Kama ushauri wangu utakuwa na maana uchukue, kama hauna maana tupa kapuni!
✓ jitenge na mnyororo wa ukoo wenu kiroho, hapa mtafute sheikh akupigie dua, anakutenganisha! Ukoo wako unaanza rasmi kuanzia kwako! Make issue kama hii hurithishwa (sometimes) ungelikuwa Mwanza ningelikupa address ya sheikh!
✓Au, tafuta mtaji! Anza biashara yako hata kama ni ya kawaida tu, kisha njoo Kawe uchukue mafuta ya Arise and Shine! (Nimeshuhudia wengi wente situation kama yako, wengine nimekuwa majirani nao), kama huamini uko, tafuta mafuta ya masheikh sanasana ya Qudra! tumia!
✓ukifanya biashara sahau kabisa kuwa mimi nina degree, hutoendelea kamwe, ikiwezekana kaishi mkoa mwingine mbali na huo ulikosomea chuo ili kuwa huru kufanya biashara zako!