Ukoo wetu wote ni masikini. Naombeni ushauri Nawezaje kukata huu mnyororo wa umaskini?

Mkuu ni kweli kwamba nikiwa mcha-Mungu sana itasaidia?!

Nataka nianze hili zoezi
kuwa mcha mungu huku unafanya kazi kwa bidii na kujituma na kuweka akiba pia kama jamaa mmoja hapa alivyosema weka malengo ya muda mrefu.Ukiwa mcha mungu tu lakini unabweteka andika maumivu utakufa masikini mungu anainua anayejiinua
 
nawashangaa sana wabongo, yaani mtu una miguu, mikono, macho na upo energetic tena huna magonjwa sugu lakini bado unajiita 'maskini', sasa sijui tukusaidieje apo?? tuuzie figo, moyo au kongosho zako sasa kama umeshindwa kujishugulisha
 
nawashangaa sana wabongo, yaani mtu una miguu, mikono, macho na upo energetic tena huna magonjwa sugu lakini bado unajiita 'maskini', sasa sijui tukusaidieje apo?? tuuzie figo, moyo au kongosho zako sasa kama umeshindwa kujishugulisha
Siyo maskini wote hawajishughulishi. Napitia msoto mkali na bado afadhali ya jana kila kukicha
 
Shida ya ukoo ambao ni maskini uwa hata ukijitahidi kutoka wanakurudisha chini maana wategemezi ni wengi unakuta mpaka shangazi.

Kuwa bahiri wekeza kwenye malengo tu.
Ndomana inabidi mtoa mada ajifunze kufanya mambo yake kimya kimya, asitake pongezi Wala "baraka" za watu wake...umepata mchongo, piga kimya...umepata kazi kimya.....la sivyo hutokaa uendelee hata apate kazi, Kila mtu atakukingia bakuli and you'll never be giving enough, they'll want more and more....
 
Sure. Nakubaliana na hili 100%
 
Njia nyingine ya kuondokana na umaskini kwenye ukoo ni ndoa za mchanganyiko

Mungu akikujalia kama wewe maasai kaoe mchaga Wanawake wa kichaga wanajua kuchacharika usioe maasai mwenzio au makabila yaliyozubaa
 
Njia nyingine ya kuonekana na umaskini kwenye ukoo ni ndoa za mchanganyiko

Mungu akikujalia kama wewe maasai kaoe mchaga Wanawake wa kichaga wanajua kuchacharika usioe maasai mwenziow
Sawa mkuu🙏🏿
 
Mambo ya ujamaa yametuharibu sana, ukiwa na pesa au kazi ndugu wanataka ziwe za ukoo au familia, mjomba shangazi, dada kaka n.k wote wanakutumbulia macho na lawama chungu nzima usipowasaidia.
 
Ushauri wa hovyo
 
Unawazungumziaje ambao hawajuvunja hiyo robot kwa maombi na wamekuwa matajiri au ambao wamevunja hiyo roho kwa maombi na wamebaki maskini?
Vunja hiyo roho kwa maombi.
Fanya ukipendacho kwa bidii..achana na maneno ya kukukatisha tamaa.
Kila la kheri
 
Cha msingi ni kufanya kazi kwa bidii mtangulize Mungu.ili ufanikiwe unahitaji kuuandaa moyo wako ndipo kazi na hela zitakufuata, Baadhi ya tabia huondoa baraka zako ambapo hata ukifanya kazi haifanikiwi kwa sababu ulinwengu wako kiroho umefamiwa na bahati mbaya.
 
Kwanza nikupongeze kwa ujasiri wa kuweka aside academic qualifications na kuanza side hustle za kitaa.
Pili to be born poor that's not your mistake but to die poor that is your mistake .Then fanya kazi kwa malengo pia jitahidi usave hata kile kidogo ulicho nacho then Anza na vimiradi vidogo vidogo na pia Muweke Mungu mbele na don't take life too serious.
Pili usichague kazi na kuwa na mwanamke mmoja tu mwenye vision nakutakia life battle njema.
 
Usijaribu huku mkuu, maagano ya huku ni mabaya.

Simama na Yesu. Soma Neno, sali sana, pia hama huo mkoa. kuwa karibu sana na Mungu. Kila kitu anza na Mungu, utamuona
Ahsante
 

Nimepitia hii thread imejaa imaginary motivations
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…