Nchi hiyo iliitwaje wakati wa Ibrahim?Nchi ilikuwepo ila jina ndio limekuja hapo badae
Ni kama unavyosema Chief Mkwawa au Kinjeketile alikuwa Mtanzania wakati miaka hiyo jina Tanzania au nchi hiyo haikuwepo
Kwa nn hekaya zao zitufikie jamii nyingine (sisi)toka kizazi na kizazi?Abraham,moses,saul,Daud,solomon hawa wote hawajawahi kuwepo ni hekaya
Ujinga gani tena Faiza binti Foxy...Nchi hiyo iliitwaje wakati wa Ibrahim?
Kama haliwepo "jina" ndiyo hiyo nchi haikuwepo. Tusijazane ujinga.
Mama ya Yakobo alikuwa ni Rebeka, na alitoka katika eneo la Mesopotamia. Hasa, Rebeka alikuwa binti wa Bethueli na mjukuu wa Nahori, na alikutana na Yakobo alipokuwa anakimbia kutoka kwa ndugu yake Esau.Sawa je unafahamu mamake yakobo ni syrian?na kwamba ili aoe Yakobo ilibidi arudi syria kwa mjombake Laban kwa ajili ya kuoa?,kwahiyo kiufupi uzao wa yakobo wote wale wana 12 ni syrian kwa mujinu wa DNA
Digging to find out, or to bury, the truth!Kivipi boss wakati historia inajieleza bayana
Una hoja lakin huna mantiki. Hiv hujui kuna Jews waarabu kama walivyo Jews mablack ashkenaz nkTupeane elimu kidogo, kuna watu wanachanganya mambo. Hapa tufundishane jambo moja. Kitu cha kwanza kabisa watu wanachokichanganya ni kuhusu Ibrahim, wengi wanasema Ibrahim alikuwa Mwarabu, ndugu yangu, nikwambie tu kwamba jamaa hakuwa Mwarabu.
Ibrahim baada ya kuzaa na kijakazi ambaye alikuwa Mwarabu, inamaanisha damu yake ilichanganyika na ya Kiarabu na ndiyo maana tunasema Ishmael ni baba wa Waarabu kwa sababu mama yake alikuwa Mwarabu.
Nchi za Kiarabu ambazo zipo kwenye umoja ni hizi, Algeria, Bahrain, Iraq, Jordan, Kuwait, Djibout, Saudi Arabia, Tunisia, United Arab Emirates, Yemen, Somalia, Sudan, Syria, Comoros, Misri, Maurtania, Qatar na Palestina.
Kwa nini Waarabu wanamchukia Israel? Ni kwa sababu si Mwarabu mwenzao. Na hao ndiyo wa kizazi cha Ibrahim. Kwa hiyo kama ulikuwa unahisi Ibrahim alikuwa Mwarabu, futa hiyo akilini mwako.
Hata Iran sio Waarabu, najua wengine mtakuwa hamlijui hili kwa undani. Miongoni mwa nchi za Kiarabu, Iran hayupo kwa sababu yeye si Mwarabu.
So Israel na Waarabu ni baba mmoja ila mama tofauti. Ibrahim alizaa na Muisrael mwenzake kwa kipindi hicho ilikuwa bado haijaitwa Israel na mtoto wake kuitwa Isaka ila yule aliyezaa na kijakazi ambaye ni Mwarabu anaitwa Ishmael. Tatizo kubwa la vita baina ya Mwarabu na Israel ni hapa.
Kama Israel angekuwa Mwarabu, leo usingesikia vita vinavyoendelea huko. Na mara zote Israel anawaambiaga kwamba nchi zote za Uarabuni ni mali ya Israel na ndiyo maana kila anapokwenda kupiga, anachukua ardhi na kutanua nchi yake.
Israel walipewa nchi ndogo sana wakae baada ya kutawanywa na Adolf Hitler, baada ya kuanza kurudi, wakaitaka nchi yao, lakini kwa bahati mbaya waliwaona Waarabu washajigawia ardhi yao. Walichokifanya ni kuanza kupigana nao.
Kama unakumbuka Umoja wa Mataifa uliingilia kati, ulichukizwa na kitendo cha Israel kuwapiga Waarabu, walichokifanya, wakawapelekea Biblia ambayo kwa nyuma kuna ramani ya Israel tangu enzi za Musa. Wakawaonyesha na kuwaambia kwamba nchi zote za Uarabuni ni Israel, tutakapokuwa wengi, tutaendelea kupiga na kuirudisha nchi yetu.
So jua hili. Ibrahim hakuwa Mwarabu. Musa hakuwa Mwarabu. Suleimani mtoto wa Daudi na baba yake huyo hawakuwa Waarabu. Ni Waisrael ambao bado wanaendelea kupigana na Waarabu ili wachukue nchi yao iliyowafanya waondoke Misri.
Uzao wa Ibrahim ndiyo uliomleta Yusufu ambaye akawachukua Waisrael kwenda kuishi Misri. Maisha yalikuwa ya raha sana, watu waliionjoi maisha lakini baada ya mfalme huyo kufa, ndipo akaja mfalme mwingine ambaye sasa hakuwataka Waisrael, akawafanya watumwa wake.
Wakafanyishwa kazi. Baadaye ndipo Musa akazaliwa ndani ya ardhi ya Kiarabu. Akapewa jukumu la kuwatoa Israel kutoka hapo Misri kwenda kwao. Wakati huo ndio ambao nao Waarabu walikuwa wamejinyakulia nchi, tena walikuwa ni watu wakubwa kimuonekano.
