Kumbukeni Zelensky ni pandikizi la Islael na USA,hivyo upepo unapogeuka China na wapambe wengine wanaingia mitini.Sio anaogopa anakiuka haki za kibinadamu...elewa hapo kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbukeni Zelensky ni pandikizi la Islael na USA,hivyo upepo unapogeuka China na wapambe wengine wanaingia mitini.Sio anaogopa anakiuka haki za kibinadamu...elewa hapo kwanza
Mchina akili nyingi, akaona heri lawama.Urusi na Ukraine ni wamoja wale wanapiganishwa na USA(NATO) yule Putin kaingia miguu mibovu mchina alitaka kupiganishwa na Taiwani kwa kuwa Wachina akili nyingi wamechungulia wakaona hapa sipo ni kuendelea kupiga mikwara tu..
Jamaa alichimba mkwara mzito sana. Cha ajabu western wakatenga bajeti ya miaka 5 kuisaidia Ukraine, watu wakaona ni mzaha Ukraine hawezi maliza miezi hata mitatu, leo tupo mwaka wa pili.Putin alichukulia hii vita ingekuwa rahisi jinsi alivyoichukua Crimea 2014 kama anamsukuma mlevi bila NATO kuingilia.
Akadhani itakuwa hivyo 2022. TISS Yake ikamdanganya kwasababu walimtania hadi Zelensky ni comedian ndo maana akasema 72 hours anamaliza vita.
Unakumbuka siku ya kwanza ya vita anaivamia Ukraine akachimba mkwara anaingia Ukraine na yeyote ataingiza pua kitakachomtokea hata kwenye Historia wameshangaa.
Alipoona maji yamezidi unga akaanza mkwara wa nyuklia satan 2 sijui mini.
COMEDIAN ANAMJAMBISHA MTU SERIOUS PUTIN.
Kelele za haki za binadamu na ule waraka wa kumkamata Putin umekuja baadae kabisa baada ya Russia kufeli kuiteka Kyiv.Sababu IPO hivi mwanzoni ilionekana urusi inavunja haki za kibinadamu na kufanya uvamizi Kwa Ukraine Hadi mamlka za kimataifa zikaingilia kati na kumtaka rais Putin kusitisha mapigana na kumfungulia mashtaka Putin aweze kukamatwa.......alfu usikurupuke kuropoka ujinga tu kama huo ulioandika hapo.
Na yamkini pale angerudi na kucancel OP yake kisha ajiulize imekuaje afeli.Kuna mengine uliyoandika ni 100% correct ila mengine uliyoyaandika hapo siyo halisia.
Kwa ujumla Russia inayapata matokeo ambayo hakuyatarajia kabisa. Na siyo kwa kupenda bali kwa kuzidiwa mbinu. Inaonekana intelijensia yake ni dhaifu. Vita viletegemewa viishe ndani ya siku 3, lakini kwa miezi miwili, Ukraine bila ya msaada wa nchi yoyote ilimfurusha Urusi kutoka Kyiv, na alipoteza askari wengi tena wenye ujuzi wa juu kabisa. Ile ilikuwa ni failare yake kubwa ya kwanza.
Nimejifunza kitu kwa kweli. Sasa tumechanganyikiwa hatujui tumshike nani. Urusi ametunyong'onyesha,China suala la Taiwan tulitegemea ingewasha moto.... Leo hii Urusi ya kusaidiwa silaha na Irani kweli?ya kukodi wanajeshi wahuni na wafungwa?Mkuu si unajua hata huku mtaani, ukiona mtu anatamba yeye mtemi hababaishwi ma mtu mara nyingi anakuwa anajihami jana lolote!
Wengi hatukuwa tunalijua hili. Tulikuwa tu tunashabikia bila kuwa na maarifa.Tatizo watu bado wanafananisha Soviet na Russia.
Russia haina nguvu kama ilivyokuwa Soviet, hata wakati ule Russia pekee isingaliweza kabili Hitler na jeshi lake.
Yes. Aligundua kitu. Akaona bora atulie maana jamaa walitaka mletea vita Mlangoni.Mchina akili nyingi, akaona heri lawama.
Na wanamdhoofisha taratibu. Mpaka vita iishe Russia atakuwa hoi kiuchumi au kijeshi. Jamaa wame mtest wameona amepungua.Jamaa alichimba mkwara mzito sana. Cha ajabu western wakatenga bajeti ya miaka 5 kuisaidia Ukraine, watu wakaona ni mzaha Ukraine hawezi maliza miezi hata mitatu, leo tupo mwaka wa pili.
