Ukisikia kujilipua ndio huku. Milioni 60 hisa za CRDB, liwalo na liwe

Naam ndio kuweka mayai mengi katika kapu Moja huko
 
Ukinunua sasa mwakani kama saivi bei itakuwa 1500+
 
Hongera sana. Pesa yako inadouble in few months
 
Mabenki hufilisika na wewe kuishia kubaki na makaratasi tu,lakini hili silioni likitokea kwa CRDB na NMB,kwa siku za karibuni. CRDB na NMB so far wanafanya vizuri kwa Sasa !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…