Musa akaanza mchakato wa kuwatoa Israel Uarabuni na kuwapelekea Israel. Waliishi Misri kwa miaka 400. Wakaondoka na kwenda Misri, na walitumia miaka 40.
Musa hakuingia Israel, alikufa jangwani na Mungu kumzika. Wale waliofanikiwa kuingia huko Israel ndio walioendelea kuipambania ardhi yao mpaka leo hii.
Hapa kuna jambo moja.
Vita ya Israel na Waarabu itapamba moto hapo baadaye. Itapigwa vita kali sana. Sasa kwa kuwa Israel ataonekana kuwa kiburi na mwenye nguvu sana, dunia nzima itaanza kumcharaza. Huyu Marekani anayeonekana kuwa karibu na Israel naye atamgeuka, kila nchi duniani itamgeuka na kumpiga.
Mwisho wa siku baada ya kuona wanapigwa sana, watakimbilia mpaka kwenye mlima ule aliopaa Yesu, wataomboleza na kulia, hapo ndipo Yesu atashuka kuimaliza vita hiyo, na huo ndiyo utakuwa mwisho wa kila kitu.
Sawa,Rebeca alikuwa ni syrian na lugha aliyoongea ni Aramaic,,kipindi hicho syria ikiitwa Aram kingdom,na wenyeji wa syria wakijulikana kama ArameansMama ya Yakobo alikuwa ni Rebeka, na alitoka katika eneo la Mesopotamia. Hasa, Rebeka alikuwa binti wa Bethueli na mjukuu wa Nahori, na alikutana na Yakobo alipokuwa anakimbia kutoka kwa ndugu yake Esau.
Mesopotamia haipo tena kama nchi iliyokuwepo katika nyakati za Biblia. Ilikuwa ni eneo la kihistoria katikati ya mito ya Tigris na Euphrates, na eneo hili linajumuisha sehemu za nchi za sasa za Iraq, Syria, Uturuki, na Iran. Kwa hivyo, haiwezi kutazamwa kama nchi iliyopo leo, lakini badala yake ni eneo la kihistoria ambalo lilikuwa kitovu cha tamaduni za zamani na maendeleo ya kibinadamu.
Mesopotamia ya sasa ndio iraq ya leo,kama ilivyo Tanganyika ya sasa ndio Tanzania,,kubadilika jina haimanishi watanganyika walihama wote,wakaja watanzania🤷Mama ya Yakobo alikuwa ni Rebeka, na alitoka katika eneo la Mesopotamia. Hasa, Rebeka alikuwa binti wa Bethueli na mjukuu wa Nahori, na alikutana na Yakobo alipokuwa anakimbia kutoka kwa ndugu yake Esau.
Mesopotamia haipo tena kama nchi iliyokuwepo katika nyakati za Biblia. Ilikuwa ni eneo la kihistoria katikati ya mito ya Tigris na Euphrates, na eneo hili linajumuisha sehemu za nchi za sasa za Iraq, Syria, Uturuki, na Iran. Kwa hivyo, haiwezi kutazamwa kama nchi iliyopo leo, lakini badala yake ni eneo la kihistoria ambalo lilikuwa kitovu cha tamaduni za zamani na maendeleo ya kibinadamu.
Rebecca alitoka Mesopotamia... Uwezi kusema moja kwa moja ni syria, Mesopotamia ni muunganiko wa Iraq, Syria, Uturuki na Iran... Kwa hiyo sehemu yoyote hapo kati ya hizo, japo pia ushahidi unaweza kuwa wa kweliSawa,Rebeca alikuwa ni syrian na lugha aliyoongea ni Aramaic,,kipindi hicho syria ikiitwa Aram kingdom,na wenyeji wa syria wakijulikana kama Arameans
Rudi juu katazame nimeuliza nini.Ujinga gani tena Faiza binti Foxy...
Jina la nchi ya Abrahamu katika Biblia ni "Kanaani." Abrahamu aliitwa na Mungu kuondoka katika mji wa Ur na kuelekea Kanaani, ambayo ilikuwa eneo la ardhi takatifu ambalo baadaye likawa sehemu ya nchi ya Israeli.
Hakuna nchi uliyoitwa Israel kabla ya mwaka 1948 tusijazane ujinga. Israel ni nchi mpya kuliko Tanganyika.Nyoosha maelezo wacha kuzunguka mbuyu...
Kaanani ndio Israel ya leo... Kusema Ibrahim ni mtu wa Israel kuna kisa gani sheikh
Caanan ni uhamishoni tu,asili ya abraham kwa mujibu wa maandiko ni Paran ilikuwa panda aram kwa sasa kaskazini mwa syria,so hata abraham nae ni syrian.Ujinga gani tena Faiza binti Foxy...
Jina la nchi ya Abrahamu katika Biblia ni "Kanaani." Abrahamu aliitwa na Mungu kuondoka katika mji wa Ur na kuelekea Kanaani, ambayo ilikuwa eneo la ardhi takatifu ambalo baadaye likawa sehemu ya nchi ya Israeli.
Huna akili, wewe peke yake ndio hujui kama wamisri walikuwa weusi(cushites)..Nani alikwambia Pharaoh walikuwa watu weusi 😂 tupe uthibitisho kuwa Pharaoh ni mtu mweusi
Inaonekana hujui maana ya Israeli. Ibrahim yupo Israeli ilikuwa si yenye kutajika maana yake haikuwepo.Ibrahim alizaa na Muisrael mwenzake kwa kipindi hicho ilikuwa bado haijaitwa Israel na mtoto wake kuitwa Isaka ila yule aliyezaa na kijakazi ambaye ni Mwarabu anaitwa Ishmael. Tatizo kubwa la vita baina ya Mwarabu na Israel ni hapa.