Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,102
- 4,028
Hata ukiwa na Imani ndogo kama punje ya haradari utaumbia huu mlima ng'oka ukatupwe kule. Haha hiyo kazi ya akili ndogo wenye akili kubwa kama wewe π sijui mkojeWenye akili ndogo huweza kwa namna yako.
Hata ukiwa na Imani ndogo kama punje ya haradari utaumbia huu mlima ng'oka ukatupwe kule. Haha hiyo kazi ya akili ndogo wenye akili kubwa kama wewe π sijui mkoje
Hivi wewe uje umuoe mwanangu unaenda kumfanya Nini? Anakuja kwako kufanya Nini kama siyo mshedede wako nipambe Nini mie sijui kupambaChochote ambacho hutaki kufanyiwa usimfanyie mtu.
Utajisikiaje ukisikia mwanaume akimwambia binti au mama yako maneno uliyoyatamka,
Hivi wewe uje umuoe mwanangu unaenda kumfanya Nini? Anakuja kwako kufanya Nini kama siyo mshedede wako nipambe Nini mie sijui kupamba
Wanawake tumeumbiwa ili tuwatindue nimerudia Kwa mara nyingine
Sawa mie Sina heshima Wala stahaKwa sisi watalaamu wa semantikΓ ya lugha hΓΊwezi kuficha hila yako kwenye maandishi
Lugha uliyotumia haiwezi tolewa na mtu mwenye heshima au staha
Sawa mie Sina heshima Wala staha
Sasa ya Nini utake kunilazimisha ?
Wewe endelea na staha zako hatuwezi fanana
Wewe hapo kwanza Kwa kichwa chako vita vikali VIPO
Na unaweza jisema wewe unaheshima mwingine akakuona we pumba tu unaweza jiona wewe unastaha mwingine akakuona fedhuli tu
Kaa kwenye heshima na staha yako bosi
Humu hayupo baba yangu Wala mama yangu hata kama wangekuwemo, baba yangu alikuwa akimtindua mom ndiyo kinyengeremtoi mie nkazaliwa hahaha . Nakuambia hatuwezi fanana bro keep your suggestions within you, kwangu niache hivi hiviNi ushauri tuu.
Ukitoa maneno yoyote hakikisha unamzingatia Mama na Baba yako. Waheshimu.
Kauli hiyohiyo ungeweza kusema, wanawake waliumbwa kwaajili yetu ili tuwaoe mbele ya mtu yeyote hata Mama au Baba au mtoto au mtu yoyote wa heshima na Watu wangekuelewa na ungelinda heshima yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu huyu ni mwanamke mmoja au kundi kubwa la wanawake?
Hewaaaa kumbe mkuu sasa umetuelewa sisi tunaokataa ndoa. KATAA NDOA either kwa muktadha wa hoja ya kwanza ya mtoa mada au hoja ya pili.
Ila iko possible kwa ndege kama Tai,wao huwa wanakuwa dume moja na jike moja,mpaka kifo kiwatenganishe!Aliyeleta ndoa sijui ni nani naturally tumeumbwa mithili ya wanyama kujamiana na kuachana kama alivyo jogoo na jike
MTIBELIKila mtu namuelewa kwa muktadha wake.
Ila siku zote tafuta kilichobora
Bora hao, kuliko kile kikundi cha mashoga kinachosema "kataa ndoa". Kuoa ni swala afya ya jamii na ulimwengu.Ivi ni kwanni uhamasishaji wa kuoa kwa Tanzania umekua mkubwa mno kuliko kupeana michongo ?
MTIBELI
Nimeshaoa kama miaka kumi iliyopita..Katika utafiti wangu nimegundua kwamba:
1.Wanaume ni waathirika wakuu wa ndoa kiuchumi,Pato lake linatumika kwaajili ya mke,mashemeji,watoto nk.Yaani unakuta anasuruali tatu, pair1 za viatu kinyume na kipato chako
2.Stress nyingi kwaajili ya mkewe, na familia ie kuchitiwa na migogoro ya hapa na pale yaliyosababishwa na kuoa
Unasafa sana kwaajili ya familia yako wakati wanaoinjoy ni wengine.
Mwisho wake baba anadharauliwa na sifa zote Kwa mke na huko uzeeni watoto na mama yao wanakutenga, na watoto wanamjali mama yao kuliko baba....
Nan kakuambia kataa ndoa ni mashogaBora hao, kuliko kile kikundi cha mashoga kinachosema "kataa ndoa". Kuoa ni swala afya ya jamii na ulimwengu.
Taikun sijasema wala kuandika kuhusu kuwaoa au kuishi nao ndo utajua wanawakeHakuna Logic kwenye huo msemo.
Unaweza kuwajua wanawake hata pasipo kuwaoa wala kuishi nao
Taikun sijasema wala kuandika kuhusu kuwaoa au kuishi nao ndo utajua wanawake