Ukitaka kujua jamii Fulani inajitambua, angalia Maeneo Yafuatayo

Ukitaka kujua jamii Fulani inajitambua, angalia Maeneo Yafuatayo

Mm najiamini vilivyo kukuzidi wewe kukunguru....wewe lazima ufuatiliwe Kama ulivyo mpana kwenye kufuatilia ya wenzio ili uandike

Kujilinganisha na mtu ni Dalili ya kutojiamini na kutojikubali Boss.

Mimi sijiamini, wala Hilo kwangu sio tatizo.๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
 
Kujilinganisha na mtu ni Dalili ya kutojiamini na kutojikubali Boss.

Mimi sijiamini, wala Hilo kwangu sio tatizo.๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
Nijilinganishe na wewe Chizi......sema watu wenye uwezo mdogo Kama wewe ndo mnavyokuaga sijui mnaonewa wivu.....wenzenu hawajiamini sijui nn....'Nonesense' pumbavu kabisa
 
Anyway hatupangiania maisha[emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578]
 
lakini kule Gonja kidherui hakupo ivo mkuu
 
Mkuu kaburi la ibrahimu lipo nchi gani hapa dunia nami angalau nijuee maana hata bibliaa cjawah somaa
 
Nijilinganishe na wewe Chizi......sema watu wenye uwezo mdogo Kama wewe ndo mnavyokuaga sijui mnaonewa wivu.....wenzenu hawajiamini sijui nn....'Nonesense' pumbavu kabisa

Sema nini mwanangu!! Mimi nashukuru walau nimechat na wewe, bila Shaka umefurahi, Kama ningekuwa na Dharau Kama usemavyo, basi hata muda huu nisingetumia kuwasiliana na wewe hapa.

Hapa kijiwe, tunapiga Stori.

Kama unahasira tunajua maisha yanachanganya, so Mimi nakuchukulia Kama Mdau tuu๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
 
Wewe unataka Uzi ufike kurasa ngapi ili hasira zako zipungue?
Kwanza wewe maskini tu unaonekana
Sema nini mwanangu!! Mimi nashukuru walau nimechat na wewe, bila Shaka umefurahi, Kama ningekuwa na Dharau Kama usemavyo, basi hata muda huu nisingetumia kuwasiliana na wewe hapa.

Hapa kijiwe, tunapiga Stori.
Kama unahasira tunajua maisha yanachanganya, so Mimi nakuchukulia Kama Mdau tuu๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
Sema mwanangu hata mm nakwambia mtu akikwambia ukweli usikimbilie oh sijui maisha yake magumu
 
Mimi sijalazimisha Mkuu!

Tuliwahi kujadili na wewe humu wakati Fulani habari za Mungu.

Mimi napenda mtu huru kifikra, huwaga silazimishi maoni yangu yawe ya wengine, wala maoni ya wengine yawe yangu.
Ukishasema kujitambua ni kumkubali Mungu ushawanyanyapaa wasiomkubali Mungu kwamba hawajitambui.

Wakati hata ukiambiwa uthibitishe huyo Mungu yupo huwezi.

Sasa hapo nani hajitambui?
 
Mkuu kaburi la ibrahimu lipo nchi gani hapa dunia nami angalau nijuee maana hata bibliaa cjawah somaa

Mwanzo 25:7
Hizi ndizo siku za miaka ya maisha ya Ibrahimu alizoishi, miaka mia, na sabini na mitano.

Mwanzo 25:8
Ibrahimu akafariki, naye akafa katika uzee mwema, mzee sana, ameshiba siku, akakusanyika kwa watu wake.

Mwanzo 25:9
Isaka na Ishmaeli wanawe wakamzika katika pango ya Makpela, katika shamba la Efroni bin Sohari Mhiti, lielekealo Mamre.
 
Amka mkuu
Usiwe tuu general kuna jamii nyingi sana zina pesa haya hawafwatiliii
 
Kwanza wewe maskini tu unaonekana

Sema mwanangu hata mm nakwambia mtu akikwambia ukweli usikimbilie oh sijui maisha yake magumu

Ukiwa na pesa halafu unalala na mbuzi ndio kujitambua?
Tumia akili hata kidogo
Msamehe tuu Mkuu.

Au hajawahi kuona mtu anapesa lakini mchafu, anaishi makazi ya hovyo.

Ndio maana alipotaja baadhi ya wahindi wala sikumjibu, anachojua kuwa na pesa ni kujitambua.

Anashindwa kujua wapo waliozaliwa kwenye hizo pesa
 
Ukishasema kujitambua ni kumkubali Mungu ushawanyanyapaa wasiomkubali Mungu kwamba hawajitambui.

Wakati hata ukiambiwa uthibitishe huyo Mungu yupo huwezi.

Sasa hapo nani hajitambui?

Shida ya kiranga ni Ukorofi

Wewe unataka uthibitisho gani Mkuu?
 
Back
Top Bottom