Ukisikiliza Hotuba za Samia ukalinganisha na Mwendazake utagundua uongozi ni karama

Badala ya kutuonyesha wedi kapu, sijui ni vitu gani hizi anatufanyia humo TBC. Kupandisha watu presha.
 
Serikaki ya jpm na genge lake ndio ilikuwa ya kifisadi kuliko zote
 
Kuwa Rais Taifa hili la wajuaji na wapigaji ...bila kupiga watu risasi wala kuteka wala kuzuia Bunge live...wala kuongea bila kufoka foka na kuwatishia watu na kufungia magazeti ....basi hapo Mungu kakupa karama kubwa Sana
Uko sahihi Mkuu tumekuwa Taifa la Wasaga kunguni wasiojua wanataka nini.
 
Jamii iliyokuwa imeharibika bado inataka mtu wa matusi kwenye jukwaa.
Hotuba za kiwerevu ndiyo zipi? Zile za kusema "Baki na mavi yako nyumbani"? Ndiyo mnataka?

Uwezo wenu wa kufikiri umeathiriwa na dikteta wa Chato. Go to hell as well
 
Serikaki ya jpm na genge lake ndio ilikuwa ya kifisadi kuliko zote
Ndiyo sababu kwa sasa watu wanaiba kwa sababu jinga ka wewe hamna shukrani. Ni bora kujichumia chako mapema, na mi nawapongeza sana viongozi maana jitu ka wewe eti unalitetea maendeleo hahahaha
 
Ndiyo sababu kwa sasa watu wanaiba kwa sababu jinga ka wewe hamna shukrani. Ni bora kujichumia chako mapema, na mi nawapongeza sana viongozi maana jitu ka wewe eti unalitetea maendeleo hahahaha
Wacha waibe wewe roho inakuuma nini? Ni vyako kwani?
 
Jamii iliyokuwa imeharibika bado inataka mtu wa matusi kwenye jukwaa.
Hotuba za kiwerevu ndiyo zipi? Zile za kusema "Baki na mavi yako nyumbani"? Ndiyo mnataka?

Uwezo wenu wa kufikiri umeathiriwa na dikteta wa Chato. Go to hell as well
Na tukishampata huyo tuanaanza kulialia kuwa hafai ni Dikteta uchwara tunataka Raisi anayefuata Utawala wa Sheria.

Utafiti ulisema katika,kila,Watanzania wanne mmoja ni chizi.
 
JPM ilikuwa ni habari nyingine kwanza ilikuwa raha sana kumsikiliza.

nchi ngumu sana hii kuna sehemu wamewaibua wakulima wakawaambia waandamane kumshukuru Rais kuwawezesha kupata mbolea HAKIKA Dr Bashiru kawashika pabaya.
 
Wanashukuru kuletewa mbolea?
Mbolea hii hii tuliyokuwa tunauziwa kwa kificho kama Cocaine tena kwa bei kubwa sana?
 
Kwa hiyo Bango la Mpiga kiwi barabarani likisifia basi Mh. anaona mambo shwari.
 
Kuwa Rais Taifa hili la wajuaji na wapigaji ...bila kupiga watu risasi wala kuteka wala kuzuia Bunge live...wala kuongea bila kufoka foka na kuwatishia watu na kufungia magazeti ....basi hapo Mungu kakupa karama kubwa Sana
Tunataka maendeleo acheni kumjaza Mama confidence ambazo hazipo. Maoni yako yamebadilika sana siku hizi. Uko upande wa Utawala pendwa. You are no longer objective at all....
 
Kwani huyo unayemsifia alikuwa maskini? Maskini anamiliki Mayanga Constructions na hotel kibao? Kwanini mnapenda mtu anayewadanganya? Kwanini hamjifunzi hapo Kenya tu kwenye uteuzi wa Mawaziri wao?
 
Jamii iliyokuwa imeharibika bado inataka mtu wa matusi kwenye jukwaa.
Hotuba za kiwerevu ndiyo zipi? Zile za kusema "Baki na mavi yako nyumbani"? Ndiyo mnataka?

Uwezo wenu wa kufikiri umeathiriwa na dikteta wa Chato. Go to hell as well
Bora zile hotuba huku maji yanatoka na umeme haukatiki katiki hovyo.
 
Nchi ni taasisi, ulitaka akabebe zege kule SGR? Afokefoke kama yule chizi?
Rais anakazi gani sasa.. na hili mkalitazame.

Dar haina maji miezi miwili sasa. Umeme ndo usiseme.. bando halijulikani bei..kila siki ninapanda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…