Uko tayari kufanyiwa kipimo cha afya kupitia njia yako ya haja kubwa (anal canal)?

Hamjaumwa Mkiumwa mtaomba muingizwe chochote ili Mpone

Saizi mmeshiba makande na ujasiri wa kwenye keyboard lakini UGONJWA serious ukija hata wakitaka kuchomeka MTWANGIO utawaambia tu waingize taratbu ili upone.
 
Digital Rectal Examination πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wamechagua mateso makali badala ya tiba. Nina uzoefu na kipimo cha prostate, daktari anaingiza kidole kidogo tu kupata feeling ya ukubwa wa tezi. Na hicho ndicho kipimo cha uhakika kuliko uroflow au kidneys ultrasound.

Unaogopa kudhalilika sekunde 15-30 instead ukipata saratani ni mateso makali hadi kufa kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…