwa na Familia.
60+, kwa, umri huo, kama, fwedha IPO, wewe bado kijwna, hata wajukuu utawaona, lakini kama ni mwendo wa ungaunga mwana,bado una tafuta kazi, za, jua Kali, utakuwa,na miaka 60+, ila, umeishazeeka kama wa miaka 80+
 
Wadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani?

Najaribu kutaka kujua ili nifanye MAAMUZI. Naamini Majibu yenu yatawasaidia Watu wengi kupanga Umri sahihi wa kuoa na kuwa na Familia.
Watu wanapata watoto wakiwa na miaka 70 Hii dunia ni pana kuliko unavyojua wewe!
 
Back
Top Bottom