Ukweli kuhusu Vita vya Majimaji

Sawa,hebu Mohamed Said naomba utupe wewe historia ya vita vya majimaji tena bila kumsupport mleta mada kwa kuwa ni muislam mwenzio na pia bila kudharau dini nyingine yoyote.

Tafadhali tusaidie hilo.

Nemulo,
Umeniomba nikupe historia ya Vita Vya Maji Maji.
Nakutangulizia huu utangulizi.

Soma kwa makini na utafakari vyema:
Hebu msome Chief Songea anavyotokea katika utafiti wa Baker hapa chini:

[TABLE="class: cms_table_cms_table, width: 601"]
[TR]
[TD]One needs only to read the letter written by the Chief Songea bin Ruuf at
the time when he was mobilising his people for war while at the same time
trying to cement alliances with other chiefs in Southern Tanganyika and
across River Ruvuma in Mozambique.

This letter written to Sheikh and Sultan Mataka bin Hamin Massaninga
reads:[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]"Sultan Songea bin Ruuf writes: To the Shaykh and Sultan Mataka bin
Hamis
Massaninga.

Greetings, etc.

I am sending you a letter through Kazembe.

We have received an order from God that the Europeans must leave the
country.

We are in the process of fighting them here. I believe that we have long
since been reconciled,[so] send me your children, so that we may make an
alliance.

I had wanted to send you some cattle as a gift, but am not able to[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]do so, as the war which God desired is continuing.

Send me a hundred riflemen, and support me in storming the Boma (Songea).[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]I am also sending you a flask of the Prophet Muhammad, which contains the
means for conquering the Europeans.

Have no doubt about it, it possessed great power.

And when we have taken the Boma (Songea), we shall go on the stations on
the Nyasa together, you and I.

Now, let us forget our old quarrels.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]This bottle, with a da'wa, has been sent by Chinyalanyala himself, the war
leader.

He also sends the container (kombe), and sends you many greetings.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]If your men will come, then Chinyalanyala himself will come and will give you
many of the holy things.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Hassan bin Isma'il greets you.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Many salutations,[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sultan Songea bin Ruuf." [1]

Kutoka: Mohamed Said, "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of The Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press, London 1998."[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Nemulo,

Napenda uzingatie hayo yanayofuata.

Sultan Songea bin Ruuf huyu hapo juu ndiyo huyu anayoelezwa tena hapa chini kama Chief
Songea Mbano?:


"Anasema hali hiyo ilitokea kwa sababu Chifu Songea Mbano alikuwa ndiyo Jemedari Mkuu
wa Jeshi la Wangoni na alikuwa ni hodari sana asiyeogopa lolote kwa hiyo Wajerumani walitaka
abakie ili wamtumie kwa malengo yao.


"Yeye Chifu Songea alidai na yeye anyongwe kama walivyonyongwa ndugu zake, basi alinyongwa
na Wajerumani ambao waliondoka na kichwa chake wakiwa wamekiweka ndani ya kasha kwenda
Ujerumani ambako hakijarudi hadi leo na kiwiliwili chake kuzikwa katika kaburi la peke yake."

(Kutoka:Historia Ya Vita Vya majimaji.)

Nemulo,
Naamini unaiona tofauti iliyopo.
Au hawa ni machifu wawili tofauti?

Nani anahusika na uchakachuaji huu wa majina haya ya Kiislam katika historia ya Vita Vya Maji Maji?
Je bado una hamu ya kuisoma hii historia au tushie hapa?​



 

Na Kinjekitile Ngwale ni nani hasa katika vita vya majimaji tulivyosoma tokea tupo primary? Na je neno "majimaji lenyewe limetokanaje?
 
Nemulo,
Mnakasha unapendeza tukienda kwa mpango maalum unaoeleweka na wenye mipaka.

Naomba mawazo yako kwa utangulizi niliokupa kuhusu Vita Vya Maji Maji.
 
Nemulo,
Mnakasha unapendeza tukienda kwa mpango maalum unaoeleweka na wenye mipaka.

