Ukraine ndani ya Urusi, inataka kumwondoa Putin Madarakani? Je hii ni dalili ya World War III?

Ukraine ndani ya Urusi, inataka kumwondoa Putin Madarakani? Je hii ni dalili ya World War III?

Putin alichukulia hii vita ingekuwa rahisi jinsi alivyoichukua Crimea 2014 kama anamsukuma mlevi bila NATO kuingilia.

Akadhani itakuwa hivyo 2022. TISS Yake ikamdanganya kwasababu walimtania hadi Zelensky ni comedian ndo maana akasema 72 hours anamaliza vita.

Unakumbuka siku ya kwanza ya vita anaivamia Ukraine akachimba mkwara anaingia Ukraine na yeyote ataingiza pua kitakachomtokea hata kwenye Historia wameshangaa.

Alipoona maji yamezidi unga akaanza mkwara wa nyuklia satan 2 sijui mini.

COMEDIAN ANAMJAMBISHA MTU SERIOUS PUTIN.
Jamaa alichimba mkwara mzito sana. Cha ajabu western wakatenga bajeti ya miaka 5 kuisaidia Ukraine, watu wakaona ni mzaha Ukraine hawezi maliza miezi hata mitatu, leo tupo mwaka wa pili.
 
Sababu IPO hivi mwanzoni ilionekana urusi inavunja haki za kibinadamu na kufanya uvamizi Kwa Ukraine Hadi mamlka za kimataifa zikaingilia kati na kumtaka rais Putin kusitisha mapigana na kumfungulia mashtaka Putin aweze kukamatwa.......alfu usikurupuke kuropoka ujinga tu kama huo ulioandika hapo.
Kelele za haki za binadamu na ule waraka wa kumkamata Putin umekuja baadae kabisa baada ya Russia kufeli kuiteka Kyiv.

Msafara wa vifaa vya kijeshi ulio na urefu wa 64 km ukayeyuka within hours. Javelin na Stingers Manpad zilikuwa mwiba kwa majeshi ya Russia hasahasa Javeline.
 
Kuna mengine uliyoandika ni 100% correct ila mengine uliyoyaandika hapo siyo halisia.

Kwa ujumla Russia inayapata matokeo ambayo hakuyatarajia kabisa. Na siyo kwa kupenda bali kwa kuzidiwa mbinu. Inaonekana intelijensia yake ni dhaifu. Vita viletegemewa viishe ndani ya siku 3, lakini kwa miezi miwili, Ukraine bila ya msaada wa nchi yoyote ilimfurusha Urusi kutoka Kyiv, na alipoteza askari wengi tena wenye ujuzi wa juu kabisa. Ile ilikuwa ni failare yake kubwa ya kwanza.
Na yamkini pale angerudi na kucancel OP yake kisha ajiulize imekuaje afeli.
 
Mkuu si unajua hata huku mtaani, ukiona mtu anatamba yeye mtemi hababaishwi ma mtu mara nyingi anakuwa anajihami jana lolote!
Nimejifunza kitu kwa kweli. Sasa tumechanganyikiwa hatujui tumshike nani. Urusi ametunyong'onyesha,China suala la Taiwan tulitegemea ingewasha moto.... Leo hii Urusi ya kusaidiwa silaha na Irani kweli?ya kukodi wanajeshi wahuni na wafungwa?
 
Jamaa alichimba mkwara mzito sana. Cha ajabu western wakatenga bajeti ya miaka 5 kuisaidia Ukraine, watu wakaona ni mzaha Ukraine hawezi maliza miezi hata mitatu, leo tupo mwaka wa pili.
Na wanamdhoofisha taratibu. Mpaka vita iishe Russia atakuwa hoi kiuchumi au kijeshi. Jamaa wame mtest wameona amepungua.
 
Watu hawataki kukubali jambo hili. Na ikitokea NATO inaamua kwa miguu miwili kumwondoa Putin inamwondoa.inaonekana kama Putin hana ufuasi mkubwa ndani ya nchi yake.hakubaliki sana. Lakini hata upande wa silaha zaisi ya Nuklia ni wa kawaida si ile tuliaminishwa miaka na miaka ya karibuni.
NATO ikiingia miguu miwili hii vita mapema tu inaisha.
 
