Ukisikia kujilipua ndio huku. Milioni 60 hisa za CRDB, liwalo na liwe

Hisa zinalipa ukianza kwa kujifunza(maarifa) then Uhakikishe ulinzi wa mtaji wako huku ukitegemea return nzuri in future. Huu ni uwekezaji wa muda mrefu so ukiwekeza, kuwa na malengo ya muda kidogo kwa kuzingatia kampuni nzuri kama CRDB, NMB, Afriprise, TCC etc
 
Soma nyakati, pia angalia mwamko namzunguko wa pesa mtaanina hapohapo iangalie CRDB kwa jicho la mbali. Unaweza subiri bei ishuke ukaja ikuta imefika 4000
 
Tupo. Na uzi utaendelea kuwepo
Sawa kaka.

Ila kwa mwaka huu haitavuka 2500. Mpaka march ni inarudi kwenye range ya elfu moja.
Hii january kuna mengi yametokea kuchezea soko na ukijumlisha na sheria za soko zilivyobadilishwa. But amini bei itakaa inapotakiwa.
 
UNACHOKITAFUTA UTAKIPATA TU

ALL D BEST
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…