Ukweli gani mgumu umekubaliana nao baada ya kuwa mtu mzima?

Nimekubaliana kua sitaweza tena kurudi kuishi bongo, baada ya muda mrefu wa kuishi mamtoni. Nilidhani nchi imepiga hatua kwenye demokrasi kumbe ndio inazidi kurudi nyuma zaidi, ukitoa mawazo yako hata kama ni mazuri ila yapo kinyume na mtazamo wa serikali basi UNATEKWA!!! Sirudi tena minazi mirefu Kipawa.
 
Dahh yaishe, ila huwa sitaki kumpotezea mtu muda so sitaki kupotezewa muda pia
Trouble zangu ndogo ndogo haziaffect maisha ya mtu🌝
 
Dahh yaishe, ila huwa sitaki kumpotezea mtu muda so sitaki kupotezewa muda pia
Trouble zangu ndogo ndogo haziaffect maisha ya mtu🌝
trouble za kudeka deka, kununa nuna na kususa susa.. Au siyo πŸ₯€
 
Kutokumuamini Binadamu yeyote hapa chini ya jua kuanzia mama, baba, mtoto,mme/ mke, kaka, dada, na wengine wanaofuata ( miyeyusho kichizi) ...I trust myself
 
Wanakimbia maswali magumu
 
Legendiiii, Legendiiii (kwa sauti ya Nyoshi El Saadat)

Another one (in Dj Khalid's voice)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…