Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
-
- #261
Hongera mkuu!
kaka kwa hii kwa mimi kuna watu wameshakufa na wameshazikwa tayari.
Kwan uliolewa ukiwa bikra??Nimetoka kusoma Biblia sasa hivi
Dah, kupunguziwa Miaka 5 nayo mbaya.
Imagine Mungu alikuandikia kuishi Duniani Miaka 100, lakini ukazini na mwanamke nje ya ndoa kama 10 ivi ina maana wewe tuko nawe Kwa Miaka 50 tu.
Jamani ACHENI uzinzi, tuishi milele
Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
View attachment 2727635
Nimejikuta nacheka sana; yaani amenipunguzi miaka 95, au alinipangia miaka 350.Mbona sijaona hiyo miaka 5?Kama hivyo tutabaki wajane watupu...awapunguzie dakika 5 ,5 tu aisee
😅😅😅dah hapana sijaafiki kupunguziwa mi 5Nimejikuta nacheka sana; yaani amenipunguzi miaka 95, au alinipangia miaka 350.
Hilo hoja ni kwa ajili ya kuwatisha waumini ili wapunguze kwenda mitaani. haina uhalisia maana dunia hii ingekuwa haina watu kabisa hadi muda huu. Madanda na wateja wao wote wangekuwa na negative kabisaNimetoka kusoma Biblia sasa hivi
Dah, kupunguziwa Miaka 5 nayo mbaya.
Imagine Mungu alikuandikia kuishi Duniani Miaka 100, lakini ukazini na mwanamke nje ya ndoa kama 10 ivi ina maana wewe tuko nawe Kwa Miaka 50 tu.
Jamani ACHENI uzinzi, tuishi milele
Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
View attachment 2727635
NdioKwan uliolewa ukiwa bikra??
Tafuta agano la kaleHilo andiko silioni
Si usizini? Kwan lazima?Mbona sijaona hiyo miaka 5?Kama hivyo tutabaki wajane watupu...awapunguzie dakika 5 ,5 tu aisee
Ndio maana mambo yako hayaendiina maan mim nmekufa tayari na sijui
We una mingap sahiviNimejikuta nacheka sana; yaani amenipunguzi miaka 95, au alinipangia miaka 350.
Umezini mara ngap😅😅😅dah hapana sijaafiki kupunguziwa mi 5
Kama hoja haina uhalisia mbona umeogopa na kuja kutoa comment ya kilevi?Hilo hoja ni kwa ajili ya kuwatisha waumini ili wapunguze kwenda mitaani. haina uhalisia maana dunia hii ingekuwa haina watu kabisa hadi muda huu. Madanda na wateja wao wote wangekuwa na negative kabisa
Saudi hakujenga hekalu la Mungu ujueMfalme Daudi alizini na mke wa kamanda wake wa vita akamtia na mimba. na haikuishia hapo yule kamanda akamuua.
Mbona miaka yake ya kuishi haikupungua badala yake alizidi kubalikiwa?
Ndoa ni takatifu ndoa ni baraka, so ukifanya mapenzi na mke wa mtu au mume wa mtu Kuna baraka fulani hivi unazichukua
Tuanze na Suleimani, Mfalme Daudi kabla ya sisi leoMithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Wote walipunguziwa miakaTuanze na Suleimani, Mfalme Daudi kabla ya sisi leo
Na mimi kwani napunguziwa?si umesema wanaume??Umezini mara ngap