Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

hakuna dhehebu nnalolichukia kama waroma...na hayo madude wanayaabudu na kwenda kinyume na amri za Mungu.
imeandikwa usijifanyie sanamu ya kuchonga wala kitu chochote kilicho mfano mbinguni,baharini,nchi kavu etc...na kukiabudu.
lakini hawa ndo kwanza ukiingia unakuta kila kona wamechonga masanamu ya maria mtakatifu...masanamu ya yesu..hivi mliwah kuwaona? nyie ndo kwanza mmekazana na rozari mnabusu na zina sanamu ya yesu..ni wazima nyie?
mnachefua.

Masanamu ya Maria, yesu na pia msalaba si sahihi manake vyote nimasananu unaweza ukasema hawa waroma wanaabudu sanamu wakati huo huo na ww unamsalaba ambayo unasanamu la yesu ukilala unambusu sanamu la yesu hapo napo unakua na ww umeabudu sanamu mnakua hakuna tofauti
 
Bible imeandikwa usitengeze sanamu,wala kitu chochote mfano wa Mungu,ukakiweka madhabahuni,ni kosa kubwa sana mbele za Mungu,

msalaba nao ni sinamu, manake unafananisha na uwepo wa mungu better uwe na imani ila msabala mtupu au msalaba wenye sanamu la yesu napo kuna doubt
 
Kwamba Mungu leo haongei na watu...alishia kuongea na Musa Peke yake sio...? Hebu tusome ile Kut :20:8 na kuendelea tujadiliane .....

St. Paul katika Epistles zake anasema "Kama Mussa alivyomunua nyoka wa Shaba, ndivyo hivyo mwana Wa Adam atainuliwa kwenye msalaba na kila amtizamaye kwa imani atapona..."
Ndio maana Msalaba(Crucifix) upo juu mbele ya altare


Leta hayo maandiko tuyachambue hapa..sio unaleta blah blah
Mkuu soma kwa makini post zangu,ukipanic hutanielewa,na kama unataka kuelewa weka pembeni dini yako simama katika biblia.
Nimesema Mungu hata leo anaongea na watu,kwa hiyo kama aliongea na wewe uweke sanamu hizo wewe ulitakiwa tu useme Mungu aliongea na St.Otorong'ongo akamwambia atengeneze sanamu simple like that.hapo hatujazungumuzia kama sura ya Yesu iliyopo ni ya kweli au ni ya zile movie,najua uliambiwa milipatikana kutoka kwenye kitambaa cha yule mwanamke aliyemfuta yesu.I have been where you are,baada ya kutumia kama miaka 2 natafuta kweli,nilihama chombo cha usafiri nikapanda kingine.
Nikuulize yule nyoka wa shaba aliyetengenezwa na Mussa baada ya issue ya nyoka kuwauma wana wa israel kuisha biblia imesema alipelekwa wapi?Je walimtunza wakawa wanaendela kumwinua muda wote wakati issue ya nyoka imeshaisha?

"Kama Mussa alivyomunua nyoka wa Shaba, ndivyo hivyo mwana Wa Adam atainuliwa kwenye msalaba na kila amtizamaye kwa imani atapona..."Hili andiko usilitumie vibaya,utaona linakubaliana na nilichokisema mwanzo kwamba waliomtazama nyoka wa shaba walipona.Hapo unatakiwa umtazame Yesu na kumtazama Yesu hakumanishi kuangalia picha yake au sanamu yake,toka mwilini.Inamanisha umkimbilie yeye,umtumainiye yeye,umwamini yeye kwamba anaweza kukusaidia.Angalia hapo red highlighted,kwa hiyo andiko lilipo sema na kila amtizamaye yeye kwa imani atapona,mkaona mtengeneze sanamu ili watu waitizame kwa imani?Hapo umepotea,brother kama ni msomaji wa biblia soma ukiwa na biblia ya kiingereza na kiswahili kuna muda utagundua kitu fulani wanapotafasiri kutoka kiingereza kuja kiswahili.
labda nikuelezee kwa urahisi,kwa kutumia andiko lako hilo hilo,je kwa kuwa Yesu wako bado yuko msalabani,mimi Yesu ninayemwamini kwa sasa hayuko msalabani ameketi kuume kwa Baba au biblia yako inasemaje?Wewe umemuweka msalabani miaka nenda miaka rudi,kaka tuache ushabiki,soma biblia yako utaijua kweli.Na ukiniletea ushahidi wa watu waliomtazama huyo mliye naye kwa imani wakapona mimi nitarudi Rumi.
Samahani sana najua haya mambo mazito lakini kuna watu wanafunguliwa na macho yao yanatiwa nuru kwa jina la Yesu aliye hai,ufahamu wao wa neno la Mungu unaongezeka kwa jina la Yesu.
Huwezi kujaza maji kwenye glass ambayo tayari kuna maji yamejaa,ukitaka kuweka maji mapya lazima utoe ya zamani.Ondoa elimu yako ya zamani kubali kujifunza,unaweza usinielewe leo ukanielewa mwishoni mwa mwaka it is ok,najua adui hajalala.
 