Wataalam wa masuala ya kivita, baada ya Ukraine kuizuia Urusi kupata ushindi ilioutaka kwa kipindi cha miezi miwili, huku Ukraine ikipigana bila ya msaada wa nchi yoyote, na kufa ikiwa kuyafurisha majeshi toka Kyiv, walikiri kuwa uwezo wa kijeshi wa Urusi ulikuwa over-exagerated. Na hata Urusi yenyewe ilikuwa ikiamini ina uwezo mkubwa sana wa kivita, lakini vita hii imeifanya ijitafakari, na kuufahamu uwezo wake halisia.
Endapo vita ikaisha leo, Putin atafanya mageuzi makubwa ndani ya jeshi lake.
 
Mimi nimekuwa Pro Urusi na Irani kwa muda mpaka nilipoanza kupata akili. Nikagundua Marekani wana akili. Huwaoni wakionesha silaha zao hovyo hovyo. Wanazificha. Irani , Korea, Urusi, China wanapenda kuonesha Silaha kuwatisha watu.
Zamani ulikuwa huniambii kitu kuhusu uwezo wa kijeshi wa Russia, kadri miaka ilivyoenda nikajia mzungu ni race ya kipekee kabisa ile.
 
Tuliposema kuwa hii operation ya urusi inaenda tofauti na matarajio ProRussia wengi walisema ni Urusi ndio hataki vita viishe mapema huo ndio mkakati wake. Swali ni je sahivi Ukraine wameingia ndani kwa Urusi bado ni mkakati wa Urusi huu?
Unawaumiza washeikh wa Jf mkuu.
 
Jamaa alichimba mkwara mzito sana. Cha ajabu western wakatenga bajeti ya miaka 5 kuisaidia Ukraine, watu wakaona ni mzaha Ukraine hawezi maliza miezi hata mitatu, leo tupo mwaka wa pili.
Na wanamdhoofisha taratibu. Mpaka vita iishe Russia atakuwa hoi kiuchumi au kijeshi. Jamaa wame mtest wameona amepwaya.anapigika.
 
Unawaumiza washeikh wa Jf mkuu.
Sana.kwa kweli maana Urusi ndo ilikuwa taifa letu. Maana China walitushangaza waliponywea suala la Taiwan.tukasema labda sasa Urusi.nayo tunashangaa itashinda lakini kwa mbinde. Irani ndo Israel inajipigia kule kule ndani watu wake.

Yaani nachanganyikiwa.nakuwa oves kabisa aiseee....inshallah tutaendelea kupambana tu.
 
FA20A556-A01E-4A98-88E7-C2F4C4C66F34.jpeg
 
Sana.kwa kweli maana Urusi ndo ilikuwa taifa letu. Maana China walitushangaza waliponywea suala la Taiwan.tukasema labda sasa Urusi.nayo tunashangaa itashinda lakini kwa mbinde. Irani ndo Israel inajipigia kule kule ndani watu wake.

Yaani nachanganyikiwa.nakuwa oves kabisa aiseee....inshallah tutaendelea kupambana tu.
Oves 😂😂😂😂 nimemkumbuka yule bibi
 
Nimejifunza kitu kwa kweli. Sasa tumechanganyikiwa hatujui tumshike nani. Urusi ametunyong'onyesha,China suala la Taiwan tulitegemea ingewasha moto.... Leo hii Urusi ya kusaidiwa silaha na Irani kweli?ya kukodi wanajeshi wahuni na wafungwa?
Umeonae?
 
Ndo maana inasisitizwa sana watu hata wanapobaka watumie Condom.🤣 Leo hii tusingekuwa na kilaza kama wewe uliyekuja kwa bahati mbaya.
Kuzidi kwako kuonesha personal attack kunazidi kuonesha wewe huna hoja ni mweupe kichwani.
Nimekuletea hoja zipinge hoja.
Dalili moja wapo ya mpumbavu ni kuleta mashambulizi binafsi na kujikweza ni mjuaji ilhali ameshashindwa hoja.
Nasubiri unijibu maswali nilokuuliza sawa kijana.
Yani mzee wako namlaumu sana😂😂😂shahawa za maana kapigia nyeto zile za nyeto umezaliwa wewe doh!
 
Back
Top Bottom