DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Ni sawa Kuwa watu wawili wanaweza kuwa Jina zaidi ya Moja?Labda hii watu hawajui. Leo si tunazungumzia dini zetu, let's go.
Kuna tofauti ya watu walioandikwa kwenye Biblia na Koran, hilo kwanza ulijue. Ibrahim unayemsoma kwenye Biblia si Ibrahim unayemsoma kwenye Koran.
Ibrahim wa kwenye Biblia baba yake anaitwa Terah ila wa kwenye Koran anaitwa Azar. Kasome Quran 6:74.
Au hilo unabisha?
Kwenye Biblia kuna watu wamekosewa mara nyingi sana Unakuta kwenye Agano jipya baba yake kaandikwa jina jingine na kwenye agano la kale baba yake jina jingine...
HIvyo hiyo kwa dini Za ukristo na Uislam ni kawaida sana..
kuhsu Majina kutofautiana ya Mababa nina Ushahidi wa watu kwenye Biblia ambao Baba zao wana majina Tofauti kwenye vitabu tofauti na mtoto ni mmoja....
Ukitaka nitakuonyesha
Hakuna Mtu aliyekuwa akiitwa Yesu na wala kwenye Majina ya kiyahudi hakuna jina Linaloitwa Yesu..Kwenye Biblia wana Yesu, kwenye Koran wana Issa. Huyu Issa hakusulubiwa msalabani, ila Yesu alisulubiwa. Ndugu zangu, hawa ni watu wawili tofauti.
Jina halisi aliloitwa Yesu ni Yeshua( Kiebrania) au Yehoshua (Kiaramu)...
mpaka pale lilipobadilisha kwenda Kigiriki Kwenye Tafsiri ya kwanza ya Biblia ya Septuagint ndipo jina lilibadilishwa kutoka Yeshua kuwa Iesous...
Ambapo kutokana kukosekana kwa herufi ya moja kwa moja ikabdii Kwa Latini waite J badala ya Ie kwahiyo ikawa Jesus..
ishamael alikuwa Mtoto wa Mke wa Ibrahimu na hakuwa mtoto wa Kijakazi..So watu wa huku ni tofauti na wa kule. Kwa Biblia, Ishmael anajulikana kama mtoto wa kijakazi, ila kwa Kuran ni tofauti.
Soma Mwanzo 16:3
Mwanzo 16:3
"Sarai mkewe Abramu akamtwaa Hajiri Mmisri mjakazi wake, baada ya kukaa Abramu katika nchi ya Kanaani miaka kumi, akampa Abramu mumewe, awe mkewe."
"And Sarai Abram's wife took Hagar her maid the Egyptian, after Abram had dwelt ten years in the land of Canaan, and gave her to her husband Abram to be his wife."
Ilikuwa Ni sheria kuwa Ukikaa na mtumwa kwa miaka 10 inatakiwa kumuachia Huru..
Ila Sarai hakupenda kumuachia Hagar (Hajar) ikabdi ampe Ibrahimh ili amuoe..
Kwahyo Ibrahimu Alimuoa Hajar akiwa Mtu huru na sio Mtumwa maana haikuruhusiwa Mwebrabia Kumuoa Mtumwa wake..
Samahani Mkuu Unajua maana Ya Torati au Torah?Musa wa kwenye Biblia alipewa Amri 10 za MUNGU, Musa wa kwenye Koran hakupewa amri 10 zozote.
Kama unajua nadhani hautakuwa na shaka mtu akisema Musa alipewa Torati..
Kwa kuwa nakifahamu Quran si kitabu cha masimulizi..Historia ya Matukio ikitofautiana basi jua kabisa hao ni watu tofauti kabisa.
Kama unafahamu kuhusu...
TANAKH utaelewa kuwa Kuna vitabu vya mabii ,Vitabu vya Masimulizi kuna vitabu vya torati na vitabu vya mashahiri..
Quran ni Kitabu cha mashairi...
Kama ilivyo Wimbo uliobora, Mithali,Zaburi na Vingine au vinaitwa Ketuvi'm kwa lugha ya Kiebrania...
So Nakushauri Usome Dini yoyote kabla ya kuiattaq