Ukiwa Mtu Mzima Utagundua Kwamba Salamu Ya Shikamoo Ni Mtihani

Kumbe tupo baba zet u humu? Huo umri wako unaweza kunizaa kabisa aisee shikamoo Etugrul Bey
 
Me nasalimia wazeee tuu tena wenye umri wa kuwa wazazi wangu, wengine watanisamehe....
 
Hahahaha me nasilimia tuu yeyote labda kwa tuliozoeana wataniambia unazingua ujue πŸ˜‚, mm sio mzee Ila nawaamkia na wanaitika.
 
Huku kwetu kuna Asalam alaykm kwa wingi au cheichei
Hio shikamoo ndio inazoeleka kipindi hiki watu washachanganyika sana na jamii nyenginezo. Mie sn huamkia shikamoo mtu alokuwa mzee sana hasa. Lkn kawaida Asalam alaykm, vp hali baasss imetosha
 
Wakoloni ndio walileta hii salamu. Kuna siku nipo nchi jirani mmama mtu mzima sana kwangu akaniambia shikamoo. Alifikiri hiyo salamu kwa Tanzania ni kama habariπŸ˜ƒ
Shikamoo maana yake nakushika miguu, ndio maana kuna wengine hupinda goti wanapoamkia wakubwa. Na marhaba maana yake ahsante.
Sasa vijakazi walipokuwa wanaamkia mabwana zao ndio walikuwa wanapiga goti na kusema shikamoo. Then wakuu nao huitikia marhaba huku wanawagusa kwenye vichwa vyao
 
Gudila nimefanya kitu mbaya nikirejea kule.
We subiri utaona 😎.
Ninyi ndo mlimaliza six,

Nakumbuka tulivyo maliza bhn ilikuwa kipindi Cha mvua sunajua kule hazikauki,

Tumetoka watu wanalala kwenye maji, wengine wanachana chana nguo,

Me nikaingia pale shabani Robert room 13, nikachukua tranka langu,

Nguo nilizivua nikaziacha pale pale, hata sikutaka kuangalia plus godoro, nikachukua tranka langu huyo!

Mjini Moshi, tyr kwenda kwetu old Moshi kidia
 

Hiyo ya kupiga magoti ndio siwezi hata kwa mboko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…