Uko tayari mtoto wako aoe au kuolewa na mtu mweye tabia kama zako?

Uko tayari mtoto wako aoe au kuolewa na mtu mweye tabia kama zako?

Mambo ya kuoa sijazungumzia, nachosemea ni uhusiano uliopo baina ya tamaa na kugeuzwa ndafu
Hahaha sasa unadhani ukiacha ndoa ni kipi kinachomfanya mwanamke wa kiafrika ajitunze, haijalishi mwanamke kajitunza au kakitembeza ila kama hajaolewa jamii itamsimanga tu, na kama kaolewa hata kama ni kahaba mstaafu jamii itamsifia tu.. this is africa
 
Nikipata mtoto akiwa na mwanamke mwenye tabia km zangu aiseee!! 😜

Hapo kwanza ncheke 🤣🤣🤣
Asipokuwa kichwa ngumu atapelekwa km gari bovu 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
  • Itifaki ikiwa imezingatiwa; wapambanaji wote hongereni.
  • Inavyosenekana, wanaume huwapenda binti zao kuliko watoto wa kiume; hata kuwaonea binti zao huruma kuliko vijana wao wa kiume.
  • Vivyo hivyo, kina mama huwapenda watoto wao wa kiume kuliko wa like, hata kutamani wasioe au wawachagulie wake.
  • Swali la msingi; je utakuwa na furaha ikiwa mtoto wako ataoa au kuolewa na mtu mwenye tabia kama zako za kimahusiano?
Karibuni, unaweza jibu ndio au hapana.
 
Back
Top Bottom