Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,900
- 18,457
UTT ile IRR ni fixed na Share inategemea na soko lilivyo.Utt ndio best solution
Usisahau inflation ni 4%Ukiwa na Dollar account alafu ukaweka bond Kama vile Sukuk 7.6% ni njema sana
Biashara ulishawahi kufanya??Hongera sana brother, kamwe usisikilize maneno ya watu wanaokukatisha tamaa, as long as ulifanya analysis yako vizuriβ¦You are good to goβ¦ Mm mwenyewe nilinunua 3 yrs back za Crdb enzi zikiwa 380 zaidi ya 100M, ssiv bei imedouble na dividends 3 timesβ¦
Kwanini unapenda kuongelea vitu ambavyo huna uelewa navyo na kuandika ujinga tu.UTT ile IRR ni fixed na Share inategemea na soko lilivyo.
Kila moja ina faida yake na hasara zake.
Ila kwa kuwekeza kamilioni huwezi ona chochoteee.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kwanini unapenda kuongelea vitu ambavyo huna uelewa navyo na kuandika ujinga tu.
What on earth are you talking about.
Unakaa nayo ndani au wapi?Dola inaposhuka thamani wewe chukua shilingi yako ibadili kuwa dola nenda bereau exchange. Unaiweka dola muda kadhaa mfano Dec dola ilikua ni 2200 watu wakaanza kuziuza zaidi. Wewe ukiinunua na kama umekaa nayo mpaka sasa ile dola 1 ya January now ni 2650 ongezeko la 450 kwa kila dola.
Ina maana kama ulikua na dola 10000 utapata faida ya 4.5m ukiuza kwa sasa...
Kwanini unapenda kuongelea vitu ambavyo huna uelewa navyo na kuandika ujinga tu.
What on earth are you talking about.
What does IRR has to do with a mutual fund investor.
Like serious kuna watu humu wanaona kabisa wanakuona unatoa elimu kwa ujinga unaoandika.
Like serious hivi mnawezaje kuongelea mambo ambayo uelewa nayo.
IRR in mutual a fund, wewe ni asset manager au investor; mnajazana ujinga mtupu.
Acha kuandika ujingaPunguza personal attack.
Mutual fund zote faida huwa ni fixed na kwa bongo ni 12 - 14%
Ila hisa hutegemea na gawio na huwa kubwa au dogo kwa mwaka husika.
CRDB kuna mwaka waligawia 100/share na mwaka 65/share
Mfano mimi nina fund Kwenye Sanlaam Fund ambayo mpaka sasa nishajua mwisho wa mwaka ni 12.78% na Faida fund wao wamesema ni 13%
Ila mdogo angu yupo CRDB na hisa anasema mwaka huu gawio ni dogo kuliko mwaka jana.
Mutual fund una invest ukijua utavuna Rate gani of Return ila SHARE HAIPO.
KENGINE.
Ukiwa unatoa hoja punguza maneno ya kejeli na personal attack UTAFIKA MBALI.
Hiyo kujua kwa Mutual fund NDIO UZURI WAKE
Hiyo kutojua kwa Share ndio ubaya wake.
Ila share huwezi kuwa na return kubwa mwaka husika kuliko mutual fund.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mshua kwaheri.Acha kuandika ujinga
Mutual fund na commercial bank ni kitu kimoja.
Hujui hata tofauti ya UTT Hamis (Mutual Fund) na CRDB (Commercial bank).
kama uelewa tu wa definition za financial intermediaries ni changamoto unaweza tu kuwashauri watu kuhusu maswala ya investment.
Unaandika ujinga mtupu wa mambo usiyoyaelewa kuhusu financial instruments.
Mada ilikuwa juu yangu ina trend ndio maana nikachangia, nikuombe msamaha wewe na audience yako kwa kuingilia.
IΕa ninapokutana na upuuzi nashindwa kujivumilia.
Soma kwanza kuhusu financial intermediaries uone ujinga wako.Jifunze kutotoa maneno ya kashfa unapojadili Hoja.
Hilo litakusaidia na UTAFIKA MBALI.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Aargh hujui kituMshua kwaheri.
Unahasira mke katombw(a) nini?
Mbona una personal attack sanaa...
Jifunze kutumia maneno mazuri NDIO NIALIKE TUJADILI.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
HayaSoma kwanza kuhusu financial intermediaries uone ujinga wako.
Hujui hata tofauti ya mutual fund na commercial banks na shughuli zao.
Mimi nikikusoma naona unaandika ujinga tu na wewe sio investor.
Hujui kitu,ππππ
Hayaaa
#YNWA
#YANGA_BINGWA
JF bwana, wewe una dola ngapi umezihifadhi hadi sasa? Maisha ya Watanzania wengi ni DUNI wanaishi kwa KUPIGANIA MKATE WA KILA SIKU kwasababu ya sera za hovyo na mbovu kabisa za CCM.Dola inaposhuka thamani wewe chukua shilingi yako ibadili kuwa dola nenda bereau exchange. Unaiweka dola muda kadhaa mfano Dec dola ilikua ni 2200 watu wakaanza kuziuza zaidi. Wewe ukiinunua na kama umekaa nayo mpaka sasa ile dola 1 ya January now ni 2650 ongezeko la 450 kwa kila dola.
Ina maana kama ulikua na dola 10000 utapata faida ya 4.5m ukiuza kwa sasa...
Unataka nikuoneshe hujui? Kwa kukuelezea how things work?π₯°π₯°ππ
Poa
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Wengi humu ni hadithi tu hawana ata abc za investment.JF bwana, wewe una dola ngapi umezihifadhi hadi sasa? Maisha ya Watanzania wengi ni DUNI wanaishi kwa KUPIGANIA MKATE WA KILA SIKU kwasababu ya sera za hovyo na mbovu kabisa za CCM.
Ndio nafanya biasharaBiashara ulishawahi kufanya??
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Crdb bado hawajafika gawio la 100 per shareβ¦Mwaka juzi alitoa 45 mwaka jana 50 mwaka huu 65β¦Punguza personal attack.