Bongo uchawi ni WA kiwango Cha juu.Sawa kaka.
Ila kwa mwaka huu haitavuka 2500. Mpaka march ni inarudi kwenye range ya elfu moja.
Hii january kuna mengi yametokea kuchezea soko na ukijumlisha na sheria za soko zilivyobadilishwa. But amini bei itakaa inapotakiwa.
Fafanua boss acha mafumbo. Hatupo kusutana humu.Bongo uchawi ni WA kiwango Cha juu.
Wewe ni mchawi.Fafanua boss acha mafumbo. Hatupo kusutana humu.
Sawa. Asante.Wewe ni mchawi.
Leo ilikuwa 2500 sema imedrop tenaMangi
Ikifika hata 2500 mwaka huu. Njoo hapa tuambizane. March sio mbali....
Yep boss.... naona itatoboa 2500...Leo ilikuwa 2500 sema imedrop tena
Imefika afu ikadrop Ila crdb in long run italipa pia muamuko wa uwekezaji n mkubwa.Yep boss.... naona itatoboa 2500...
Umeiona hiyo NMB kaka? Sijui kwann haya mamb atukuwai fundishwa hata shuleni.Yep boss.... naona itatoboa 2500...
Hizi elimu tunakutana nazo mtaani na watu mpaka wakuambie ni shughuli. Kwanza hatuamini.Umeiona hiyo NMB kaka? Sijui kwann haya mamb atukuwai fundishwa hata shuleni.
Inashangaza sana,hata huku mtaani wenye uelewa na hisa ni kama hawapo kabisa...wenye uelewa tuwekeze aisee.Umeiona hiyo NMB kaka? Sijui kwann haya mamb atukuwai fundishwa hata shuleni.
Tupe mrejesho...Wakuu, Maisha bila kujilipua hayaendi. Kifupi kama unanifuatilia nilijichanga UTT AMIS na kuweza kupata kiasi cha 60ml sasa nimetoa hiyo hela yote na kununua hisa za CRDB. Kifupi, liwalo na liwe nikipata sawa na nikikosa sawa. Mungu jaalia. Nitaleta mrejesho baada ya Mwaka kupitia.
NB: Kila hisa nimenunua kwa 660.
Mbona mapema sana, gia angani mkuu[emoji3]Sawa kaka.
Ila kwa mwaka huu haitavuka 2500. Mpaka march ni inarudi kwenye range ya elfu moja.
Hii january kuna mengi yametokea kuchezea soko na ukijumlisha na sheria za soko zilivyobadilishwa. But amini bei itakaa inapotakiwa.
Yep boss.... naona itatoboa 2500...
Mkuu una stocks nyingi sana.Mlionicheka karibuni kwa comment
Tuuze ama tuendelee kununua?Imefika afu ikadrop Ila crdb in long run italipa pia muamuko wa uwekezaji n mkubwa.
Mkuu mambo yanabadilika. Vijana wanafanya hisa kama betting wanapandisha bei sana na sisi tunasema halihamdulillah.... Faida kwetu.Mbona mapema sana, gia angani mkuu[emoji3]
Hesabu yako umepigaje amana alikuwa na nusu bilion januaryTupe mrejesho...
NB: Kama hukuwahi kuziuza na ukaendelea kuzishikilia hadi leo. Zitakuwa na thamani ya 223,587,000/=
Kwamba zinarudi buku au sio 😂Ukiuza nusu ya hisa kwa bei ya sasa unavuta mpunga after 1 month hisa zinashuka kurudi bei yake 1100 unanunua tena kwa wingi zaidi...
Now watu wanafanya panic buy bei zinaruka hatari.
Watu wameingia na malengo ya 2026 hawajui soko litawashangaza soon...