Naomba mawazo yako kwa utangulizi niliokupa kuhusu Vita Vya Maji Maji.

Mzee naomba msaada wako kwenye hili swali,

Kwenye transatlantic slave trade matokeo yake tunayaona kwa Wamarekani weusi plus nchi mbali mbali za Caribbean ambazo ni virtually African countries in the western hemisphere.

Kwa nini hakuna waarabu weusi, watoto na wajukuu wa mababu zetu waliopitia Bwagamoyo?
 

Waarabu weusi wapo na kama utabahatika kufika Oman basi wengi wa hao weusi wapo sehemu inayoitwa SU'UR.

na wamekuwa wachache sana kupata huku watu weusi wengi sababu watumwa waliokuwa wakiletwa almost wote walikuwa wanaume. Hivyo walizaliana na waarabu na kupatikana africaste wengi wa kiarabu ambao wapo wengi sana. nafikiri hiyo ndio reason kubwa.
 

Mjii wa pili kwa ukubwa oman ni salala huko utakuta wakaazi wake wengi ni asili ya afrika ni weusi haswa akiwemo mama mzazi wa Sultan wa oman Qabus ambaye mama mzazi wake ni asili ya kiafrika.
Mjii huu wa salala jimbo la Dhofar ni pwani pwani na ndio njia kuu ya kufikia afrika ya mashariki
Wenyeji hawa ni powerful sana kiasi ukitaka kufanya biashara basi inabidi uwaone
Huu mji una madhehebu ya suni na miaka mitatu niliyo fika kuna misikiti miwili tu ya IBadhi ambayo ndio official sect ya oman, lakini huku wengi ni suni ambayo ni madhebu ya wafrika wengi.
 
Waarabu waliuwa watumwa wote walipelekwa uarabuni.

A total lie, including if there were statistic of how many slaves were shipped and how much was the population of East Africa at that time amd the number of Arab traders and even ships capacity and size. These are facts to be researched and facts to be addressed.
 
hiyo si ndio historia mlioipotosha na hayo nimeyajibu tatizo lenu ni wavivu wa kusoma
Kuna tofauti kubwa ya kusoma (kukariri UDAKU au ngonjera) na KUJIFUNZA
Tafuta popote Historia ya Maji-maji juu ya Kinjekitile kuwadanganya wakazi wa lindi na mikoa hiyo kuwa risasi itageuka Maji
Jifunze tofauti kati ya Mjerumani na Kanisa Katoliki ni vitu tofauti kabisa
Jifunze ni kwanini Mwarabu aliwaongoza Watemi wengine wagomee KATAZO LA BIASHARA YA UTUMWA? ili waendelee kula Kodi ya Njia na Biashara ya Utumwa?
Jifunze ni kwavipi Mwatabu alikubali kanisa la kwanza lijengwe Zanzibar pale kwenye Soko la Utumwa
Tatizo lenu kubwa Waarabu ni kila Mwafrika mnamuita JUMA ina maana mjakazi au Houseboy huwezi kumuita Charles au Dominic/ km sio dharau zenu kutudhalilisha juma!!!juma! kuja huku
 
Msipende kuwadanganya watu wasiowajua
Hakuna Waarabu wabaguzi kama waOman mpaka wanadiriki kuwakataa machotara waliozaliwa na waarabu wenzao, wanawakataa wa Yemeni (Wamahra) mpaka wanamsemo wa PUNDA HAPANDI MUSCAT

Walipokuja huku Bara kununua watumwa wakadai waliwakuta na mikia na bado kina Mama zetu mkawaweka Pemba wanaume mkaenda kuwa Hasi
Yeyote mnayemuona huko katokana na Mama zetu Afrika lakni kina Baba MLIWAUWA
acheni kupotosha rudini kwenye mada Vita vya majimaji vilikuwa vya Waislamu, au ni wavivu tu walikataa kufanya kazi katika mashamba na kukalia kunywa kahawa na gumzo vibarazani?
 

