Ukitaka amani katika ndoa, oa mwanamke Muislamu mbadilishe kuwa Mkristu

Huyo sio mkristu Bali ni mwanakanisa. Kwenye ukristu kuna kanuni za uvaaji pia ila kwakuwa familia na makanisa mengi yameacha kuzizingatia na kuingiza demokrasia ndio maana tunahis wakristu wanaruhisiwa kuvaa vimin na suruali jambo ambalo sio kweli
Kwahiyo tatizo lipo kwa wahusika wa kanisa, wamelegeza sheria au hazifatwi kabisa, sadaka imepewa kipaumbele

Kwamba ukiweka sheria kali zitakazo wadhibiti wanawake wasivae nguo fupi au za kuwachoresha miili yao, basi watasusa kuja kanisani hivyo mchungaji hatapata sadaka

Inshort dini yetu hii ya kikristu inachukulia mambo poa sana, hakuna maadili tena siku hizi, wanaume wengi wanajiheshimu ila upande wa wanawake ni ovyo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watumishi wa kweli Haichukulii mambo poa ila hawana mda wa kumforce sana mtu. Wao wameisha kufundisha na kukuonesha njia ikupasayo kama mkristu wametimiza wajibu wao imebaki nafasi yako wewe muhumin kuyafata mafundisho au kuyapuuza utajibu mwenyewe mbele ya hukumu siku ikifika. Ila Kwa manabii fake wao hawawezi kukwambia hayo zaid ya kukudanganya kuhusu utajiri ili wale sadaka yako
 
Inshort dini yetu hii ya kikristu inachukulia mambo poa sana, hakuna maadili tena siku hizi, wanaume wengi wanajiheshimu ila upande wa wanawake ni ovyo sana
Changamoto inaanzia kwenye ngazi ya familia. Kanisa/msikiti wa kwanza ni familia je sahv ni familia ngapi zinazosali/swali pamoja na kufundishana mambo ya dini na Iman?
 
Hahahahaa bodaboda na koti chafu, ukweli mtupu mwenye masikio na asikie
 
Kwa kisa hiki as if key changer ni uislamu, unfortunately badala ya wewe kuwa muislamu umemrudisha binti wa kiislamu huko unakosema hakuna maadili mema. What a disgrace is that!
😂😂😂 Hata mimi nilitegemea watoto wake awalee katika hiyo misingi ya kiislam anayosema ndio iko vizuri.
 
Umevurunda


Dini ya kikristo haina mafundisho mabaya

Watu wachache wenye mapokeo mabaya ndio wanaupa ukristo sifa mbaya

Anyway
Nafikiri kufundisha watu kuua ndio mafundisho mazuri [emoji3][emoji3]


Si ndio nasema Ukristo unahimiza kutumia upanga ambapo ni kufanya mauaji na ukatili, sasa nakushangaa wakati huo huo "unafikiri kufundisha watu kuua ndio mafundisho mazuri", --- au labda sijakuelewa??!!
 
Unaposema Mkristo kwanza jua tu hilo ni jina kama jina tu lakini ili uwe mkristo kuna taratibu zake moja ni mpaka Yesu akuchague. Sio umezaliwa kwenye ukristo basi ukajiona mkristo no ni dini ya baba yako na Babu yako na wewe unakuwa mwanadini tu mpaka upokee Neema kwa Mungu. Mtu anajiita mkristo ila kwenye Uasherati na uzinzi yumo, mwizi hatoi zaka, mlevi na sigara yumo hapo unakuwa bado mpaka Kristo Aku process kwanza uache hayo mambo ndo utakuwa MFUASI WAKE.

Hakuna mtu anaweza mbadili mtu imani isipokuwa Mungu.Unawezaje kumbadili Mwislamu atabadili mwili lakini roho ipo ilipotoka. Lakini Mungu akihusika yote yanawezekana
 

Ivi Fatuma karume n mkristu??
maana nayy kaachika kisa usawa[emoji3][emoji3]
 
Shida wewe unataka mwanamke mtumwa/ mnyonge (eti aogope talaka), hapo hakuna dini liko akilini mwako kwasababu unalo tatizo la kisaikolojia ya mahusiano/ mawasiliano ambalo hujaligundua/ hujaambiwa. Wanawake ni binadamu na wana mahitaji yao katika mahusiano.
 

Nakubaliana na wewe...
 
Huyo aliebadli dini usikute ulimweleza kabisa kuwa nakutaka kwa sabb dini yenu ina maadili mema, na yy akakauelewa akabadiili kukufata kwenye dini yak isio na maadili.
 
Baeleze baelewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…