Ukweli lazima usemwe Samia sio mbaya kiivyo na inawezekana hata October 29 yeye sio muhusika mkuu kwasababu yuko front page

Ukweli lazima usemwe Samia sio mbaya kiivyo na inawezekana hata October 29 yeye sio muhusika mkuu kwasababu yuko front page

Nina uhakika 100% ninajua zaid yako.

Nakaaga na Kardinal wa jeshi meza moja wakat tunakunywa vimea.
Na wao ndio wanajua Intelejensia ya nchi hii kuliko hata jeshi la polisi.

Mm sipend siasa. Ila nikikaa nae anaongelea sana Siasa .
Tatizo ni kupenda kuskia Yale wanayo yapenda tu
 
Unafikiri yale ya Captain Tesha ni bahat mbaya?.

Unajua Tesha yuko wapi?.
Unajua kuwa kuna Vijana wa Idara walipigana Risasi na mmoja kafariki pale Ikulu? Unajua chanzo kilikuwa ni nini?.
Hawa vijana wanapenda kuskia Yale wanayopenda tu
 
Samia ni mwovu kuliko hata mtangulizi wake,angetaka angeweza kukomesha kabisa utejaji na mauaji kwa wakosoaji na wapinzani hasa Chadema lakini tangu ameingia yeye madarakani vitendo vya utekaji, upotezaji na mauaji kwa wakosoaji ndiyo vimeongezeka sana, watu kubambikiwa kesi za uhaini na ugaini ndiyo usiseme. Mauaji ya maelfu ya Watanganyika yalikuwa na baraka zake 100% kwani hajawahi kuyajutia sana sana amekuwa akitoa kauli za kuhalalisha mauaji yale. Huyu ni mwovu hata shetani anasubiri.
 
Samia ni mwovu kuliko hata mtangulizi wake,angetaka angeweza kukomesha kabisa utejaji na mauaji kwa wakosoaji na wapinzani hasa Chadema lakini tangu ameingia yeye madarakani vitendo vya utekaji, upotezaji na mauaji kwa wakosoaji ndiyo vimeongezeka sana, watu kubambikiwa kesi za uhaini na ugaini ndiyo usiseme. Mauaji ya maelfu ya Watanganyika yalikuwa na baraka zake 100^ kwani hajawahi kuyajutia sana sana amekuwa akitoa kauli za kuhalalisha mauaji yale. Huyu ni mwovu hata shetani anasubiri.
Siwezi kukupinga mkuu
 
Mama Samia hana shida kabisa,

Kapigishwa shot, na mwisho wa siku lawama zimekuwa kwake na wapigisha shot wamezidi kuwa matajiri
Naam hao ndo wabaya sana na sasa wako nyuma Emanuel
 
Unafikiri yale ya Captain Tesha ni bahat mbaya?.

Unajua Tesha yuko wapi?.
Unajua kuwa kuna Vijana wa Idara walipigana Risasi na mmoja kafariki pale Ikulu? Unajua chanzo kilikuwa ni nini?.
Kitu ambacho hawajui Samia hakutaka hata kuendelea baada ya ile term ya Magufuli
 
Kumbuka Kuwa Mama ndio aliruhusu vyama vya siasa vifanye mikutano yao ambayo Magufuli alikataza.

Kumbuka Mama ndio alimhakikishia usalama Tundu Lissu , alikutana nae Ubelgiji akiwa tayar Raisi na kumwambia rudi nyumban hakuna mtu atakugusa.
Pamoja na wana siasa wengne wakina Lema na etal.

Sasa utajiuliza kwanini sasahivi wanamshikilia Lissu?.

Falsafa za 4R za Mama . Zinafanya kaz kwa kushirikiana na wanasiasa wa kipinzani, ila kwa maridhiano.

kumbuka Mbowe aliachiwa na siku hiyo hiyo alienda ikulu kushikana mikono na Samia.
Ile ni kwa sababu kuna maridhiano walifikiana .

Sasa Lissu alishafuatwa na kuambiwa aridhiane kwenye ABC ila akagoma na akaropoka. Kwahiyo wanampa mateso ili arudi mezani wafanye maridhiano namna gan wanafanya siasa zao kama vyama vya Siasa.

Ni hili tu ndio linamuwekw Lissu ndan hadi leo.
Shida yenu mnafanya mambo kwa mazoea!. Hamjui kumsoma mtu wala alama za nyakati au la kwa sababu mnazozijua ninyi mnaamua kujizima data. Hivi ukiisoma haiba ya Lissu unaona ni mtu wa kujazwa ulaghai halafu akakubali?.