Ukwaju,

Binafsi nakushauri kama inawezekana ufungue uzi maalum wa mada hii ya Watumwa kutoka afika katika ardhwi ya waarabu ili tusipoteze mwelekeo wa madaa hii uwanjani.

Mimi nakuahidi nitakupa mengi sana ninayoyajua kuhusiana na hilo.

Ahsantum

 





Ndugu zangu Jamvini,
Tatizo kubwa ninaloliona hapa JF ni wengi kati yetu hatusomi lakini
tunapenda kujadili mada.

Hicho kitabu hapo juu ni kipya (2014) na kimeeleza mengi sana kuhusu
utumwa.

Kitabu hiki kinauzwa shs 5000.00 na kinapatikana Ibn Hazm Media Centre
Manyema na Mtoro.

Nawashauri wote wanaotaka kujadili kuhusu utumwa wakisome kitabu hiki.
 
umeharibu story yako kuanzia sentensi ya kwanza.....
 
na hawapati adhabu ngo`ooo...na hiyo laan angali isije ikakurudia mwenyewe
 

katika jamii isio na ubaguzi ni waoman hasa walio hamia hapa. Wao waliifanya nchii kama ndio nyumba waka changanyika na wenyeji na wakazaa kila kona ya tanganyika
nenda kila sehemu utakuta washwahili hawa wapo.
Wa oman waliacha mpaka lugha yao ya asili kwa vile wao walijihisi ni ndugu .
Biashara ya utumwa ni suala lililo kuja baada ya kuingia kina vasco dagama na livingstone, kina karl peter na ndio maana waislam walipigana kuwaondoa makafiri wale.
Walifanikiwa kuwaondoa wareno ukanda wa pwani ya mombasa mogadishu na znz NA NDIO MAANA HAKUNA MTUMWA KUTOKA SEHEMU HIZO,WATUMWA WALITOKA BARA ILIYOKUWA CHUNI YA WAJERUMANI NA UINGEREZA HIO NDIO FACTS
Maji maji ni sehemu ya vita hio. Lakini walishindwa na nchi hizo zikasimamisha dola zao hapa tanganyika na ndio mwanzo wa kuanza biashara ya utumwa.
Biashara ya utumwa ilianza baada ya kinyanganyiro cha afrika , wazungu walikuja huku kwa minajihi ya kutawala utumwa na mali ghafi.
Warabu walikua chini ya tawala hizi nao pia kutokana nana kuwa kiingiacho mjini si haramu wapo warabu walokuwa wakiwatumikia wazungu kutafuta watumwa na kupelekwa ulaya. Walishirikiana na machifu wa tanganyika katika biashra hii. Machifu walipewa watoto wa kizungu na kiarabu na shanga kama zawadi ndio maana utakuta warangi weupe na wachaga weupe , hii ni kutokana na machifu wao walipokea vimwana vyeupe wauze ndugu zao utumwani.
Hivyo ukitaka hutaki waraabu walikuja ukanda huu miaka 300 nyuma ya wazungu mabwana zako na hawakufanya mtu mtumwa,mara tu baada ya kinyanganyiro cha bara hili utumwa ndio ulianza.

NA WAFRIKA WAPO WENGI AKIWAMO MFALME MWENYEWE. MNAPUMBAZWA UJINGA BASI HAMTAKI KUSOMA MKAJIFUNZA UKWELI ?



HAWA WASWAHILI WENZAKO WAMA ENJOY LIFE HUKO, WEWE BAKI NA NYIMBO ZA KIVUKONI
 
Mbona black arabs wapo mkuu, kama una azam tv anagalia wanasah tv utawaona

Mwambie pia kuwa Iraq kuna jimbo linaitwa Basra, labda niseme wazi kuwa nimeishi Iraq kwa mwaka.. Basra wakazi wake ni weusi idadi kubwa na mila zao za kiafrica kabisa na wanaaminika kwa juju balaa,,, hawa pia huitwa BASRAWI wawezo google pia, au u google black arabs of Iraq.... kwa jina lingine wanaitwa wazenjibar....
 
