Ukipata mtoto ukiwa na miaka 40, mpaka anamaliza chuo utakuwa na umri gani?

aise dah,

Mungu akubariki sana
 
😳😁Mkuu trial n error
Acha masihara
Ndio tunakutana na ambao Bado akili
Yes trial and error, inafanya kazi vizuri sana. Maana yangu ni usijifungie kusubiri, go out there, date kiasi(sio kufanya ngono), katika dates tatu-nne lazima ukutane na Mr. Right🀣
 
Serikali imesikia kilio chako, sasa hakuna chuo kikuu, akimaliza ka saba tuu.... VETA!
Utakuwa na 53.
 
Mkuu samahani wewe ni wa kike?
 
Gentleman tulisha katazana kuchekeshana, hii sio nzuri πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…