secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Hapo kwenye watoto kwa kweli sijui chochote.Hibi ana watoto wangapi saa hv?
Hapo kwenye watoto kwa kweli sijui chochote.Hibi ana watoto wangapi saa hv?
😂😂😂Hapo kwenye watoto kwa kweli sijui chochote.
Niamkie mdogo wangu...Salamu tamu sana hio
Niamkie mdogo wangu...
Marahaba mdogo wangu uwe unaniamkia...Shikamoo Kaka. Asante kwa Likes
Na pia inatumika kama ngao kwa wanawake kuwakata ngebe 'wazee vijana'.View attachment 3347358
Hiyo namba ndio mwaka wangu wa kuzaliwa,ulivyokuwa na hamu ya kujua Etugrul Bey ana miaka mingapi utapiga hesabu bila aibu ujue nina miaka mingapi,usijichoshe hii may nimetimiza miaka 46,je kuna mwenye shida na hilo?
Nakumbuka nikiwa Chuoni kuna mtu wa Library kipindi hicho alikuwa kwenye 40's akasema ukiwa na umri huu ni mtihani,unaweza usisalimie watu kwa kuwaona mnalingana au ukajikuta unawasalimia wadogo zako kwa umri
Aisee sasa namuelewa sana,kwanza namshukuru Allah nimejaaliwa mvi za kutosha tu,ishu ni kwamba huwa sometime nashindwa kuwaamkia watu nisio wajua kwakuwa naona kama nipo sawa nao tu,lakini sometime najishtukia naona kama nilipaswa kuwaamkia
Hii salamu ya Shikamoo sio poa kwasababu inamtaka mdogo amsalimie mkubwa,lau tungekuwa na salamu flani hivi ambayo haibagui mkubwa na mdogo ingekuwa poa sana, kwa mfano salamu ya "habari za asubuhi au mchana au jioni" haina mfumo wa mkubwa au mdogo
Najua watoto wa elfu mbili hamuelewi hili kama ambavyo nami sikumuelewa yule jamaa wa kule library kule Chuoni,sasa nimemuelewa,nanyi pia mtakuja kumuelewa Etugrul Bey siku moja when u turn 40's
Kama kuna mtu ambaye anamjua alieanzisha hii salamu aniambie,kwani namhitaji huyu mtu anipe maelezo ya kina ilikuwaje wameturithisha hii salamu.
Ni hayo tu!
Kama ua limeshafunguka, mimba anabeba yeye ni mtu mzima, kwani haipiti?kuna wengine ukiwatokea wanakuambia mbona we ni sawa na baba yangu! Inabini uone noma kakukata stimu
kama una hela hataona uzeeKama ua limeshafunguka, mimba anabeba yeye ni mtu mzima, kwani haipiti?
Hata wazee ambao huwa naswali nao ni assalaam alikum kwa kwenda mbele na ni dua pia safi kabisaBinafsi kama ni muislam na unanijua na nakujua basi kutopata hiyo shkamo ni mwendo wa asalam alaykum,au habari za saizi only,hata wazee wangu wanaipata kwa tabu mnoo na soon naelekea kuikata hii salam ya shkamoo.nimepiga marufuku nyumban hii salam kwangu.
😂😂Ukiwa na pesa we tajirii oh hata usipo sema shikamoo wazee watakupa na kushangiliwa kwa maneno matamu na utaamkiwa tu hadi na hawa wazee hataa kama mdogo huna mvii ndiyo ujue pesa mwanaharamu😅
😂😂😂😂Ukiwa na pesa uchagani utasalimiwa mpaka na wazee
Nimeipenda hii😂😂Kuna wazee yani Shikamoo kwao ndiyo umemuheshimu na usipoitoa utasikia kijana ehhh vipi hapo anaanza kuiitafuta kwa nguvu shikamoo sasa utasikia kwahiyo tunalingana siku hizi umeota mapembe vijana wa siku hizi ni wa hovyo sana nyie,ila kama pesa ipo hizo sio lawama tena zinaenda na sifa zako juu yake😅
Hao hawana Shida maana ndio salamu yetu hiyo akhy Kwanza "nakushikamoo " haina fadhila zozote sema tu kuna baadhi hawaridhiki mpaka uweke hiyo juu ya salamu nyingineHata wazee ambao huwa naswali nao ni assalaam alikum kwa kwenda mbele na ni dua pia safi kabisa
Upo sahihi kabisa expert wangu,ni changamoto sanaKuna wazima ukiwasalimia 'habari za saa hizi' wanaona hujawatendea haki; kwamba dharau. Walipaswa kuamkiwa 'shikamoo'
Dah hii nayo ya mke kumsalimia mume inakuwaje?Ahaaa !! Mimi mke wangu ananisalimia shikamoo Ila tukikutana live hanipi shikamoo shikamoo yake inaishia katika simu
Noted expert wanguSalamu ya habari ni nzuri zaidi kwa mtu usiemjua, hiyo shkamo salimia wakubwa unaowajua wenye umli sawa na mzazi wako, lakini mnaokutaka just say to hello, hi, habari, za saa hivi full stop. Me watoto angu wote kusalimia shkamo ndo walishashindwaga kitambo, labda mzazi, bibi, babu, aunty, uncle that ok
Shikamoo ina boa sana expert wanguHahaha hii inanikuta mimi kuna mda nawasalimia wadogo zangu kabisa siku hizi watu wanakua haraka sana hasa wanawake hahahaha kuna profesa mmoja nikimuamkia shikamoo haitikii na madam flani ivi alikua mwalimu wangu wa kozi hahah
😂😂Kama mleta mada bado yuko kwenye 40's anapaswa kunipa shikamoo yangu ama niichukue kwa nguvu 😎.
Naitaka shikamoo yangu.