Daisy Leaf
Senior Member
- Dec 17, 2024
- 187
- 345
Kabisa! kuna dada aligoma kuniuzia dawa dukani kwake kisa nimemsalimia "za sahizi" akaanza kupayuka we si ni sawa na mtoto wangu tu sijui hivi mara vile anashirikisha hadi wateja wengine nikamwambia uhitaji wangu akasema hauzi hiyo dawa nikasema ok...nikaendelea kwingine."Habari za asubuhi" , "Mmeamkaje" n.k ni salamu zenye maana sana na kumaanisha kuliko hizi za shikamoo... tatizo wabongo mtaani wajinga wajinga ukimuambia mtu mzima "Habari ya leo", anasema umemdharau...
Hakuna kitu sikipendi kama mvi, siku zikianza nitazipiga piko kama PMExpert wangu nina mvi za kutosha naona combination ya baba na mama jumla yake imesoma kwangu😂😂
Shida iko hapo expert wangu,watasema sasa hivi amejiona amekuwa hasalimii watu"Habari za asubuhi" , "Mmeamkaje" n.k ni salamu zenye maana sana na kumaanisha kuliko hizi za shikamoo... tatizo wabongo mtaani wajinga wajinga ukimuambia mtu mzima "Habari ya leo", anasema umemdharau...
Ni kweli kabisa kuna watu wanaumuka kama wamekula AmiraDah sasa hivi unaweza salimia hata mtoto ,nasikia vitoto vya daslamu vinaumuka haraka🤔
Mvi sio ishuu angalia tu uso ulivyo.Nimehangaika sana,kwa kweli hii salamu ya shikamoo haifai,hasa hasa wanawake ndo huwa wananichanganya zaidi unamuona unahis ni mkubwa sana kumbe ni kinda tu
baadae niliamua kama huna muvi nyingi na makunyanzi sikupi shikamoo
Huyo naye kavuka mipaka,anachukulia shikamoo kama pumzi ya uhaiKabisa! kuna dada aligoma kuniuzia dawa dukani kwake kisa nimemsalimia "za sahizi" akaanza kupayuka we si ni sawa na mtoto wangu tu sijui hivi mara vile anashirikisha hadi wateja wengine nikamwambia uhitaji wangu akasema hauzi hiyo dawa nikasema ok...nikaendelea kwingine.
Mimi zimeanza kwenye kidevu na chache kichwani 🤓Hakuna kitu sikipendi kama mvi, siku zikianza nitazipiga piko kama PM
huwa nashangaa sana, kuna wakati huwa nasalimiwa shikamoo na majimama na majibaba makubwa yamenizidi umri inabidi niitikie tu marahaba! Kwa sasa nimekuja na salamu zisizobagua umri, nazo ni jambo afande, jambo mtoto, jambo binti, jambo kijana, jambo baba/mama, habari za saa hizi, kwema?Ni sahihi kabisa,yani hapo mtihani sehemu mbili unaweza kuamkiwa na wakubwa kwako,nawe waweza amkia wadogo kwako,,ni shidaaa!
Mimi bwana nimeamua kuzikubali na nipo comfortable nazo,kwasababu ndio maumbile yanguHakuna kitu sikipendi kama mvi, siku zikianza nitazipiga piko kama PM
Pesa ndo kila kitu👿Ukiwa na pesa uchagani utasalimiwa mpaka na wazee
Shikamoo ifutwe..Kabisa! kuna dada aligoma kuniuzia dawa dukani kwake kisa nimemsalimia "za sahizi" akaanza kupayuka we si ni sawa na mtoto wangu tu sijui hivi mara vile anashirikisha hadi wateja wengine nikamwambia uhitaji wangu akasema hauzi hiyo dawa nikasema ok...nikaendelea kwingine.
Itakua Kuna jinsi ULIVYO toa salamu ungeitoa kwa unyenyekevu MKUBWA kabisa yaan usionyeshe kama ulimdharau or ume mu insult.Kabisa! kuna dada aligoma kuniuzia dawa dukani kwake kisa nimemsalimia "za sahizi" akaanza kupayuka we si ni sawa na mtoto wangu tu sijui hivi mara vile anashirikisha hadi wateja wengine nikamwambia uhitaji wangu akasema hauzi hiyo dawa nikasema ok...nikaendelea kwingine.
Mapombe nayo yanazeesha kuna Jamaa yangu,wanampa Shikamoo!Wakati Mimi ndie kijeba kwake!Binafsi mimi ni mgumu sana kutoa shikamoo. Hata watu wanaonizidi miaka 30+ kuna muda nawapa relative salamu sio absolute salamu kamashikamoo.
Unazaliwa tupo makazini! Kweli JF kibokoView attachment 3347358
Hiyo namba ndio mwaka wangu wa kuzaliwa,ulivyokuwa na hamu ya kujua Etugrul Bey ana miaka mingapi utapiga hesabu bila aibu ujue nina miaka mingapi,usijichoshe hii may nimetimiza miaka 46,je kuna mwenye shida na hilo?
Nakumbuka nikiwa Chuoni kuna mtu wa Library kipindi hicho alikuwa kwenye 40's akasema ukiwa na umri huu ni mtihani,unaweza usisalimie watu kwa kuwaona mnalingana au ukajikuta unawasalimia wadogo zako kwa umri
Aisee sasa namuelewa sana,kwanza namshukuru Allah nimejaaliwa mvi za kutosha tu,ishu ni kwamba huwa sometime nashindwa kuwaamkia watu nisio wajua kwakuwa naona kama nipo sawa nao tu,lakini sometime najishtukia naona kama nilipaswa kuwaamkia
Hii salamu ya Shikamoo sio poa kwasababu inamtaka mdogo amsalimie mkubwa,lau tungekuwa na salamu flani hivi ambayo haibagui mkubwa na mdogo ingekuwa poa sana, kwa mfano salamu ya "habari za asubuhi au mchana au jioni" haina mfumo wa mkubwa au mdogo
Najua watoto wa elfu mbili hamuelewi hili kama ambavyo nami sikumuelewa yule jamaa wa kule library kule Chuoni,sasa nimemuelewa,nanyi pia mtakuja kumuelewa Etugrul Bey siku moja when u turn 40's
Kama kuna mtu ambaye anamjua alieanzisha hii salamu aniambie,kwani namhitaji huyu mtu anipe maelezo ya kina ilikuwaje wameturithisha hii salamu.
Ni hayo tu!
Yani nakuelewa sana expert wanguShikamoo ifutwe..
Huwa sielewi maana yake..
Kuna shikamoo nyingine unaitoa lakini kwa mvutano sana na mkwaruzano wa mawazo ndani ya nafsi yako..
Kwa sisi wa kiume kuna wale wamama hawataki kuzeeka unakuta kajiachia kama binti aisee inakuwa ngumu sana kutoa shikamoo..
Shikamoo mwananguUkiwa na pesa uchagani utasalimiwa mpaka na wazee
Yawezekana lakini salamu niliitoa kwa heshima zote na hakuwa mtu mzima wa kunizaa sijui tu ndo alivyo au mood ilikuwa mbovu sikuhiyo.Itakua Kuna jinsi ULIVYO toa salamu ungeitoa kwa unyenyekevu MKUBWA kabisa yaan usionyeshe kama ulimdharau or ume mu insult.
Kama umemwammbia MAMBO VP? MAMA WA KUKUZAA ATAONA KAMA UME MU INSULT
Upo serious expert wangu?Unazaliwa tupo makazini! Kweli JF kiboko