Anyways,endeleeni kumuhifadhi huko korokoroni lakini wakati huo huo msisahau kwamba aliyegoma asife kwa risasi ndiye huyo huyo atampigania na kumtukuza!

Kusimamia HAKI bila kuyumba hakujawahi kumtupa mtu. Mungu mwenye HAKI atawashangaza!
 
Lissu anaweza kuja kua Rais wa nchi hii kila
mwenye jicho la rohoni anajua hii
 
Samia ni mwovu kuliko hata mtangulizi wake,angetaka angeweza kukomesha kabisa utejaji na mauaji kwa wakosoaji na wapinzani hasa Chadema lakini tangu ameingia yeye madarakani vitendo vya utekaji, upotezaji na mauaji kwa wakosoaji ndiyo vimeongezeka sana, watu kubambikiwa kesi za uhaini na ugaini ndiyo usiseme. Mauaji ya maelfu ya Watanganyika yalikuwa na baraka zake 100^ kwani hajawahi kuyajutia sana sana amekuwa akitoa kauli za kuhalalisha mauaji yale. Huyu ni mwovu hata shetani anasubiri.

Mauaji ya Mo29 hayakuwa na 100% baraka za Raisi.

Yale IGP ndio anahusika. Yeye ndio alitoa order ya shoot to Kill.
Polisi wako trained. Wangeweza kupiga raia Risas za miguuni. Ila kuna orders wakipokea zinawapa mamlaka ya nini wafanye kukabiliaa na tukio fulan.
aliyetoa order ni Mkuu wa Polisi.

Kuhusu utekaji, upotezwaji na mauaji.
Ni vyema ukajua kuwa kuna kitengo maalumu na moja ya kazi zake/matakwa ndio hiyo.

Haya mambo yanafanyika na Rais anapewa tu taarifa. Kuwa kuna tukio la hatar kwa usalama wa nchi na tumelizuia. Namna gan wamelizuia pia wanasema na kwanini wameamua kulizuia kwa namna hiyo.

Kuhusu Kesi za uhaini na ugaidi.
Rais pia anapewa taarifa na ndio baadae ataamua kama ni kusamehe au aache sheria ifuate mkondo wake.
 
Mnaweza kusema nimenunuliwa lakini hapana ukiangalia clips za Polepole kwa umakani sana unakuja kungundua Samia sio mbaya kiivyo sema walioko nyuma yake ndo tatizo. Yeye mwenyewe aliwahi kukili kwamba ana boss wake kama sijakosea ilikua kwa Mwamposa uzinduzi wa kanisa lake. Napata mashaka sana hata saula la October 29 yeye anaweza kua sio muhusika mkuu Ila kwasababu yuko front page basi lawama zote zimemwagukia yeye lakini inawezekana kuna mengi sana tulitakiwa kuyajua kabla ya kutoeka kwa Polepole ndo maana alitoeka ghafla. Sidhani kama mama anafurahia mateso anayopitia Tundu Lissu kwa kweli ni vile Polepole alituonyesha adui yetu tukashidwa kumtambua
Kwa nini nchi masikini zaidi duniani zipo kusini mwa jangwa ala sahala na 80% ya population yake ni wakristo?
Kwa nini Zanzibar Ina WAISLAM 99% na rasilimali zake za mafuta na gesi,sil Mali ya muungano na rais mzanzibar yupo hapa anatawala na anauza migodi na rasilimali za bara kama mbuga ya kwa bei ya kutupa?,huku per capital ya Zanzibar ikiwa ni $2500 huku ya Tanganyika ikiwa ni $1200
Kwa nini ISLAMIC REPUBLIC OF IRAN na ISLAMIC REPUBLIC OF AFGHANISTAN wanamiliki rasilimali zao,100%
 
Shida yenu mnafanya mambo kwa mazoea!. Hamjui kumsoma mtu wala alama za nyakati au la kwa sababu mnazozijua ninyi mnaamua kujizima data. Hivi ukiisoma haiba ya Lissu unaona ni mtu wa kujazwa ulaghai halafu akakubali?.

Anyways,endeleeni kumuhifadhi huko korokoroni lakini wakati huo huo msisahau kwamba aliyegoma asife kwa risasi ndiye huyo huyo atampigania na kumtukuza!

Kusimamia HAKI bila kuyumba hakujawahi kumtupa mtu. Mungu mwenye HAKI atawashangaza!
pengne haujanielewa.

Lissu yuko ndan kwakuwa hataki maridhiano feki.
 
Back
Top Bottom