Ukraine waamua kuachia mji wa Severodonetsk baada ya kichapo kikali

Usijari yatatumika hata kama mashamba baadaye au kama maeneo tengefu maadam yapo chini ya motherrussia

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Mrusi anavutwa tu na NATO...Putin anajua hawawezi NATO hata kidogo..lakini labda wanatafuta njia nzuri la kumuangusha..maana wakitumia mabomu ya masafa marefu,,wanajua yule kichaa anaweza kufyatua ata nuklia kwa panic...Naona upande wa vikwazo vya kiuchumi kama wamemshindwa..ila kwa mahaba yangu pUtin atachapika
 
UKRO NATO mtasema tu ukweli kila leo yaani
Inamaana vikwazo vimefeli kwa taifa teule la RUSSIA
Kama vimefeli vikwazo basi hakuna njia nyengine yeyote UKRO NATO wanaweza iangusha RUSSIA
Maana uhakika 100% hakuna UKRO NATO anaeweza kuthubutu kuingia vitani na taifa teule la RUSSIA direct hakuna
Maana wanajua litakalo wakuta hao UKRO NATO
RUSSIA TAIFA TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NATO wanaweza kumchapa Putin vizuri nayeye analijua hilo...ila je wataweza ku handle consequences za kumi attack russia kijeshi ikiwa ana nyuklia na huku akijua vita ya kawaida hawawezi..!?? Nafikiri NATO they have plan..ila sio kukurupuka na mihemko kumtwanga urudi..ndio maana ata mabobu wanayopewa Ukraine sio ya masafa marefu ya kufika urusi..kama urusi atakua arrogant na kuendelea kushambulia nchi mwanachama wa NATO..hapo ndipo Putin atakapovalishwa kijora.



Ikiwa vita ya tatu ya dunia..basi wahuni tutubu na kumrudia Mungu wetu Ili vile vikombe vya mvinyo vya ghadhabu ya bwana visitushukie...maana dhiki kuu itakuja
 
Unaijua vizuri Urusi au unaongea tu
 
Pole sana sijui unaumia ukiwa wapi
 
Putin anakamuliwa kamasi haswaa.

Lakini mbona anazidi kusonga mbele?
 
Hawezi stock ya makombora inamuishia
Alitarajia kumaliza vita ndani ya saa 72 akawa anavurumisha weee.mokombora mfululilizo kila dakika mikombora mia stock inakaribia kumuishia
Naona kamisaa wa vita unatoa hesabu ya idadi ya makombora ya kila upande
 
Siku wakiweza uje unitag

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…