Ukisikia kujilipua ndio huku. Milioni 60 hisa za CRDB, liwalo na liwe

Hesabu yako umepigaje amana alikuwa na nusu bilion january
Hiyo ni hesabu ya uwekezaji wa 60M pekee aliojilipua nao kwa mara ya kwanza.

Baada ya hapo aliendelea kuwekeza ndio maana ana nusu bilion hadi sasa.

Kama asingeendelea kuwekeza, ndio angekuwa na amana ile niliyoitaja hadi sasa
 
Kwenye app mpya, kutaka ku withdraw hawajaweka option ya kutoa
 
Kwa bei hii uliyonunua kwa sasa ww ni tajiri kama hukutoa kwa bei ilivyo sasa.
maana ata yule ambaye aliwekeza milioni 3 tu kwa bei hii kwa sasa anaongelea milioni 12+...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…