Ukitaka kujua nchi hii ina wenyewe, uliza tenda zote za mabilioni za huduma kwenye mradi wa bwawa la Nyerere nani walipewa!

Mgodi hata wewe unaweza kumiliki. Mtu yeyote anaweza kumiliki mgodi, wabongo wengi tu wa kawaida wanamiliki migodi nenda cadastre portal kajionee. Jielimisheni nyie mitanganyika acheni uzwazwa.
Kumaanisha!!!... Kuna fursa hivi sasa ya Samia Infrastructure Bond iko sokoni hadi mid January, wenye mihela yao kwa mabilioni wanaendelea kuwekeza.... Tusilaumiane huko mbele ya safari.... 🤓
 
Uongo ,umbeya na uzushi ndio vimekujaa na ndio maana umeshindwa kuweka ushahidi wa aina yoyote ile zaidi ya porojo zako za kitoto na kijinga.
 
Ninaangalia hapa list ya wale wote waliopewa tenda za kutoa huduma kwenye mradi wa Nyerere nabaki kutikisa kichwa tu. Tenda hizi zilikuwa ni za mabilioni na kwa ajili ya ku-supply kila kitu, kuanzia chakula, vifaa, huduma nk. Sana sana ulinzi ndio naona walipewa Suma JKT. Naona majina hapa ya mbunge huyu yupo mkoa jirani, halafu mke wa aliekuwa raisi, mawaziri nk!

Huenda mtu akaona kama hili sio tatizo. Ni tatizo sana, maana hawa wote wenye hizi tenda wana connection ya kuweza ku-influence uamuzi juu ya mradi. Kwa mfano, waliweza ku-influence mradi uchelewe kukamilika ili waendelee kutoa huduma za tenda zao.

Hii haitakiwi kabisa, inaitwa conflict of interest. Mtakumbuka suala la ucheleweshaji wa mradi lilipohojiwa kulitolewa majibu mepesi sana, ambapo kikawaida mkandarasi alipaswa kuwajibishwa lakini haikuwa hivyo, kwa sababu kuchelewa kwa mradi kulikuwa na manufaa kwa hawa wenye tenda, na hawakujali kuongezeka kwa gharama za mradi.

Kweli nchi hii ina wenyewe, na ndio maana ukitaka kuwaondoa kwenye hiyo himaya yao watakuwa tayari hata utekwe na kupotezewa!
TWENDE NA LISSU NDIO SULUHISHO LA MATATIZO YOTE YA TANGANYIKA TUITAKAYO.
 
Bila kutuwekea majina ni majungu tu umeandika
 
Mbunge wa mkoa jirani,si ungesema tu kibaha...jamaa ndio kazi zake toka kitambo,ana uzoefu.
 
Mgodi hata wewe unaweza kumiliki. Mtu yeyote anaweza kumiliki mgodi, wabongo wengi tu wa kawaida wanamiliki migodi nenda cadastre portal kajionee. Jielimisheni nyie mitanganyika acheni uzwazwa.
Soma uelewe

Narudia tena tenda ya kuhudumia chakula migodi ya Tanganyika ipo chini ya kampuni ya AKO na mmilika wa kampuni ni mke wa aliyewahi kuwa rais awamu ya tatu

Kama unaleta ubishi ambao hujui ukweli wake sema
 
Back
Top Bottom