JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Inaonekana umetembea Dunia nzima Kweli huu ndio upeo wa MtanzaniaUnauhakika gani kwamba huko kwingine sijatembelea au unanijua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana umetembea Dunia nzima Kweli huu ndio upeo wa MtanzaniaUnauhakika gani kwamba huko kwingine sijatembelea au unanijua
Mbona una inferiority complex kubwa sana Kuna sehemu nimesema kwamba huwezi fila joburg ebu nionyesheMzee wa Joberg hapo ni jana usiku, tuambie hiki ni kituo cha Daladala katika Mall gani?
Ila soon nakuwa Bahi Dodoma, kwa hiyo kuwa Bahi sio kwamba mtu hawez fila Joberg au hapajuiView attachment 2905741View attachment 2905743View attachment 2905744
Sio kosa hata wewe unaweza kutembeaInaonekana umetembea Dunia nzima Kweli huu ndio upeo wa Mtanzania
kuishi kwenye mji ambao criminal rate ipo juu kunahusiana vipi na maisha ya tanzania?.Tanzania watu wanaoshi kwemye comfort zone huo ndo ukweli ukitembea ndo utaelewa watu wako kwenye comfort zone
Ni kawaida Tanzania kupita na kukuta watu wapo kwenye vijiwe vya kahawa au shoe shine mda wa kazi wanabishania yanga na simba au mambo ya siasa, Tanzania mtu anaweza asiwe anafanya kazi na anapata mahitaji yote ya muhimu ya binadamu
Wewe kama ni hustler hapa Tanzania nenda joburg utajiona ni kama mjinga hivi ambaye ulikua unaigiza maisha Tanzania au unacheza
Real hustling ipo joburg mji unavurugu na ujambazi wa kutisha na mda huo huo unatakiwa utafute hela ule ni mji wa kiumeni ukiona mtu ametoboa joburg mheshimu
Juzi juzi hapa nilimtembelea rafiki yangu joburg aisee saa 1 tayari uko ndani ukiwa nje ni kwa your own risk bar tulizokua tunaenda ni zile zenye ulinzi mkali ukienda za kawaida uko una hatari kubwa sana ya kukabwa au kufanyiwa uhalifu, karibia wote kwenye ofisi yao kwa nyakati tofauti kila mmoja kashafanyiwa uhalifu wa kuibiwa waziwazi
Sikukaa sana ila kwa observation nilioifanya joburg ni mji wa kiumeni sana. Kwa Afrika nzima hakuna mji wa kiumeni kama joburg
Yaani unatafuta unapata halafu wahuni wanachukua . huiwezi hata kukaa sehemu za burudani. Ndio maisha ya kusifia haya!?kuishi kwenye mji ambao criminal rate ipo juu kunahusiana vipi mtu maisha ya tanzania?.
kwamba wanaoishi Joburg kwenye uhalifu mwingi wana maisha nafuu kuliko wanaoishi let say dar kwenye uhalifu hafifu?.
NB: inasemekana wahalifu wengi wa SA ni vijana wahamiaji kutoka mataifa mengine including tanzania.
Mi nakupa kwamba kupinda watu wamepinda kila mahali,hapo mbeya mafiat nenda ukaone .Naongelea maisha kwa ujumla unafanisha hivyo vijiji huko mbeya na joburg tuweni serious
Hakuna sehemu nimejisifia kwenda south kwenye uzi yaani nijisifie sehemu ambayo hauhitaji visa kwendaMi nakupa kwamba kupinda watu wamepinda kila mahali,hapo mbeya mafiat nenda ukaone .
We unaona South ulimwenguni wakati ni ujingani tu.
Mdogo wangu anayenifata alikua huko na alikua gangster.
Baada ya kuchomwa visu mara 4 ndo nikamrudisha bongo.
sa hii anasema bro bila wewe mi ni mfu.
We mambo ya South tumeenda 90s unaongelea leo unajiona mjaanja.
