Ukizini na mwanamke nje ya ndoa, Mungu anapunguza Miaka 5 kwenye maisha yako

Hongera mkuu!
kaka kwa hii kwa mimi kuna watu wameshakufa na wameshazikwa tayari.
 
Nimetoka kusoma Biblia sasa hivi

Dah, kupunguziwa Miaka 5 nayo mbaya.

Imagine Mungu alikuandikia kuishi Duniani Miaka 100, lakini ukazini na mwanamke nje ya ndoa kama 10 ivi ina maana wewe tuko nawe Kwa Miaka 50 tu.

Jamani ACHENI uzinzi, tuishi milele

Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

View attachment 2727635
Kwan uliolewa ukiwa bikra??
 
Hilo hoja ni kwa ajili ya kuwatisha waumini ili wapunguze kwenda mitaani. haina uhalisia maana dunia hii ingekuwa haina watu kabisa hadi muda huu. Madanda na wateja wao wote wangekuwa na negative kabisa
 
Mfalme Daudi alizini na mke wa kamanda wake wa vita akamtia na mimba. na haikuishia hapo yule kamanda akamuua.
Mbona miaka yake ya kuishi haikupungua badala yake alizidi kubalikiwa?

Ndoa ni takatifu ndoa ni baraka, so ukifanya mapenzi na mke wa mtu au mume wa mtu Kuna baraka fulani hivi unazichukua
 
Kama hoja haina uhalisia mbona umeogopa na kuja kutoa comment ya kilevi?
 
Mfalme Daudi alizini na mke wa kamanda wake wa vita akamtia na mimba. na haikuishia hapo yule kamanda akamuua.
Mbona miaka yake ya kuishi haikupungua badala yake alizidi kubalikiwa?

Ndoa ni takatifu ndoa ni baraka, so ukifanya mapenzi na mke wa mtu au mume wa mtu Kuna baraka fulani hivi unazichukua
Saudi hakujenga hekalu la Mungu ujue
Alikuja kujenga mwanaeeeee mtakatifu
Miaka yake ikafupishwa, kasome kitabu cha wafalme Mungu alivyomlaani hakujenga hekalu na miaka yake ikafupishwa
Famasiala na Mungu nini?
 
Back
Top Bottom