Ukizini na mwanamke nje ya ndoa, Mungu anapunguza Miaka 5 kwenye maisha yako

Hapana haya ni yako,
Uzinzi ni dhambi lakin maswala ya miaka 5 off hapana,
Ni uongo mzuri Sana,
Watu wasitishwe kwamba miaka itapungua ndo waache kuzini, waache kuzini kwa kumpenda kristo and nothing else
 
Nilishangaa Nilipopata Ufahamu huu ya Kwamba Utukufu wa Mwanaume upo kwenye sperms zake .. Kadiri unavyozitoa ovyo Kwa wanawake ovyo ndiyo uzao wako UNAKUWA wa kawaida sana na huathiri Mafanikio yako . " Uzuri wa Mwanamke ni kama umeme "
 
Sahihi kabisa, kwa kuangalia trend ya familia unaweza kujua kabisa ninaweza kufa nikiwa na miaka mingapi....kwa makadirio, tukiweka factors nyingine constant [emoji1787]
 
Bqsi kuna watu wanadaiwa miaka na Mungu,maana akipiga hesabu hiyo 5 akitoa na umri wakw anapata negative
 
Illogical

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mbona Suleima,mtoto wa mchepuko wa Days,the king,Mungu alimpa utajiri na vyote,hadi malkia wa Sheba "the queen of south alikwenda kumsujudia👌alikuwa na wake Mia 3 na masuria aka michepuki Mia 700
Hapa mleta mada ana hoja gani?
In the beginning Mungu alimuumba Adam akampatia mwanamke mmoja tu ambaye ni Hawa...vilevile maandiko yanasema mtu atamuacha babaye na mamaye ataambaatana na mkewe na hao wawili watakua mwili mmoja...hapo tunaona Mpango wa Mungu ni mume kuwa na mke mmoja tu na si vinginevyo....Suleiman alikengeuka Kuna kabila Mungu alimkataza asioe lakini yeye akaoa wale wanawake wakamgeuza moyo akaanza kuabudu miungu Kua na wanawake wengi ulikua ni ubatili wa Suleiman haukua Mpango wa Mungu na Mungu alimstahi Suleiman sababu aliweka agano na Daudi baba yake kua ataubariki uzao wake na hatauangamiza sababu Daudi alikua anamcha sana Bwana katika watu wote Daudi ndo alikua anamcha sana Bwana ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…