Uko tayari kufanyiwa kipimo cha afya kupitia njia yako ya haja kubwa (anal canal)?

Ni huzuni kwa kweli.
 
Kwanza sikiliza kwa makini,prostate siku hizi haipimwi kwa kuingiza kidole njia ya haja kubwa (palpation)Zipo njia nyingi tu,lakini vipo vipimo huwezi kuepuka na utaingiziwa mtambo mdogo,mfano unapimwa colonoscopy utafanyaje? na huwezi kukataa.Huu ni uzi usio na maana yoyote ile.
 
Kwanza sikiliza kwa makini,
Nakusikiliza
prostate siku hizi haipimwi kwa kuingiza kidole njia ya haja kubwa (palpation)Zipo njia nyingi tu,
Njia gani nyingine unazifahamu?
lakini vipo vipimo huwezi kuepuka na utaingiziwa mtambo mdogo,
Kama hutaki kidole basi utaingiziwa prope ya kuscan ila nayo itapitia hapo hapo kwenye anus
mfano unapimwa colonoscopy utafanyaje? na huwezi kukataa.
Kama umesoma uzi wote, basi umeona nimesema mdogo wangu amekataa colonoscopy, inawezekana mtu kukataa, hospitali hawawezi kukulazimisha?
Huu ni uzi usio na maana yoyote ile.
Kwanini umeuchangia uzi usio na maana?
 
Nimeuchangia kuuelezea jinsi ambavyo hauna maana,vipimo muhimu kwa ajili ya afya huwezi kukataa,na kuleta nyuzi ambazo hazisaidii kitu,zinashawishi watu kufanya maamuzi mabaya,hazifai.Ama njia nyingine siku hizi kupima prostate kunafanya kwa utrasound
 
Acha kudanganya kuhusu prostate check. Unatumia ultrasound kujua volume au PSA. Why kwenye dunia ya sasa muwekane vidole. Mbona kusaga prostate inapitishwa katika mrija wa uume.
 
kuna vitu ambavyo hutakiwi kabisa kuvifanya ukiwa hapa duniani. Moja ya vitu hivyo ni kipimo hicho.
Ni uchaguzi tu kati ya kuishi na maumivu makali au kudhalilika na kupona
 
Kwenda kuchamba tu ukigusa vibaya unachana ngozi sasa ila maamuzi ni yako mchagua nazi
 
Acha kudanganya kuhusu prostate check. Unatumia ultrasound kujua volume au PSA.
Hiyo Ultra sound probe inapitishwa wapi?

Na je PSA ni kipimo cha kwanza kwenye prostate check kwa hapa bongo? au wewe unaongelea scenario ya wapi?
Why kwenye dunia ya sasa muwekane vidole. Mbona kusaga prostate inapitishwa katika mrija wa uume.
Kaulize wenye dhamana hiyo huko wizarani, kwanini DRE bado inatumika mahospitalini.
 
Kwani ni lazima kuingizwa kidole tu? vipi kuhusu ngumi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…