Mtanzania2020
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 817
- 1,752
Labda kama wewe siyo mwajiriwa wa Serikali vinginevyo utakuwa unalia na kikotoo huku mwanao kachinjwa na HESLB
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kwangu haipo? Au ni wa App tuPiga tu hesabu rahisi; 40+20=60
Halafu Mods huu utaratibu wa kututaka tuandike maneno yasiyopungua 60 umeanza lini?
Utakuwa umekufa tayariWadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani?
Najaribu kutaka kujua ili nifanye MAAMUZI.Naamini Majibu yenu yatawasaidia Watu wengi kupanga Umri sahihi wa kuoa na kuwa na Familia.
kama hazai mtoto yupi tena hapati shidaAchana na mambo yakuzaa ushachelewa,mtoto atakuita babu,au tafuta heka kweikweli ndani ya miaka mitano,hata ukifa mtoto hapati shida
Zaa bila hofuWadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani?
Najaribu kutaka kujua ili nifanye MAAMUZI.Naamini Majibu yenu yatawasaidia Watu wengi kupanga Umri sahihi wa kuoa na kuwa na Familia.
Likely atakuwa ni Seaman, hili kundi ni waathirika wakubwa wa kutopata watoto kabisa.Kuna matatizo mawili makubwa hapa!
1. Kufikisha miaka 40 bila kuoa (unless kulikuwa na kizuizi)
2. Kuuliza swali jepesi sana kama hili hapa jukwaani.
Kwamba mtiririko wa mfumo wa wetu wa elimu hufahamu? Non-sense!
Ewaaaah🙌Kwani kuzaa ni lazima?
Wajinga ktk jamii hamkosekani foolishboyKuna matatizo mawili makubwa hapa!
1. Kufikisha miaka 40 bila kuoa (unless kulikuwa na kizuizi)
2. Kuuliza swali jepesi sana kama hili hapa jukwaani.
Kwamba mtiririko wa mfumo wa wetu wa elimu hufahamu? Non-sense!
Mjinga mwingine na alikuambia asipofika chuo kikuu hufi ni naniAliyekwambia mtoto akifika chuo utakuwa hai ni nani?
Hamna hiyo 55-60 atakuja letewa kajukuu.Utakuwa na 65 hapo nimeweka miaka mitatu ya kuhangaika kutungisha mimba, 16 ya kitabu mpk chuo, na sita ya mpk aanze std 1
Ingekuwa SIO LAZIMA wewe ungekuwepo leo?Kwani kuzaa ni lazima?