NATO ikiingia miguu miwili hii vita mapema tu inaisha.Watu hawataki kukubali jambo hili. Na ikitokea NATO inaamua kwa miguu miwili kumwondoa Putin inamwondoa.inaonekana kama Putin hana ufuasi mkubwa ndani ya nchi yake.hakubaliki sana. Lakini hata upande wa silaha zaisi ya Nuklia ni wa kawaida si ile tuliaminishwa miaka na miaka ya karibuni.
Endapo vita ikaisha leo, Putin atafanya mageuzi makubwa ndani ya jeshi lake.Wataalam wa masuala ya kivita, baada ya Ukraine kuizuia Urusi kupata ushindi ilioutaka kwa kipindi cha miezi miwili, huku Ukraine ikipigana bila ya msaada wa nchi yoyote, na kufa ikiwa kuyafurisha majeshi toka Kyiv, walikiri kuwa uwezo wa kijeshi wa Urusi ulikuwa over-exagerated. Na hata Urusi yenyewe ilikuwa ikiamini ina uwezo mkubwa sana wa kivita, lakini vita hii imeifanya ijitafakari, na kuufahamu uwezo wake halisia.
Zamani ulikuwa huniambii kitu kuhusu uwezo wa kijeshi wa Russia, kadri miaka ilivyoenda nikajia mzungu ni race ya kipekee kabisa ile.Mimi nimekuwa Pro Urusi na Irani kwa muda mpaka nilipoanza kupata akili. Nikagundua Marekani wana akili. Huwaoni wakionesha silaha zao hovyo hovyo. Wanazificha. Irani , Korea, Urusi, China wanapenda kuonesha Silaha kuwatisha watu.
Unawaumiza washeikh wa Jf mkuu.Tuliposema kuwa hii operation ya urusi inaenda tofauti na matarajio ProRussia wengi walisema ni Urusi ndio hataki vita viishe mapema huo ndio mkakati wake. Swali ni je sahivi Ukraine wameingia ndani kwa Urusi bado ni mkakati wa Urusi huu?
Na wanamdhoofisha taratibu. Mpaka vita iishe Russia atakuwa hoi kiuchumi au kijeshi. Jamaa wame mtest wameona amepwaya.anapigika.Jamaa alichimba mkwara mzito sana. Cha ajabu western wakatenga bajeti ya miaka 5 kuisaidia Ukraine, watu wakaona ni mzaha Ukraine hawezi maliza miezi hata mitatu, leo tupo mwaka wa pili.
Sana.kwa kweli maana Urusi ndo ilikuwa taifa letu. Maana China walitushangaza waliponywea suala la Taiwan.tukasema labda sasa Urusi.nayo tunashangaa itashinda lakini kwa mbinde. Irani ndo Israel inajipigia kule kule ndani watu wake.Unawaumiza washeikh wa Jf mkuu.
Oves 😂😂😂😂 nimemkumbuka yule bibiSana.kwa kweli maana Urusi ndo ilikuwa taifa letu. Maana China walitushangaza waliponywea suala la Taiwan.tukasema labda sasa Urusi.nayo tunashangaa itashinda lakini kwa mbinde. Irani ndo Israel inajipigia kule kule ndani watu wake.
Yaani nachanganyikiwa.nakuwa oves kabisa aiseee....inshallah tutaendelea kupambana tu.
Umeonae?Nimejifunza kitu kwa kweli. Sasa tumechanganyikiwa hatujui tumshike nani. Urusi ametunyong'onyesha,China suala la Taiwan tulitegemea ingewasha moto.... Leo hii Urusi ya kusaidiwa silaha na Irani kweli?ya kukodi wanajeshi wahuni na wafungwa?
Kuzidi kwako kuonesha personal attack kunazidi kuonesha wewe huna hoja ni mweupe kichwani.Ndo maana inasisitizwa sana watu hata wanapobaka watumie Condom.🤣 Leo hii tusingekuwa na kilaza kama wewe uliyekuja kwa bahati mbaya.
Sana.kwa kweli maana Urusi ndo ilikuwa taifa letu. Maana China walitushangaza waliponywea suala la Taiwan.tukasema labda sasa Urusi.nayo tunashangaa itashinda lakini kwa mbinde. Irani ndo Israel inajipigia kule kule ndani watu wake.Unawaumiza washeikh wa Jf mkuu.