Ukiweza kufanikiwa Joburg basi wewe ni Mpambananji na unatakiwa upewe maua yako

kuishi kwenye mji ambao criminal rate ipo juu kunahusiana vipi na maisha ya tanzania?.

kwamba wanaoishi Joburg kwenye uhalifu mwingi wana maisha nafuu kuliko wanaoishi let say dar kwenye uhalifu hafifu?.

NB: inasemekana wahalifu wengi wa SA ni vijana wahamiaji kutoka mataifa mengine including tanzania.
 
Yaani unatafuta unapata halafu wahuni wanachukua . huiwezi hata kukaa sehemu za burudani. Ndio maisha ya kusifia haya!?
 
Naongelea maisha kwa ujumla unafanisha hivyo vijiji huko mbeya na joburg tuweni serious
Mi nakupa kwamba kupinda watu wamepinda kila mahali,hapo mbeya mafiat nenda ukaone .
We unaona South ulimwenguni wakati ni ujingani tu.
Mdogo wangu anayenifata alikua huko na alikua gangster.
Baada ya kuchomwa visu mara 4 ndo nikamrudisha bongo.
sa hii anasema bro bila wewe mi ni mfu.
We mambo ya South tumeenda 90s unaongelea leo unajiona mjaanja.
 
Hakuna sehemu nimejisifia kwenda south kwenye uzi yaani nijisifie sehemu ambayo hauhitaji visa kwenda
We ni mshamba tu maswala ya mdogo wako yananihusu nini wewe mwenyewe hata sikujui
 
Mtu anasifia uhalifu. Smh

Katika majiji 10 dangerous duniani karibu yote yanatokea South America na bado watu wanatoboa huko, hao Jo'burg wachumba tu. Uhalifu sio jambo la kusifia nonetheless.

Mtu akitoboa popote pale muheshimu. Jo'burg kuna more opportunities kuliko Songea iliyotulia, so I'd give more props kwa mtu aliyetoboa Songe/bongo kuliko SA.
 
Hakuna sehemu nimesifia uhalifu ebu onyesha sehemu niliposifia uhalifu
 
Mkuu umewahi kusikia sehem inaitwa Ituri, Bunia na Butembo,? au kule kwa yule mwamba Joseph Koni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…