Ukraine ndani ya Urusi, inataka kumwondoa Putin Madarakani? Je hii ni dalili ya World War III?

Jamaa alichimba mkwara mzito sana. Cha ajabu western wakatenga bajeti ya miaka 5 kuisaidia Ukraine, watu wakaona ni mzaha Ukraine hawezi maliza miezi hata mitatu, leo tupo mwaka wa pili.
 
Kelele za haki za binadamu na ule waraka wa kumkamata Putin umekuja baadae kabisa baada ya Russia kufeli kuiteka Kyiv.

Msafara wa vifaa vya kijeshi ulio na urefu wa 64 km ukayeyuka within hours. Javelin na Stingers Manpad zilikuwa mwiba kwa majeshi ya Russia hasahasa Javeline.
 
Na yamkini pale angerudi na kucancel OP yake kisha ajiulize imekuaje afeli.
 
Mkuu si unajua hata huku mtaani, ukiona mtu anatamba yeye mtemi hababaishwi ma mtu mara nyingi anakuwa anajihami jana lolote!
Nimejifunza kitu kwa kweli. Sasa tumechanganyikiwa hatujui tumshike nani. Urusi ametunyong'onyesha,China suala la Taiwan tulitegemea ingewasha moto.... Leo hii Urusi ya kusaidiwa silaha na Irani kweli?ya kukodi wanajeshi wahuni na wafungwa?
 
Jamaa alichimba mkwara mzito sana. Cha ajabu western wakatenga bajeti ya miaka 5 kuisaidia Ukraine, watu wakaona ni mzaha Ukraine hawezi maliza miezi hata mitatu, leo tupo mwaka wa pili.
Na wanamdhoofisha taratibu. Mpaka vita iishe Russia atakuwa hoi kiuchumi au kijeshi. Jamaa wame mtest wameona amepungua.
 
NATO ikiingia miguu miwili hii vita mapema tu inaisha.
 
Endapo vita ikaisha leo, Putin atafanya mageuzi makubwa ndani ya jeshi lake.
 
Mimi nimekuwa Pro Urusi na Irani kwa muda mpaka nilipoanza kupata akili. Nikagundua Marekani wana akili. Huwaoni wakionesha silaha zao hovyo hovyo. Wanazificha. Irani , Korea, Urusi, China wanapenda kuonesha Silaha kuwatisha watu.
Zamani ulikuwa huniambii kitu kuhusu uwezo wa kijeshi wa Russia, kadri miaka ilivyoenda nikajia mzungu ni race ya kipekee kabisa ile.
 
Tuliposema kuwa hii operation ya urusi inaenda tofauti na matarajio ProRussia wengi walisema ni Urusi ndio hataki vita viishe mapema huo ndio mkakati wake. Swali ni je sahivi Ukraine wameingia ndani kwa Urusi bado ni mkakati wa Urusi huu?
Unawaumiza washeikh wa Jf mkuu.
 
Jamaa alichimba mkwara mzito sana. Cha ajabu western wakatenga bajeti ya miaka 5 kuisaidia Ukraine, watu wakaona ni mzaha Ukraine hawezi maliza miezi hata mitatu, leo tupo mwaka wa pili.
Na wanamdhoofisha taratibu. Mpaka vita iishe Russia atakuwa hoi kiuchumi au kijeshi. Jamaa wame mtest wameona amepwaya.anapigika.
 
Unawaumiza washeikh wa Jf mkuu.
Sana.kwa kweli maana Urusi ndo ilikuwa taifa letu. Maana China walitushangaza waliponywea suala la Taiwan.tukasema labda sasa Urusi.nayo tunashangaa itashinda lakini kwa mbinde. Irani ndo Israel inajipigia kule kule ndani watu wake.

Yaani nachanganyikiwa.nakuwa oves kabisa aiseee....inshallah tutaendelea kupambana tu.
 
Oves ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nimemkumbuka yule bibi
 
Nimejifunza kitu kwa kweli. Sasa tumechanganyikiwa hatujui tumshike nani. Urusi ametunyong'onyesha,China suala la Taiwan tulitegemea ingewasha moto.... Leo hii Urusi ya kusaidiwa silaha na Irani kweli?ya kukodi wanajeshi wahuni na wafungwa?
Umeonae?
 
Ndo maana inasisitizwa sana watu hata wanapobaka watumie Condom.๐Ÿคฃ Leo hii tusingekuwa na kilaza kama wewe uliyekuja kwa bahati mbaya.
Kuzidi kwako kuonesha personal attack kunazidi kuonesha wewe huna hoja ni mweupe kichwani.
Nimekuletea hoja zipinge hoja.
Dalili moja wapo ya mpumbavu ni kuleta mashambulizi binafsi na kujikweza ni mjuaji ilhali ameshashindwa hoja.
Nasubiri unijibu maswali nilokuuliza sawa kijana.
Yani mzee wako namlaumu sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚shahawa za maana kapigia nyeto zile za nyeto umezaliwa wewe doh!
 
Unawaumiza washeikh wa Jf mkuu.
Sana.kwa kweli maana Urusi ndo ilikuwa taifa letu. Maana China walitushangaza waliponywea suala la Taiwan.tukasema labda sasa Urusi.nayo tunashangaa itashinda lakini kwa mbinde. Irani ndo Israel inajipigia kule kule ndani watu wake.

Yaani nachanganyikiwa.nakuwa oves kabisa aiseee....inshallah tutaendelea kupambana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