We mbuzi,ukianza mambo ya matusi ntakupanda,kwanza hujui unaongea na babaako hapa nyau we.Hakuna sehemu nimejisifia kwenda south toaujinga wako hapa yaani nijisifie sehemu ambayo hauhitaji visa
We ni mshamba tu maswala ya mdogo wako yananihusu nini wewe mwenyewe hata sikujui
Ahahaaaaa hii ndo Jf bhanahuu uzi mbona kama kila ntu kafika J'berg!
Jana mwenyewe ulisema uko Tandale! 😅🤷🏻♀️Naaam!
Natoa huduma ya ulinzi kwa bei rahisi ru rafiki😅,kwa msaada zaidi usisite kunitafuta.
Uhalifu, sio ualifu. Pia kama ni mwanaume kweli usiwe ndani saa moja usikuUanaume ni pamoja na kusurvive kwenye mazingira magumu yakiwemo ya ualifu
Ndio,Jana mwenyewe ulisema uko Tandale! 😅🤷🏻♀️
Nilienda kutembea na nimesharudi mimi kule sio mwenyeji nitembee niende wapiUhalifu, sio ualifu. Pia kama ni mwanaume kweli usiwe ndani saa moja usiku
Kichanga ni noma na nusu mjombaKitchanga huko North kivu si mchezo kwakweliii
Hakuna sehemu nimesifia uhalifu ebu onyesha sehemu niliposifia uhalifuMtu anasifia uhalifu. Smh
Katika majiji 10 dangerous duniani karibu yote yanatokea South America na bado watu wanatoboa huko, hao Jo'burg wachumba tu. Uhalifu sio jambo la kusifia nonetheless.
Mtu akitoboa popote pale muheshimu. Jo'burg kuna more opportunities kuliko Songea iliyotulia, so I'd give more props kwa mtu aliyetoboa Songe/bongo kuliko SA.
Mkuu umewahi kusikia sehem inaitwa Ituri, Bunia na Butembo,? au kule kwa yule mwamba Joseph Koni?Tanzania watu wanaoshi kwemye comfort zone huo ndo ukweli ukitembea ndo utaelewa watu wako kwenye comfort zone
Ni kawaida Tanzania kupita na kukuta watu wapo kwenye vijiwe vya kahawa au shoe shine mda wa kazi wanabishania yanga na simba au mambo ya siasa, Tanzania mtu anaweza asiwe anafanya kazi na anapata mahitaji yote ya muhimu ya binadamu
Wewe kama ni hustler hapa Tanzania nenda joburg utajiona ni kama mjinga hivi ambaye ulikua unaigiza maisha Tanzania au unacheza
Real hustling ipo joburg mji unavurugu na ujambazi wa kutisha na mda huo huo unatakiwa utafute hela ule ni mji wa kiumeni ukiona mtu ametoboa joburg mheshimu
Juzi juzi hapa nilimtembelea rafiki yangu joburg aisee saa 1 tayari uko ndani ukiwa nje ni kwa your own risk bar tulizokua tunaenda ni zile zenye ulinzi mkali ukienda za kawaida uko una hatari kubwa sana ya kukabwa au kufanyiwa uhalifu, karibia wote kwenye ofisi yao kwa nyakati tofauti kila mmoja kashafanyiwa uhalifu wa kuibiwa waziwazi
Sikukaa sana ila kwa observation nilioifanya joburg ni mji wa kiumeni sana. Kwa Afrika nzima hakuna mji wa kiumeni kama joburg
U know, I know, than they know, but we know, and nonononoNaaam!
Natoa huduma ya ulinzi kwa bei rahisi ru rafiki😅,kwa msaada zaidi usisite kunitafuta.
Ila hizi sio sehemu za kuish binadamu na akili zao lazima ziwe zimefyatuka kidogo ndio ukae huko mzeeKichanga ni noma na nusu mjomba