Ukipata mtoto ukiwa na miaka 40, mpaka anamaliza chuo utakuwa na umri gani?

Ukipata mtoto ukiwa na miaka 40, mpaka anamaliza chuo utakuwa na umri gani?

Wadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani?

Najaribu kutaka kujua ili nifanye MAAMUZI. Naamini Majibu yenu yatawasaidia Watu wengi kupanga Umri sahihi wa kuoa na kuwa na Familia.
Miaka 40 bado unazaa? Crazy
 
Kupanga ni kuchagua boss
zaeni ndugu zangu kuna faida nyingi sana lakini pia inasikitisha sana kumzika kijana wa miaka 45 anaeishi kwa wazazi na hana hata mtoto wakati machalii wa 2000 wana watoto zaidi ya watatu dah!🐒
 
Achana na mambo yakuzaa ushachelewa,mtoto atakuita babu, au tafuta heka kweikweli ndani ya miaka mitano,hata ukifa mtoto hapati shida.
Sio kweli kabisa, miaka 40 kwa mwanaume bado kijana labda kwa mwanamke ndio kungekua na shida
 
Ni wewe tu ndio huna boss.
wazazi hulia kwa uchungu na huzuni mingi sana wanao wa umri wa miaka zaidi ya 40 wanapotangulia mbele za haki huku wanawaona,

yaani hadi kijukuu cha kusingiziwa mwanangu hujaniaachia, alisikika mumama akimlilia mwanae alie tangulia mbele ya haki 🐒
 
Wadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani?

Najaribu kutaka kujua ili nifanye MAAMUZI. Naamini Majibu yenu yatawasaidia Watu wengi kupanga Umri sahihi wa kuoa na kuwa na Familia.
Mpaka umeweza kuandika huu uzi natumaini unajua hesabu za kujumlisha na kutoa,acha uvivu mbona hizo ni hesabu za darasa la pili...
 
misemo hii huwakera sana wanaopambana kupata watoto bila mafanikio kwa muda sasa, hasa wale wa umri wa miaka 40 au zaidi gentleman 🐒
ibrahim alipata mtoto akiwa na miaka 90 huko.nini miaka 40?
 
Gentleman mimi sija sema masuala ya ndoa hapa, kiufupi kataa ndoa wengi Wana hela.

Ila hawa pendi matatizo na kelele za ndoa isiyo salama.
Gentleman,
hata mimi nimechomikea tu na kukapanua kidogo hako kapointi,

ila ni muhimu kuzaa watoto kwa wakati na umri sahihi na muafaka, kuepuka fedheha na usumbufu wa kufanya hivyo umri ukiwa umekutupa mkono 🐒
 
Watu wa humu wengi wana imani za kizamani ,unachotaka mtoto au kujua ataishije ? Mafukar wanazaa watoto ambao hawana uhakika wa kula hata miaka 2 mbele ni kubangaiza.

Dunia ni uwanja wa fujo zaa atajua mwenyewe ataishi vip ukiondoka...Hao wanaokimbilia kuzaa baadaye wanakuja kulalamikw watoto wamewakimbia..
 
Back
Top Bottom