Ukisikia kujilipua ndio huku. Milioni 60 hisa za CRDB, liwalo na liwe

Umeeleweka vema, ngoja tuwe na subira, 790 sasa
 
Walizania watauza kwa bei ya 800+ ili wapate faida ila matokeo yake wameangukia pua
Pia itategemea mtu amenunua kwa bei gani, kuna wengine walinunua kwa 700-750, still bado wana window ….wengi pia huwa wanaangalia Dividend yield ambayo huwa ni almost 9-10%… Ss kutengeneza faida ya 9-10% in less than 1 month bado ni faida kubwa tu..mtu aliyenunua 30th April akauza 8 May na still yuko entitled to Dividend tareh 2 June , amemake money !! Na kuna wengine wanasubiri matokeo ya Q2 yakiwa mazuri wanauza kwa bei ya juu zaidi wanamake profit zaidi bei ikipanda …Inadepend na mtu na strategies zake!!..
 
Jamaa alinunua hisa za CRDB kwa 660 leo hii hisa Moja ni 1000 Bado alipewa dividend kwa hisa Moja sh 65 πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
"No one shall be uncircumcised in a land where the knife never sleeps."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…