Ila sasa ktk imani ya kweli kutumia Sanamu haliruhisiwi kuabudiwa manake utakua sawa na wanaoabudu masananu waliyoyachonga wao wenyewe itakua haina maana ya ww kusoma au watu wakale ambao wengine hadi leo wanaabudu mizimu na misitu
kingine msalaba wenye sanamu la yesu napo hapo kunatatizo manake utakua unaabudu sanamu sio yesu sasa au Mungu wako
kingine msalama nao unakua mfano wa sanamu umechongwa na vile vile watu wanaabudu na kuutukuza kama kawaida hakuna tofauti sana
 
Mkuu soma kwa makini post zangu,ukipanic hutanielewa,na kama unataka kuelewa weka pembeni dini yako simama katika biblia.
Wapi sijasimama katika Biblia..? Wewe ndio nakuona unaranda randa na maneno meengi, bure kitendo
 
Sasa hapa unaongelea utashi wa watu binafsi na maamuzi yao...Kwani wewe unashindwa kufanya hayo kwa utashi wako...
Mkuu mbona unaanza kupotea,unawasupport wafanye hivyo au kwa kuwa nimetofautiana na wewe katika sehmu fulani basi kila ninachoandika unataka kupinga.Mimi naandika real life issues ili kama yupo hapa anayefanya hayo aache,wewe nia yako ni nini unataka waendelee?
Au unasupport na wale walevi ambao wakipita usawa wa kanisa wanapiga ishara ya msalaba wakati wako wamelewa?Huko uliko tulikuweko,so tunapajua vizuri pengine kuliko wewe.Mungu akusaidie ndugu yangu,see things in a positive way,tunaongelea maisha ya milele ya mtu,inabidi tuwe makini,kuna watu tunaweza wapoteza ,lakini kuna wengine twaweza waponya,inategemea na jinzi utakavyo elimisha watu.Watayachunguza haya watajua ukweli ni upi.
 
Kujipa moyo tu. Haina maana kbs kusema ipo lakini haimaanishi kuabudiwa. Sasa ya nin mle ndani?!! Kubusu,kupiga ishara ya msalaba huku unaiangalia sanamu au picha nini maana yeke km sio kuabudu?! Heshima,mazoea,taratibu?!!
Mambo ya imani yana mengi ya kuhoji ila majibu yapo kwenye biblia
Ajabu ni pale inapomhukumu mwenye imani yake. Kama sanamu ndio miumgu ya Wakatoliki bila shaka wangepaswa kutumia ujuzi wao kueneza ibada hii.

Kuabudu ni zaidi ya kuinama, kufanya ishara ya msalaba na kupiga magoti.
 
I have been where you are,baada ya kutumia kama miaka 2 natafuta kweli,nilihama chombo cha usafiri nikapanda kingine.
Good for you....
Hata katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ibara ya 18 inakupa uhuru huo..

Canon laws za Catholic Church zinakupa uhuru huo....umetumia uhuru wako vyema....Good!

Sasa pilipili ulizoziacha zinakuwashia nini..?
 
Bandiko lako ulilileta kama kuwaandikia Wasabato.....

Hapo kwenye Red!!! Njia ya muongo ni fupi...nimeshawaambia huitaji kujiita Mkatoliki ili ukamate attention ya watu humu JF...vitu vidogo tu tunakukamata....Sasa hili bandiko lako peleka kwenye makambi na lessoni ukawafundishe..

Halafu hebu nipe hiyo link ya Vatican....



Umekosa uhalali wa kujadiliana kwa upuuzi ulioandika hapo juu
Catholic News Agency :: CNA
 
Mtu asijidanganye anayo dini ya kweli....Hakuna dini iliyo ya kweli duniani.
Kama ni dini zilikuwepo hata kabla ya Yesu kuja,Mungu aliziona dini akaona mapungufu,akaamua kumtuma mwanaye aje kuokoa/kutafuta kile kilichopotea.Tunaokolewa kwa neema tu wala mtu asijisifu.

A😀ini:ni utaratibu wa wanadamu/watu kumtafuta Mungu
B:Wokovu:ni mpango wa Mungu kumtafuta mwanadamu aliyepotea
Sasa kwa mwenye akili kati ya mpango wa Mungu na wa mwanadamu utachagua upi?
A or B?
 
Nikuulize yule nyoka wa shaba aliyetengenezwa na Mussa baada ya issue ya nyoka kuwauma wana wa israel kuisha biblia imesema alipelekwa wapi?Je walimtunza wakawa wanaendela kumwinua muda wote wakati issue ya nyoka imeshaisha?
Mungu huyo kwenye Kut 20:8.... nakuendela anatoa amri ya Katazo...

Ila mbele kidogo anamwamuru Mussa Achonge Sanamu...?

Huyo Huyo Mungu...Anamwagiza wana wa Lawi wachonge Serafi Mbili na Kerubi mbili moja kulia na moja kushoto zikizunguka sanduku la Agano na kupamba hekalu...

Je! Umejiuliza ni kwanink huyo Mungu akataze na kusha aje kuruhusu baadae.. ?
 
Good for you....
Hata katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ibara ya 18 inakupa uhuru huo..

Canon laws za Catholic Church zinakupa uhuru huo....umetumia uhuru wako vyema....Good!

Sasa pilipili ulizoziacha zinakuwashia nini..?
Mkuu hiyo redi inatoka agano jipya au la kale?Kweli nimeamini Biblia ni nzuri "mtu husema yaujazao moyo wake",kumbe dawa imeanza kufanya kazi.Glory to God.
 
Kujipa moyo tu. Haina maana kbs kusema ipo lakini haimaanishi kuabudiwa. Sasa ya nin mle ndani?!! Kubusu,kupiga ishara ya msalaba huku unaiangalia sanamu au picha nini maana yeke km sio kuabudu?! Heshima,mazoea,taratibu?!!
Mambo ya imani yana mengi ya kuhoji ila majibu yapo kwenye biblia
Kukuelesha chizi itakuwa kazi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji1]
 
Back
Top Bottom