Kweli wewe boya unajua mtu ana hasira kutokana na andiko analo andikaπππ
Tatizo lako unahasira ambazo bila Shaka mwenyewe ukiulizwa hujui umezitoa wapiππ
Mm najiamini vilivyo kukuzidi wewe kukunguru....wewe lazima ufuatiliwe Kama ulivyo mpana kwenye kufuatilia ya wenzio ili uandike
Kama MboweWatu wanaojitambua sifa yao moja tu kuu nayo ni kuwa wana pesa ukoo mzima sifa zingine hizo zote ulizotaja ni porojo tu tena za kitoto
Kweli wewe boya unajua mtu ana hasira kutokana na andiko analo andika
Nijilinganishe na wewe Chizi......sema watu wenye uwezo mdogo Kama wewe ndo mnavyokuaga sijui mnaonewa wivu.....wenzenu hawajiamini sijui nn....'Nonesense' pumbavu kabisaKujilinganisha na mtu ni Dalili ya kutojiamini na kutojikubali Boss.
Mimi sijiamini, wala Hilo kwangu sio tatizo.ππ
Ukiwa na pesa halafu unalala na mbuzi ndio kujitambua?Watu wanaojitambua sifa yao moja tu kuu nayo ni kuwa wana pesa ukoo mzima sifa zingine hizo zote ulizotaja ni porojo tu tena za kitoto
Nijilinganishe na wewe Chizi......sema watu wenye uwezo mdogo Kama wewe ndo mnavyokuaga sijui mnaonewa wivu.....wenzenu hawajiamini sijui nn....'Nonesense' pumbavu kabisa
Anyway hatupangiania maisha[emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578]
Kwanza wewe maskini tu unaonekanaWewe unataka Uzi ufike kurasa ngapi ili hasira zako zipungue?
Sema mwanangu hata mm nakwambia mtu akikwambia ukweli usikimbilie oh sijui maisha yake magumuSema nini mwanangu!! Mimi nashukuru walau nimechat na wewe, bila Shaka umefurahi, Kama ningekuwa na Dharau Kama usemavyo, basi hata muda huu nisingetumia kuwasiliana na wewe hapa.
Hapa kijiwe, tunapiga Stori.
Kama unahasira tunajua maisha yanachanganya, so Mimi nakuchukulia Kama Mdau tuuππ
Ukishasema kujitambua ni kumkubali Mungu ushawanyanyapaa wasiomkubali Mungu kwamba hawajitambui.Mimi sijalazimisha Mkuu!
Tuliwahi kujadili na wewe humu wakati Fulani habari za Mungu.
Mimi napenda mtu huru kifikra, huwaga silazimishi maoni yangu yawe ya wengine, wala maoni ya wengine yawe yangu.
Mkuu kaburi la ibrahimu lipo nchi gani hapa dunia nami angalau nijuee maana hata bibliaa cjawah somaa
UvinzaMbona kujaongelea aina ya chakula, hujaongelea aina ya kinywaji, yaani we unaongelea kufagia na kupiga deki tu.
Kwanza wewe maskini tu unaonekana
Sema mwanangu hata mm nakwambia mtu akikwambia ukweli usikimbilie oh sijui maisha yake magumu
Msamehe tuu Mkuu.Ukiwa na pesa halafu unalala na mbuzi ndio kujitambua?
Tumia akili hata kidogo
Amka mkuu
Usiwe tuu general kuna jamii nyingi sana zina pesa haya hawafwatiliii
Ukishasema kujitambua ni kumkubali Mungu ushawanyanyapaa wasiomkubali Mungu kwamba hawajitambui.
Wakati hata ukiambiwa uthibitishe huyo Mungu yupo huwezi.
Sasa hapo nani hajitambui?