Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, unataka rejea ya mtu aliyeishi miaka 175? Achana na rejea za kale, Chukua mazingira ya sasa ya mwanaume anayeshindia sijui kiepe yai, pepsi na energy drinks.Ibrahim alizaa Mtoto wake wa kwanza akiwa na miaka mingapi?
Unaleta story za kwenye kitabu kinachosema nyoka anaongea mara punda anaongea.Ibrahim alizaa Mtoto wake wa kwanza akiwa na miaka mingapi?
jitahidi sana kwa wakati muafaka katika na umri sahihi upate mtoto na ikiwezekana watoto ambao ni Baraka kutoka kwa Mungu na hiyo ni zawadi muhimu sana kwa wazazi wako 🐒wote ni wanaume
naam gentleman, ila upate mtu sahihi na sio majaribio majaribio.Gentleman,
hata mimi nimechomikea tu na kukapanua kidogo hako kapointi,
ila ni muhimu kuzaa watoto kwa wakati na umri sahihi na muafaka, kuepuka fedheha na usumbufu wa kufanya hivyo umri ukiwa umekutupa mkono 🐒
Yote mipango ya MUNGU wapo waliopata watoto wakiwa na miaka 25 lakini wapofika 30yrs wakaondoka zao, wewe unayepata mtoto ukiwa 40yrs unaweza ukaishi mpaka wakakuanika nje kama makopa.Wadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani?
Najaribu kutaka kujua ili nifanye MAAMUZI. Naamini Majibu yenu yatawasaidia Watu wengi kupanga Umri sahihi wa kuoa na kuwa na Familia.
Watu wanaishi acheni kujipa stress ,kuzaa sio lazima lakini mtu atapata furaha akipata mtoto kwa umri wowote ule.Mkuu, unataka rejea ya mtu aliyeishi miaka 175? Achana na rejea za kale, Chukua mazingira ya sasa ya mwanaume anayeshindia sijui kiepe yai, pepsi na energy drinks.
Kuzaa ni majaliwa wa mwenyezi MUNGU unaweza kuoa kuolewa mapema lakini usijaliwe mapema watoto.jitahidi sana kwa wakati muafaka katika na umri sahihi upate mtoto na ikiwezekana watoto ambao ni Baraka kutoka kwa Mungu na hiyo ni zawadi muhimu sana kwa wazazi wako 🐒
Yes gentleman,naam gentleman, ila upate mtu sahihi na sio majaribio majaribio.
beside mpunga pia uwepo, jiandae ka hela kawepo ndani ili kuweka mazingira mazuri.
Watanzania wengi wako programmed imani zao zinafanana ndiyo maana hakuna mabadiliko hata wasome akili zao ni sawa...Mtu anahofia kupata mtoto kuliko kufa.Kuzaa ni majaliwa wa mwenyezi MUNGU unaweza kuoa kuolewa mapema lakini usijaliwe mapema watoto.
ila mi naona uchakarikaji una paswa uwe wa self reason, sio kisa mahusiano ndo uanze kupambana.Yes gentleman,
hiyo ni muhimu sana na huwa haishindikani pakiwepo na force ya kukufanya uchacharike kwa bidii bila kuchoka kuitafuta ngawira kwaajili ya familia, kuepuka kuumbuka 🐒
watu wa aina na wenye hali hiyo wanahesabika mtaani gentleman,Kuzaa ni majaliwa wa mwenyezi MUNGU unaweza kuoa kuolewa mapema lakini usijaliwe mapema watoto.
Kuna watu hobby zao na uhuru wao ni kitu cha msingi sana (nimekutana na sampuli ya watu wa aina huu), mtu ana pesa zake ana biashara zake lakini anachelewa sana kuoa1. Kufikisha miaka 40 bila kuoa (unless kulikuwa na kizuizi)
Yote ni mipango nje ya uwezo wa binadamu ,kama umepata mtoto basi ni wako sio wa mwingine...Hiyo mitazamo yako haipo kabisa ni kulazimisha mambo ..watu wa aina na wenye hali hiyo wanahesabika mtaani gentleman,
huna sababu ya kujificha kwenye hicho kichaka ambacho kinakuonyesha ulivyo🐒
utamaduni wa self-governing kwa vijana wa kiTanzania hasa graduates ni tatizo kubwa sana nchini. Kwenye financial management ndio tatizo kubwa zaidi,ila mi naona uchakarikaji una paswa uwe wa self reason, sio kisa mahusiano ndo uanze kupambana.
maana siku mahusiano yakifa, uta kuwa mvivu?.
Kikubwa kijana awe angalau 23 ili awe na mahusiano, lakini pia azingatie career na financial freedom zaidi.
Umeona ee, mie mwenyewe mtoto kaka aliyezaliwa namuona aliacha mkewe mjamzito sahizi mtoto wake yupo , sasa utampangia MUNGU kuhusu kuzaa? Hata nikiwa na 50 nikipata ujauzito nazaa tu MUNGU mwenyewe atajua ili mradi mazingira nayaweka vizuri sasabu najitambua.Watanzania wengi wako programmed imani zao zinafanana ndiyo maana hakuna mabadiliko hata wasome akili zao ni sawa...Mtu anahofia kupata mtoto kuliko kufa.
Kuna dogo wa 2000's kazikwa Tanga Msambweni juzi amekufa ,kaacha mtoto mdogo kabisa ...Sasa fikiria alijua kama atakufa licha ya kupata mtoto na miaka 24 ila kaenda .
yaani umeze P2 au kujimaliza kwa Nyeto halafu usingizie mipango ya Mungu, hiyo ni kufuru gentleman 🐒Yote ni mipango nje ya uwezo wa binadamu ,kama umepata mtoto basi ni wako sio wa mwingine...Hiyo mitazamo yako haipo kabisa ni kulazimisha mambo ..
Dunia yote ni ubatili ,mwishoe unakufa .
All in all, maisha ina bidi yaendelee.utamaduni wa self-governing kwa vijana wa kiTanzania hasa graduates ni tatizo kubwa sana nchini. Kwenye financial management ndio tatizo kubwa zaidi,
At least vijana wa vijijini ambao wakitoka jando tu tayari anaanzisha kageto kake na kisha mji wake na mke wake tena akiwa na 19-20 years kwasabb aligotea darasa la7,
na nyakati hizi,
uwekezaji katika ardhi unalipa zaidi mijini na vijijini na kukuhakikishia uhakika ustahimilivu wa kiuchumi katika malezi.
ni kuamua tu na kujikubali 🐒
tena bila kuchoka wala kukataa tamaa 🐒All in all, maisha ina bidi yaendelee.