Ukitaka kuwatesa warembo wakali wa mjini, wakutafute kwa udi na uvumba, fanya hivi wewe mwanaume

Unajua mkuu, hizi jinsi za kijani kitambaa kigumu ni vigumu sana kuzipata kwa sasa, ukionekana umeivaa unaweza kujikuta uko mwenyewe tu
🤣Mkuu wewe kwenye fasheni bado sana Ila point ya kusema usihonge honge, miliki chuma yako, nakubali
Sasa sisi ambao hatuna taili la baiskeli haturuhusiwi kusimamisha makhaghari🤔kwahiyo mapenzi ni kwa ajili ya waliona vipato vikubwa

Una uhakika hizo ni amri hapo juu haiwezi kuwa vice versa?
 
Ukitaka kuota mvi haraka paka mafuta kwenye nywele zako
 
Kuna kupata pisi kali zinazosumbua mijini, na kunakupata pisi za kawaida kama kina mwajuma ndala ndefu n.k Sasa wewe chagua unataka ipi?​
 
According to Mzee Wassira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…