Ndugu zangu hapa Jamvini,
Nilitegemea sana kuwa tutakuwa na michango kuhusu uchakachuaji
wahistoria kama nilivyoonyesha hapo chini lakini naona hakuna hata
aliyetaka kuligusa hili hata wale wapinzani wangu wa asili.

Naweka tena ile "post," kuonyesha wanahistoria wetu wanavyokwepa
historia ya kweli:

Mohamed Said

15th March 2015 19:21
#71

JF Senior Expert Member
Array


Join Date : 2nd November 2008
Posts : 6,367
Rep Power : 339994
Likes Received5488
Likes Given268


Re: Ukweli wa Vita vya MajiMaji
By cerengeti

Kuna kitu kanisa katoliki linaficha.
Mkuu hongera. Ila tunaitaji more references.

Cerengeti,
Hebu msome Chief Songea anavyotokea katika utafiti wa Baker hapa chini:

[TABLE="class: cms_table_cms_table, width: 601"]
[TR]
[TD]One needs only to read the letter written by the Chief Songea bin Ruuf at
the time when he was mobilising his people for war while at the same time
trying to cement alliances with other chiefs in Southern Tanganyika and
across River Ruvuma in Mozambique.

This letter written to Sheikh and Sultan Mataka bin Hamin Massaninga
reads:[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]"Sultan Songea bin Ruuf writes: To the Shaykh and Sultan Mataka bin
Hamis
Massaninga.

Greetings, etc.

I am sending you a letter through Kazembe.

We have received an order from God that the Europeans must leave the
country.

We are in the process of fighting them here. I believe that we have long
since been reconciled,[so] send me your children, so that we may make an
alliance.

I had wanted to send you some cattle as a gift, but am not able to[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]do so, as the war which God desired is continuing.

Send me a hundred riflemen, and support me in storming the Boma (Songea).[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]I am also sending you a flask of the Prophet Muhammad, which contains the
means for conquering the Europeans.

Have no doubt about it, it possessed great power.

And when we have taken the Boma (Songea), we shall go on the stations on
the Nyasa together, you and I.

Now, let us forget our old quarrels.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]This bottle, with a da'wa, has been sent by Chinyalanyala himself, the war
leader.

He also sends the container (kombe), and sends you many greetings.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]If your men will come, then Chinyalanyala himself will come and will give you
many of the holy things.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Hassan bin Isma'il greets you.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Many salutations,[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sultan Songea bin Ruuf." [1]

Kutoka: Mohamed Said, "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of The Muslim Struggle Against British Colonialism in Tangnayika, Minerva Press, London 1998."[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Sultan Songea bin Ruuf huyu hapo juu ndiyo huyu anayoelezwa tena hapa chini kama Chief
Songea Mbano?:


"Anasema hali hiyo ilitokea kwa sababu Chifu Songea Mbano alikuwa ndiyo Jemedari Mkuu
wa Jeshi la Wangoni na alikuwa ni hodari sana asiyeogopa lolote kwa hiyo Wajerumani walitaka
abakie ili wamtumie kwa malengo yao.


"Yeye Chifu Songea alidai na yeye anyongwe kama walivyonyongwa ndugu zake, basi alinyongwa
na Wajerumani ambao waliondoka na kichwa chake wakiwa wamekiweka ndani ya kasha kwenda
Ujerumani ambako hakijarudi hadi leo na kiwiliwili chake kuzikwa katika kaburi la peke yake."

(Kutoka:Historia Ya Vita Vya majimaji.)

Wanajamvi
Naamini mnaiona tofauti iliyopo.
Au hawa ni machifu wawili tofauti?

