Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Una uthibitisho upi kwamba viumbe vyote viliumbwa?Wazo hili lingekosekana hapa ningepotea JF milele.
Hata hivyo hakuna kiumbe kilichojileta duniani kwa ridhaa yake chenyewe bila ya kuumbwa.
Je kabla ya kuumbwa kilikuwa kinaishi wapi na baada ya maisha duniani kitarudi wapi?
Tafakari na chukua hatua,haki hekima kidini [emoji375][emoji375]
Ukiwa na nyama[emoji3052] fresh kisha ukaiacha kwa muda ikaanza kuoza wakatokea wadudu kwenye hiyo nyama, Utasema hao wadudu wameumbwa?
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimeumbwa, Kwa nini umu exclude muumbaji kwenye uumbaji?
Muumbaji huyo kabla ya kuumba alikuwa wapi?
Huko alikokuwa kulitoka wapi?
Kama muumbaji aliweza kuwepo tu bila kuumbwa, Hata viumbe vipo tu bila kuumbwa.
Ndio maana wadudu(finyofinyo) wanaweza kujitokeza wenyewe tu kwenye Nyama bila kuhitaji muumbaji.
Na kama haiwezekani viumbe kujiumba vyenyewe, Hata huyo muumbaji hawezi kujiumba mwenyewe.