Ukipata mtoto ukiwa na miaka 40, mpaka anamaliza chuo utakuwa na umri gani?

Ukipata mtoto ukiwa na miaka 40, mpaka anamaliza chuo utakuwa na umri gani?

Wadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani?
Najaribu kutaka kujua ili nifanye MAAMUZI.Naamini Majibu yenu yatawasaidia Watu wengi kupanga Umri sahihi wa kuoa na kuwa na Familia.
Utakuwa umekufa tayari
 
Weka 25

"Utakuwa na 65 years hapo uhakika"

20 yrs Estimation
20 manimum but 25 maximum.
 
Kaka zaa tena ukifika 48 piga mwingine hao watoto ndio watakutunza uzeeni imagine ukiwa na 68 dogo ana 20 kama ukipata wa kike ndio shangwe..... hawa watoto wa mapema wanakuwa washapata familia zao hivyo watakutelekeza.
 
Wadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani?
Najaribu kutaka kujua ili nifanye MAAMUZI.Naamini Majibu yenu yatawasaidia Watu wengi kupanga Umri sahihi wa kuoa na kuwa na Familia.
Zaa bila hofu
Nina miaka zaidi ya sitini nategemea mtoto miezi miwili ijayo kisha namuachia majukumu mwanangu mwenye miaka 30.
Imeandikwa "zaeni mkaujaze ulimwengu"
 
Kuna matatizo mawili makubwa hapa!
1. Kufikisha miaka 40 bila kuoa (unless kulikuwa na kizuizi)
2. Kuuliza swali jepesi sana kama hili hapa jukwaani.

Kwamba mtiririko wa mfumo wa wetu wa elimu hufahamu? Non-sense!
Likely atakuwa ni Seaman, hili kundi ni waathirika wakubwa wa kutopata watoto kabisa.
 
Acha woga, sio kila mtu anafuata utaratibu alioupanga, kuna kupanga na kupangiwa.
 
kama jiwe mwenyewe kafa ana katoto cha miezi kadhaa wewe ni nani uogope kuzaa, zaaaaaaaa kabisa maana kila mtoto anakuja na baraka zake nasema nasemajee nasemajeeee zaaaaaaaaaaaaaa tu , fyatueni mbona vibabu vya kizungu vinakuja huko kuoa dada zetu wakati vimechokaaaa mpaka na vingine vinavalishwa diepers lakini vinazaa.
 
Umri wa miaka 70 ndio umri wa kufikiria kuzaa au kuacha kuzaa. Kwanza umri huu bado una nguvu za kupeleka moto kama mwili hauna changamoto za kiafya/maradhi. Chini ya miaka 70 unazaa fresh tu ikiwa utahitaji watoto. Watu wa sasa wanataka kuzaa watoto wawili tu, let's say kijana una miaka 28 na mkeo ana 25 mmezaa watoto wawili tu, je mtaendelea kutumia kinga za uzazi at all the rest life? Hali ya afya ya huyo mama ata sustain na kemikali za kuzuwia mimba mpaka mayai yake yaache kupevuka akiwa na umri wa miaka 45 au 50, huo mwili utakuaje, huyo mama atafikisha miaka 70 au atakufa chini ya miaka 50?
 
Zaa tu usifikirie kuwa utakuwa na miaka mingapi sababu huwezi rudisha miaka yako nyuma.
 
Kuna matatizo mawili makubwa hapa!
1. Kufikisha miaka 40 bila kuoa (unless kulikuwa na kizuizi)
2. Kuuliza swali jepesi sana kama hili hapa jukwaani.

Kwamba mtiririko wa mfumo wa wetu wa elimu hufahamu? Non-sense!
Wajinga ktk jamii hamkosekani foolishboy
 
Utakuwa na 65 hapo nimeweka miaka mitatu ya kuhangaika kutungisha mimba, 16 ya kitabu mpk chuo, na sita ya mpk aanze std 1
Hamna hiyo 55-60 atakuja letewa kajukuu.
Labda awe wa kiume, videm hivi hasara tupu.
Niko babu sahii hata sielewi.
Wa kiume 4 wanapiga kitabu tu.
Huyu sasa wakike kazaa ghafla tu.
 
Back
Top Bottom