Nani anahusika na uchakachuaji huu wa majina haya ya Kiislam katika historia ya Vita Vya Maji Maji?​
Last edited by Mohamed Said; 15th March 2015 at 19:41.​




 
Ahaaah ndio maana songea kuna mabomu sasa

Pascal Ndege,
Soma hii hapo chini kama inavyoandikwa sasa na wanahistoria wetu:

"Anasema hali hiyo ilitokea kwa sababu Chifu Songea Mbano alikuwa ndiyo Jemedari Mkuu
wa Jeshi la Wangoni na alikuwa ni hodari sana asiyeogopa lolote kwa hiyo Wajerumani walitaka
abakie ili wamtumie kwa malengo yao."

Sasa soma kama nilivyobadili mimi:

"Anasema hali hiyo ilitokea kwa sababu Sultan Songea Bin Ruuf alikuwa ndiyo Jemedari Mkuu
wa Jeshi la Wangoni na alikuwa ni hodari sana asiyeogopa lolote kwa hiyo Wajerumani walitaka
aba
kie ili wamtumie kwa malengo yao."

(Jina lake khasa ni Sultan Songea Bin Rauf siyo "Ruuf."
Hii "Rauf" ni katika majina 99 ya Mwenyezi Mungu).

Jina hili kwa ukamilifu na sahihi lilitakiwa liandikwe hivi: Sultan Songea Bin Abdirauf kwa kuwa Rauf ni jina katika
majina ya Allah yeye anatakiwa kuitwa "Abdirauf," yaani Mtumishi wa Allah.

Sasa usisahahu huyu Sultan Songea bin Rauf anamwandikia Sheikh Sultan Mataka Bin Hamis Massaninga.
Wakati huu walikuwa katikati ya dimbwi la vita na Wajerumani.

Ukitafiti historia ya Tanganyika kwa umakini wake unaotakiwa vitu kama hivi ni vingi sana.
Ni wajibu wetu sasa kuiweka sawa historia hii.

Pascal Ndege,
Umehusisha Vita Vya Maji Maji na "mabomu Songea," kwa kuwa majemadari wake walikuwa akina Sultan
Songea Bin Rauf
na Sheikh na Sultan Mataka Bin Hamis Massaninga.

Sipendi kuwachosha watazamaji wetu hapa,
In Sha Allah nitakupa jibu la katika "post," yangu ijayo.
 
Ahaaah ndio maana songea kuna mabomu sasa

Pascal Ndege,

Ungetafakari kwanza na uisome historia kabla hujasema hayo uliyosema.
Umefanya haraka kuhusisha Vita Vya Maji Maji na "mabomu."

Historia ya mashujaa wale waliouliwa katika vita ile pamoja na makamanda
wao karibu ya 70 walionyongwa na Wajerumani si kitu cha kufanyiwa mzaha,
kejeli nk.

Vita Vya Maji Maji athari yake ilikuja kuonekana wakati TANU ishaundwa
Dar es Salaam mwaka 1954.

TANU Southern Province iliundwa na Suleiman Masoud Mnonji, Salum
Mpunga
na Yusuf Chembera na baadae Sheikh Mohamed Yusuf Badi
(kuwataja wachache) ambae ndiye alikuwa sheikh maarufu Lindi alijiunga
na harakati hizo za kudai uhuru.

Katika kundi hili alikuwapo Bi. Sharifa Biti Mzee mwanamke shujaa katika
TANU.

TANU ilipata nguvu sehemu zilezile walizotoka makamanda wa Vita Vya Maji
Maji na sehemu hizi wakazi wake wengi walikuwa Waislamu.

Kanisa likawa linawakataza waumini wake kujiunga na TANU na harakati za
kudai uhuru.

Pascal Ndege,
Najua historia hii ni ngeni kabisa kwako hujapatapo kusomeshwa wala kuisikia
popote na ndiyo maana akili yako kwa haraka ikaruka miaka na miaka ya
historia ya kweli ya Tanganyika ukaja leo miaka hii ya 2014/15 ukaleta mambo
ya "mabomu," tena kwa kebehi.

Waswahili tuna msemo: "Asiyekujua hakuthamini."

Nina mengi katika historia na athari ya Vita Vya Maji Maji kwa wazee wetu.
Ukipenda nitaileta hapa majlis.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…