Ukizini na mwanamke nje ya ndoa, Mungu anapunguza Miaka 5 kwenye maisha yako

Ukizini na mwanamke nje ya ndoa, Mungu anapunguza Miaka 5 kwenye maisha yako

Hiyo lazima inaukweli maana watu wengi wanaoishi miaka mingi hawana ndoa wako single.
 
Umesoma biblia ipi mkuu?
Hio hio ambayo hausomi
Wagane NI wachache kuliko WAJANE
Tafakari chukua hatua

Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;
Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
 
Sio una type umekata roho tayari? 😅
Wagane NI wachache kuliko WAJANE
Tafakari chukua hatua

Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;
Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
 
Hiyo lazima inaukweli maana watu wengi wanaoishi miaka mingi hawana ndoa wako single.
Wagane NI wachache kuliko WAJANE
Tafakari chukua hatua

Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;
Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
 
Sijui itakuwaje sasa [emoji848]
Wagane NI wachache kuliko WAJANE
Tafakari chukua hatua

Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;
Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
 
Dingi yangu mmoja prof. katomba sana mademu wa chuo na watoto wa sekondari toka 1998 hadi anastaafu ila sasa ana miaka 73 na yupo freshi tu.

Mwengine ni wakili, kala sana pisi ila ana 65 sahizi.

Mshua boi mwenyewe ana 71 sahizi na yuko strong.

Anti yangu mmoja alivuta na 62.

Mwingine yuko mid 50s and going strong.

Baba yao alikufa akiwa 80 yrs.

Historia inakwenda hivyo yani kama kwenu huwa hamfiki 60 ni nadra sana kwa kizazi chenu kufikia hio age. Hio factor sijui ya kugonga sana sio ishu
Sasa Miaka 60 na 80 NI Miaka ya kuandika post unajivuna??
Akina Adam walikuwa wanaishi Miaka 400 kwanini sio wewe??

Huyo aunty, prof, unajuaje maisha Yao baada ya kuzini? Kama walitubu je kwa Mungu Kwa machozi??

Usicheze na Mungu bro, kifo kinamkuta MTU individual sio cha kuchezea

Wagane NI wachache kuliko WAJANE
Tafakari chukua hatua

Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;
Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
 
Back
Top Bottom