Uko tayari kufanyiwa kipimo cha afya kupitia njia yako ya haja kubwa (anal canal)?

Kuna sehemu zinatakiwa kuachwa tu
Hakuna namna lazima ufanyiwe.
Na ili usifanyiwe hicho kipimo contraindications zake za digital rectal examination ni mbili tu
1)daktari hana kidole
2) mgonjwa hana anus
 
kuna vitu ambavyo hutakiwi kabisa kuvifanya ukiwa hapa duniani. Moja ya vitu hivyo ni kipimo hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…