sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,792
- 9,017
Thubutu hiyo salam inanifanya nijisikie mnyonge tehNipe shikamoo yangu..
Thubutu hiyo salam inanifanya nijisikie mnyonge tehNipe shikamoo yangu..
Miongo miwili ni michache soon utakuwa huko.Kuifikisha hiyo bado miongo miwili duuh hongereni
Kikubwa Mungu atujalie uzima, tuuMiongo miwili ni michache soon utakuwa huko.
Lakini hawasalimii kwa kiswahili,wanasalimia kwa lugha yao ambayo siyo shikamoo.Ukiwa na pesa uchagani utasalimiwa mpaka na wazee
Uchebe huo
HaswaaLakini hawasalimii kwa kiswahili,wanasalimia kwa lugha yao ambayo siyo shikamoo.
Mi nilimchana chana nguo za shule nikabaki na boksa t-shirt na jeans kadhaa maana siyo yunifom za shule.Ninyi ndo mlimaliza six,
Nakumbuka tulivyo maliza bhn ilikuwa kipindi Cha mvua sunajua kule hazikauki,
Tumetoka watu wanalala kwenye maji, wengine wanachana chana nguo,
Me nikaingia pale shabani Robert room 13, nikachukua tranka langu,
Nguo nilizivua nikaziacha pale pale, hata sikutaka kuangalia plus godoro, nikachukua tranka langu huyo!
Mjini Moshi, tyr kwenda kwetu old Moshi kidia
Hahahaha napamiss wakati mwingine pale assembly yetu ya jioni kama saa hzMi nilimchana chana nguo za shule nikabaki na boksa t-shirt na jeans kadhaa maana siyo yunifom za shule.
Kusema ukweli maparachichi nimeyamisi sana.Hahahaha napamiss wakati mwingine pale assembly yetu ya jioni kama saa hz
Mimi lile laifu la hekaheka tuu 😂Kusema ukweli maparachichi nimeyamisi sana.
Mimi lile laifu la hekaheka tuuKusema ukweli maparachichi nimeyamisi sana.
La kuzomea mamadam siyo?Mimi lile laifu la hekaheka tuu 😂
Mtaalamu sjui tunatofautiana mie niko kwenye forties lakini sina mvi hata moja nywele bado nyeusi tii. Ajabu kwenye ndevu ndio naona mvi tena ni kidevuni nazo si nyingi zipo kama mbili au tatu.Expert wangu nina mvi za kutosha naona combination ya baba na mama jumla yake imesoma kwangu😂😂
Kuna jamaa alikuwa na mvi tangu akiwa na mwaka mmoja.Mtaalamu sjui tunatofautiana mie niko kwenye forties lakini sina mvi hata moja nywele bado nyeusi tii. Ajabu kwenye ndevu ndio naona mvi tena ni kidevuni nazo si nyingi zipo kama mbili au tatu.
Itakuwa umerithi maana kuna watu wana miaka 30 kichwa chote mvi
Muhimu migomo mixer bash kukimbizana na kasaro kisa bam 😂La kuzomea mamadam siyo?
Ndio walivokuwa wakifanya vijakazi kwa mabwana zao enzi za utumwaHiyo ya kupiga magoti ndio siwezi hata kwa mboko.
Kusikiliza zile sauti za kimahaba za Odilia😎.Muhimu migomo mixer bash kukimbizana na kasaro kisa bam 😂
Hii salamu ibadishwe iwe kama ya English.Ndio walivokuwa wakifanya vijakazi kwa mabwana zao enzi za utumwa
Kwa hio sio heshima actual ni urithi wa utumwa na kutokujielewa
Na wa 1980 awe na miaka mingapi!? Hesabu imekuwa ngumu kiasi hicho!?79 si una miaka 45 tu? Mbona kama mvi zimekuja mapema sana?
Mimi principle yangu ninayotumia kama MTU huna uwezo was kunizaa, sikuamkii shikamoo, maana unaweza kuta watu umewazidi umri shikamaoo, (au wanafikiri umewazidi umri wakakushangaa)
Mie ukiniona niamkie cheichei alooHii salamu ibadishwe iwe kama ya English.
Shikamoo inashusha thamani na utunwa mtu sometimes.